Tusisingizie stress twendeni studio na tutulize akili kuandika tu ngoma kali — Soggy
Rapper mkongwe na mtangazaji wa radio Efm, Anselm Tryphone Ngaiza a.k.a Soggy Doggy Anter au The Entertainer ametoa ushauri kwa wasanii wa muziki kuacha kusingizia ‘stress’ kama chanzo cha kujihusisha na mambo yasiyofaa pale muziki unapowaendea vibaya. Soggy ambaye huendesha kipindi cha X-Ray kila Jumamosi akishirikiana na Sam Kiama, Kupitia ukurasa wake wa Facebook ameandika: […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo508 Oct
Audio: Soggy Doggy awakusanya Nature, Inspekta, Suma G kwenye ngoma mpya
11 years ago
Bongo515 Jul
Mpenzi wa Chris Brown, Karreuche Tran akili kuwa anapigana vita kali na Rihanna
9 years ago
Bongo512 Sep
Shetta: Nina ngoma saba mpya na zote kali
10 years ago
CloudsFM14 Apr
Nay Wa Mitego,Diamond waingia studio kwa mara nyingine kufanya ngoma.
Staa wa Bongo Fleva,Nay Wa Mitego anatarajia kuachia ngoma yake mpya aliyomshirikisha Diamond Platinumz hivi karibuni. Akizungumza na Clouds FM, Nay alisema kuwa ngoma hiyo ameifanya kwenye studio za Free Nation kwa producer Mr.Tee Touch na kwamba jina la ngoma hiyo atalisema siku ambayo atakayoitambulisha ngoma hiyo.
‘’Yaah nimefanya ngoma tena na Diamond Platinumz na nitaitambulisha hivi karibuni kikweli sijisifii ni bonge la ngoma,’’alisema Nay Wa Mitego.
Mastaa hao walishawahi kufanya...
10 years ago
CloudsFM22 Dec
CYRIL AMPANDISHA NDEGE PRODUCER WAKE BAADA YA KUGONGEWA NGOMA KALI
Hivi karibuni msanii wa Hip Hop Bongo,Cyril Kamikaze aliwashangaza watu kwa kumpa ofa producer wake Geoff Master wa studio ya Tongwe Records baada kupigiwa biti ya ngoma flani ambayo haijatoka, cyril alimpeleka mjini Zanzibar Geoff Master kwa siku kama nne kwa ajili ya mapumziko kama shukrani ya kumfanyia ngoma.
‘’Nimeamua kumpeleka producer wangu mjini Zanzibar kwa mapumziko kama shukrani ya kunifanyia ngoma kali ingawa sijajua kama itafanya vizuri au haitafanya vizuri lakini ni ngoma...
9 years ago
Bongo503 Oct
Hakuna ngoma kali za Bongo fleva — Asema producer mkongwe Enrico
9 years ago
Bongo518 Dec
Cyrill adai video na ngoma kali sio kila kitu kwa muziki wa sasa
![kamikaze](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/kamikaze-300x194.jpg)
Staa wa muziki Cyrill Kamikaze, amesema muziki wa sasa sio tu kufanya video kali na ngoma kali ili uweze kutoboa, bali unahitaji kutumia ubunifu zaidi kukidhi viwango vyenye ubora na kufikia soko la kimataifa.
Rapper huyo amekiambia kipindi cha Planet Bongo cha East Afica Radio kuwa watu wengi wanafikiri ukiwa na video nzuri ndio unafanikiwa.
“Unaweza ukawa na video kali halafu usihit, muziki ni zaidi ya chupa kali, ukirudishwa miaka fulani nyuma, ngoma kali ndio ilikuwa inahit, lakini sasa...
10 years ago
Bongo507 Jan
Noorah: Nilikata tamaa ya kuachia nyimbo baada ya ngoma mbili kali za mwisho kuchukuliwa poa
9 years ago
Bongo Movies08 Sep
Mwaka Huu Nimewajua Wasanii Waliokuwa na Akili na Wasiokuwa na Akili-Ray
"(FREEDOM OF SPEECH)
Kuna vitu vingi sana nimegunduakwenye uchaguzi wa mwaka huu nimewajua baadhi ya wasanii waliokuwa na akili na wasiokuwa na akili japokuwa nami nawezakuwa mmoja wapo katika hao wasiokuwa na akili. Why nasema hivi na samahani kama nitakuwa nime2mia lugha kali, Unajua nashanga sana sasa hivi kumekuwa na vita baina ya wasanii wanaosapoti (CCM) Na (UKAWA)
Jamani siasa ni democracy kila m2 ana haki yakuwa upande anayeuona yeye unamfaa. Mimi nilidhani badala ya kuwa na...