Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Twiga Stars karata muhimu leo

TIMU ya soka ya Taifa ya Wanawake, Twiga Stars leo ina kibarua kigumu katika mechi dhidi ya Nigeria kwenye Michezo ya Afrika inayoendelea nchini Congo Brazzaville.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Stars yatupa karata muhimu leo

TIMU ya soka ya Tanzania, Taifa Stars, leo inatupa karata muhimu ya kuwang’oa Zimbabwe katika vita ya kuwania tiketi ya fainali za Kombe la Mataifa Afrika za mwakani nchini Morocco....

 

9 years ago

Habarileo

Kilimanjaro Stars karata muhimu leo

TIMU ya soka ya Taifa ya Bara, Kilimanjaro Stars leo itarusha karata yake ya pili kwenye michuano ya Kombe la Chalenji itakapomenyana na Rwanda ‘Amavubi’ mjini Awassa, Ethiopia.

 

9 years ago

Habarileo

Karata muhimu kwa Kilimanjaro Stars leo

TIMU ya taifa ya Tanzania Bara ‘Kili Stars’ leo inashuka kwenye dimba la Awassa nchini Ethiopia kuwakabili wenyeji Ethiopia ukiwa ni mchezo wa robo fainali wa kusakata tiketi ya kucheza nusu fainali ya michuano ya Chalenji, inayoendelea nchini humo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Twiga Stars kuingia kambini leo

Timu ya Taifa ya Tanzania ya Wanawake ,Twiga Stars inatarajiwa kuingia kambini leo kisiwani Zanzibar

 

10 years ago

Habarileo

Twiga Stars kuingia kambini Zanzibar leo

TIMU ya Taifa Tanzania ya Wanawake (Twiga Stars) inatarajiwa kuingia kambini leo kisiwani Zanzibar kujiandaa na Michezo ya Afrika (All Africa Games) itakayofanyika mwezi ujao nchini Congo Brazzaville.

 

9 years ago

Michuzi

TWIGA STARS KUELEKEA CONGO-BRAZZAVILE LEO

Timu ya Taifa ya Wanawake (Twiga Stars) inatarajiwa kuondoka nchini leo usiku kuelekea nchini Congo-Brazzavile kwenye michuano ya Michezo ya Afrika (All Africa Games) inayotarajiwa kuanza kutimua vumbi Septemba 3, mwaka huu.Kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wa TFF, Twiga Stars haikuondoka leo kuelekea nchini Congo – Brazzavile, Shirikisho bado linasubiri mwongozo wa Wizara ya Habari,Viajana, Utamaduni na Michezo.Imani ya TFF ni kuwa timu itasafiri na kuwahi mechi ili kuepuka hatari ya...

 

9 years ago

Vijimambo

Twiga Stars uwanjani Kongo Brazzaville leo

Timu ya soka ya Taifa ya Wanawake (Twiga Stars) inatarajia kutupa karata yake ya kwanza leo katika Michezo ya Afrika kwa kuwakabili Ivory Coast kwenye Uwanja wa Del Debate nchini Kongo Brazzaville.

Akizungumza na Nipashe kwa njia ya simu kutoka Kongo Brazzaville, Mkuu wa Msafara wa timu hiyo, Blassy Kiondo, alisema kuwa wachezaji walifanya mazoezi ya mwisho kujiandaa na mchezo huo jana asubuhi na wote wanaendelea vizuri.

Kiondo alisema kuwa mchezo huo unatarajiwa kufanyika kuanzia saa 11 jioni...

 

11 years ago

Michuzi

TWIGA STARS YALALA 2-1 KWA ZAMBIA LEO JIJINI LUSAKA

Twiga Stars imepoteza mechi ya kwanza ya raundi ya kwanza kuwania tiketi ya kucheza Fainali za Afrika kwa Wanawake (AWC) baada ya leo kufungwa mabao 2-1 na Zambia (Shepolopolo) kwenye Uwanja wa Nkoloma jijini Lusaka.
Hadi dakika 45 za kwanza zinamalizika katika mechi hiyo iliyochezeshwa na mwamuzi Salma Mukansanga timu hizo zilikuwa suluhu.
Wenyeji ndiyo walianza kupata bao lililofungwa na Hellen Mubanga dakika ya 75. Mfungaji huyo aliyeingia kipindi cha pili nchini alimalizia wavuni...

 

10 years ago

Mwananchi

Stella Jairosi: Uchaguzi huu ni ‘karata’ muhimu ya kunusuru elimu

Sera mpya ya elimu na mafunzo, Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, sheria za nchi na kanuni zinazogusia elimu, vinaainisha, kuhamasisha jamii ishiriki kikamilifu katika kuwawezesha watu wenye ulemavu kupata fursa ya elimu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani