Twiga Stars uwanjani Kongo Brazzaville leo
Timu ya soka ya Taifa ya Wanawake (Twiga Stars) inatarajia kutupa karata yake ya kwanza leo katika Michezo ya Afrika kwa kuwakabili Ivory Coast kwenye Uwanja wa Del Debate nchini Kongo Brazzaville.
Akizungumza na Nipashe kwa njia ya simu kutoka Kongo Brazzaville, Mkuu wa Msafara wa timu hiyo, Blassy Kiondo, alisema kuwa wachezaji walifanya mazoezi ya mwisho kujiandaa na mchezo huo jana asubuhi na wote wanaendelea vizuri.
Kiondo alisema kuwa mchezo huo unatarajiwa kufanyika kuanzia saa 11 jioni...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi08 Sep
Twiga Stars yaanza vibaya Brazzaville
9 years ago
TheCitizen01 Sep
Twiga Stars, swimmers off to Brazzaville for Africa Games
9 years ago
Mwananchi14 Nov
Twendeni uwanjani vifua mbele, Stars ushindi leo lazima
9 years ago
Habarileo09 Sep
Twiga Stars karata muhimu leo
TIMU ya soka ya Taifa ya Wanawake, Twiga Stars leo ina kibarua kigumu katika mechi dhidi ya Nigeria kwenye Michezo ya Afrika inayoendelea nchini Congo Brazzaville.
10 years ago
BBCSwahili06 Aug
Twiga Stars kuingia kambini leo
9 years ago
Michuzi02 Sep
TWIGA STARS KUELEKEA CONGO-BRAZZAVILE LEO
10 years ago
Habarileo06 Aug
Twiga Stars kuingia kambini Zanzibar leo
TIMU ya Taifa Tanzania ya Wanawake (Twiga Stars) inatarajiwa kuingia kambini leo kisiwani Zanzibar kujiandaa na Michezo ya Afrika (All Africa Games) itakayofanyika mwezi ujao nchini Congo Brazzaville.
11 years ago
Michuzi14 Feb
TWIGA STARS YALALA 2-1 KWA ZAMBIA LEO JIJINI LUSAKA
Hadi dakika 45 za kwanza zinamalizika katika mechi hiyo iliyochezeshwa na mwamuzi Salma Mukansanga timu hizo zilikuwa suluhu.
Wenyeji ndiyo walianza kupata bao lililofungwa na Hellen Mubanga dakika ya 75. Mfungaji huyo aliyeingia kipindi cha pili nchini alimalizia wavuni...
11 years ago
GPLTAIFA STARS, MALAWI UWANJANI DAR