Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Twendeni uwanjani tukaone tunapokosea

Nimekuwa shuhuda wa muda mrefu wa mechi za Ligi Kuu ya soka Tanzania Bara kwenye viwanja mbalimbali nchini.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Twendeni uwanjani vifua mbele, Stars ushindi leo lazima

Taifa Stars inashuka dimbani leo kucheza na Algeria kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam ikiwa ni mchezo wa kuwania kufuzu Fainali za Kombe la Dunia 2018 nchini Urusi. Timu hizo zitarudiana Novemba 17 nchini Algeria.

 

10 years ago

Bongo5

Tusisingizie stress twendeni studio na tutulize akili kuandika tu ngoma kali — Soggy

Rapper mkongwe na mtangazaji wa radio Efm, Anselm Tryphone Ngaiza a.k.a Soggy Doggy Anter au The Entertainer ametoa ushauri kwa wasanii wa muziki kuacha kusingizia ‘stress’ kama chanzo cha kujihusisha na mambo yasiyofaa pale muziki unapowaendea vibaya. Soggy ambaye huendesha kipindi cha X-Ray kila Jumamosi akishirikiana na Sam Kiama, Kupitia ukurasa wake wa Facebook ameandika: […]

 

11 years ago

BBCSwahili

Beckham kurejea uwanjani

David Beckham amedokeza kuwa huenda akarejea uwanjani huko Marekani .

 

10 years ago

Dewji Blog

Kureshy arejea uwanjani

DSC04050

 Mchezaji wa zamani wa timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars), Kureshy Ufunguo (Kushoto) akioneshwa mipira inayofaa kwa ajili ya kufundishia watoto kutoka kwa Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Isere Sports, Abbas Ally (Picha na Mpiga Picha Wetu.)

DSC04052

Mchezaji wa zamani wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars),Kureshy Ufunguo (Kulia) akipokea jezi kwa ajili ya kuanzisha shule ya mafunzo ya watoto wadogo.

DSC04056

Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Isere Sports, Abbas Ally (Kulia) akimkabidhi vifaa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Tofauti zazikwa uwanjani TZ

Viongozi wa dini ya kiislam na kikiristo nchini Tanzania walichuiana uwanjani kwa lengo la kuhamasisha Amani nchini humo.

 

10 years ago

GPL

STEVE NYERERE AAIBIKA UWANJANI

Dustan Shekidele, Morogoro
NYOTA wa kuigiza sauti za watu maarufu aliye pia mwigizaji wa sinema za Kibongo, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ wikiendi iliyopita alijikuta akiaibika kwa kuzomewa na kupopolewa kwa chupa za maji na mashabiki wa Klabu ya Simba baada ya kuingia uwanjani na demu aliyevaa ‘kihasarahasara’. Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’akiwa na...

 

10 years ago

Vijimambo

Aadhibiwa kwa kusujudu uwanjani

Mchezaji wa Kansas City Chiefs Husain Abdullah aliadhibiwa vikali na refarii baada ya kupiga sijida baada ya kufunga bao katika mchezo wa football ya Marekani Kansas walipoinyuka New England Patriots 41-14.

Refarii alimwadhibu papo hapo Abdullah alipoinuka baada ya kusheherekea kwa kupiga sijida.

Aliyekuwa refarii wa zamani wa NFL Mike Pereira alisema kuwa sio hatia mtu kupiga sijida.

Tukio hilo linawadia wakati ambapo ligi hiyo inapigwa msasa kufuatia utovu wa nidhamu mbali na tuhuma chungu...

 

10 years ago

GPL

SHAMSA AANGUA KILIO UWANJANI

Na Gladness Mallya
MSANII wa filamu Bongo, Shamsa Ford  hivi karibuni alijikuta akiangua kilio uwanjani baada ya timu yake anayoishabikia ya Yanga kufungwa mabao mawili bila. Msanii wa filamu Bongo, Shamsa Ford. Tukio hilo lilitokea Jumamosi iliyopita katika Uwanja wa Taifa ambapo kulikuwa na mechi ya Nani Mtani Jembe 2 iliyozichezesha timu za Simba na Yanga ambapo Shamsa alijikuta akilia kama mtoto baada ya timu yake...

 

10 years ago

GPL

NYERERE ALIVYOLIZA WATU UWANJANI-2

MWALIMU Julius Nyerere baada ya kustaafu urais mwaka 1985, aliondoka jijini Dar na kurejea moja kwa moja Butiama, mkoani Mara. Tulieleza jinsi alivyoliza watu Uwanja wa Ndege wa Zamani (Terminal One), waliokwenda kumuaga. Baada ya kupanda ndege safari ilianza kuelekea kwao. Mwalimu Nyerere alipoingia kijijini Butiama hakutaka kwenda nyumbani kwake moja kwa moja. Badala yake alikwenda nyumbani kwa kaka yake, Chifu Edward Wanzagi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani