TWIGA STARS YALALA 2-1 KWA ZAMBIA LEO JIJINI LUSAKA
Twiga Stars imepoteza mechi ya kwanza ya raundi ya kwanza kuwania tiketi ya kucheza Fainali za Afrika kwa Wanawake (AWC) baada ya leo kufungwa mabao 2-1 na Zambia (Shepolopolo) kwenye Uwanja wa Nkoloma jijini Lusaka.
Hadi dakika 45 za kwanza zinamalizika katika mechi hiyo iliyochezeshwa na mwamuzi Salma Mukansanga timu hizo zilikuwa suluhu.
Wenyeji ndiyo walianza kupata bao lililofungwa na Hellen Mubanga dakika ya 75. Mfungaji huyo aliyeingia kipindi cha pili nchini alimalizia wavuni...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-BMkOXfQ7gLc/UvzDWRH4NFI/AAAAAAAFM6U/G6lKWw_CjrU/s72-c/TFF1.jpg)
WIGA STARS YATUA LUSAKA TAYARI KWA MPAMBANO WAO NA ZAMBIA
![](http://3.bp.blogspot.com/-BMkOXfQ7gLc/UvzDWRH4NFI/AAAAAAAFM6U/G6lKWw_CjrU/s1600/TFF1.jpg)
Kikosi cha wachezaji 19 wa Twiga Stars kimetua Lusaka, Zambia, leo (Februari 13 mwaka huu) huku Kocha Mkuu Rogasian akiahidi ushindani kwenye mechi dhidi ya wenyeji itakayochezwa Uwanja wa Nkoloma.
Kocha Kaijage aliwaambia waandishi wa habari kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kenneth Kaunda mara baada ya kikosi chake kutua kwa ndege ya Fastjet saa 3.30 asubuhi kwa saa za Zambia kuwa wamekuja kushindana, na si kushiriki.
Twiga Stars ambayo mara ya mwisho ilikutana na Zambia kwenye...
11 years ago
Tanzania Daima16 Feb
Twiga Stars yafungwa Zambia
TIMU ya soka ya wanawake ya Tanzania, Twiga Stars, juzi ilianza vibaya kampeni ya kuwania tiketi ya kucheza fainali za Afrika (AWC), baada ya kuchapwa mabao 2-1 na Zambia ‘Shepolopolo’...
11 years ago
Mwananchi28 Feb
Twiga Stars kuivaa Zambia
10 years ago
TheCitizen22 Mar
Twiga Stars out to silence Zambia team
11 years ago
TheCitizen13 Feb
Twiga Stars plot Zambia downfall
11 years ago
Tanzania Daima25 Feb
Twiga Stars vs Zambia hakuna kiingilio
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), limesema hakuna kiingilio katika mechi ya kuwania kufuzu Kombe la Afrika kwa Wanawake (AWC), itakayowakutanisha Twiga Stars na Zambia ‘Shepolopolo’ kwenye Uwanja wa Azam Complex...
10 years ago
BBCSwahili19 Mar
Twiga Stars kuelekea Zambia kesho