Twendeni uwanjani vifua mbele, Stars ushindi leo lazima
Taifa Stars inashuka dimbani leo kucheza na Algeria kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam ikiwa ni mchezo wa kuwania kufuzu Fainali za Kombe la Dunia 2018 nchini Urusi. Timu hizo zitarudiana Novemba 17 nchini Algeria.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi20 Jul
Stars ushindi ni lazima
10 years ago
Mwananchi22 Sep
Twendeni uwanjani tukaone tunapokosea
9 years ago
VijimamboTwiga Stars uwanjani Kongo Brazzaville leo
Akizungumza na Nipashe kwa njia ya simu kutoka Kongo Brazzaville, Mkuu wa Msafara wa timu hiyo, Blassy Kiondo, alisema kuwa wachezaji walifanya mazoezi ya mwisho kujiandaa na mchezo huo jana asubuhi na wote wanaendelea vizuri.
Kiondo alisema kuwa mchezo huo unatarajiwa kufanyika kuanzia saa 11 jioni...
11 years ago
GPLTAIFA STARS, MALAWI UWANJANI DAR
10 years ago
Vijimambo26 Jul
YANGA YASONGA MBELE KWA USHINDI MWEMBAMBA SASA KUKUTANA NA AZAM JUMATATO PATACHIMBIKAJE
![](http://shaffihdauda.co.tz/wp-content/uploads/2015/07/Yanga-vs-KNC-6.jpg)
Mshambuliaji wa Yanga Amis Tambwe (katikati) akishangilia goli lake kwa kuwapungia mkono mashabiki
Mabingwa wa Tanzania bara Young Africans ‘Yanga’, leo wameibuka na ushindi mwembamba wa goli 1-0 mbele ya Khartoum Nalitonal Club katika mwendelezo wa michuano ya Kagame Cup mechi iliyopigwa leo jioni kwenye dimba la Taifa jijini Dar es Salaam.
Mchezo ulianza kwa kasi lakini Khartoum walionekana kuwamudu vyema Yanga dakika za mwanzoni na walifanikiwa kutengeneza nafasi kadhaa lakini hawakuweza...
9 years ago
BBCSwahili12 Oct
Taifa Stars yasonga mbele
9 years ago
Habarileo16 Oct
Taifa Stars yaundiwa kamati ya ushindi
KATIKA kuhakikisha timu ya soka ya Tanzania inafanya vizuri katika kuwania kufuzu kwa fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika mwaka 2017 na fainali za Kombe la Dunia za mwaka 2018 nchini Urusi, kamati maalumu ya ushindi imeundwa kuisaidia timu hiyo.
9 years ago
Habarileo06 Nov
Mogella: Ushindi Stars upo kwa Samatta
GWIJI wa zamani wa kimataifa wa Tanzania Zamoyoni Mogella, amesema timu ya soka ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ itategemea ubora wa Mbwana Samatta kuifunga Algeria nyumbani.
10 years ago
GPLGLOBAL, WIZARA UWANJANI LEO