Hakuna ngoma kali za Bongo fleva — Asema producer mkongwe Enrico
Ukiwataja watayarishaji wakongwe wa muziki wa Bongo ambao mpaka sasa bado wapo na wanaendelea na kazi hiyo, huwezi kumuacha Enrico Figueiro wa studio ya Sound Crafters. Enrico ambaye kwasasa hasikiki kutokana na kutofanya sana Bongo Fleva ambayo ndio inapewa nafasi zaidi ya kutangazwa, amesema kuwa nyimbo zote zinazotoka siku hizi hazina ubora ndio maana hazidumu […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania06 Oct
Enrico: Hakuna Bongo Fleva siku hizi
NA HERIETH FAUSTINE
MTAYARISHAJI wa muziki kutoka studio ya Sound Crafters, Enrico Figueroa ‘Enrico’, amesema nyimbo zote
zinazotoka siku hizi hazina ubora, ndiyo maana haziwezi kudumu hata kwa miaka miwili.
“Mpaka sasa sijaona wimbo mkali, nyimbo zote ni sawa tu, zinakaa siku mbili, tatu au wiki nne zinapotea, hakuna
Bongo Fleva ya kukaa miaka miwili,” alisema Enrico, alipokuwa akihojiwa katika kipindi cha Planet Bongo
kinachorushwa na kituo cha runinga cha EATV.
Aliongeza kwamba ili wimbo...
10 years ago
CloudsFM22 Dec
CYRIL AMPANDISHA NDEGE PRODUCER WAKE BAADA YA KUGONGEWA NGOMA KALI
Hivi karibuni msanii wa Hip Hop Bongo,Cyril Kamikaze aliwashangaza watu kwa kumpa ofa producer wake Geoff Master wa studio ya Tongwe Records baada kupigiwa biti ya ngoma flani ambayo haijatoka, cyril alimpeleka mjini Zanzibar Geoff Master kwa siku kama nne kwa ajili ya mapumziko kama shukrani ya kumfanyia ngoma.
‘’Nimeamua kumpeleka producer wangu mjini Zanzibar kwa mapumziko kama shukrani ya kunifanyia ngoma kali ingawa sijajua kama itafanya vizuri au haitafanya vizuri lakini ni ngoma...
10 years ago
Bongo Movies10 Feb
Lulu Asema Wasanii Wengi wa Bongo Movie Hawajieliwi, Tofauti na Bongo Fleva
Mrembo na muigizaji wa filamu za kibongo, Elizabeth Michael, ‘Lulu’ amesema wasanii wengi wa filamu hawana mawazo ya maana na hawafikiriimambo makubwa kuhusu wanachokifanya. Bali hufanya tu kwa sababu wapo katika jamii na ahahisi wale wa bongo fleva wanafikiri zaidi yao
“ Unawaza kwanza kIsha unatenda, wasanii wa filamu hatuna mawazo mazuri zaidi ya ubishoo tu, hatuoni mbali hatuna wivu wa kimaendeleo leo unakuta msanii wa Bongo Fleva wanatoka nnje na wanarudi na tuzo lakini sisi tumekaa...
10 years ago
Bongo509 Feb
PAPASO: Florah Mvungi adai Bongo Movie hawapendani na AT asema Bongo Fleva imejaa majungu tupu
11 years ago
Tanzania Daima11 Apr
SALUMU LUKOSI ‘KIDALI’: Msanii wa ngoma za asili anayesaka soko Bongo Fleva
MOJA ya ndoto ya wasanii wengi nchini ni kufikia malengo ya kuwa na maisha bora kama ilivyo kwa wasanii wengine waliopata kupitia huko. Pia ieleweke kwamba, sanaa imekuwa kitovu cha...
10 years ago
Michuzi
ROSE NDAUKA ASEMA BAADA YA KANUMBA KUFARIKI BONGO MOVIE HAKUNA COMPETITION

10 years ago
Bongo507 Oct
Enrico adai ubora wa muziki wa Bongo Flava umeshuka
9 years ago
MillardAyo29 Dec
Magari 11 ya mastaa wa Bongo Fleva/Bongo Movie 2015 (+Picha)
Najua nina watu wangu mnaopenda kufahamu magari wanayomiliki mastaa mbalimbali wakiwemo Bongo Movie na Bongo Fleva, sasa hapa nimefanikiwa kupata picha 11 za mastaa wanaomiliki magari makali Dar es Salaam. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK […]
The post Magari 11 ya mastaa wa Bongo Fleva/Bongo Movie 2015 (+Picha) appeared first on TZA_MillardAyo.
11 years ago
GPL
BONGO MOVIES TAYARI KUWAKABILI BONGO FLEVA KATIKA USIKU WA MATUMAINI 2014