CYRIL AMPANDISHA NDEGE PRODUCER WAKE BAADA YA KUGONGEWA NGOMA KALI
Hivi karibuni msanii wa Hip Hop Bongo,Cyril Kamikaze aliwashangaza watu kwa kumpa ofa producer wake Geoff Master wa studio ya Tongwe Records baada kupigiwa biti ya ngoma flani ambayo haijatoka, cyril alimpeleka mjini Zanzibar Geoff Master kwa siku kama nne kwa ajili ya mapumziko kama shukrani ya kumfanyia ngoma.
‘’Nimeamua kumpeleka producer wangu mjini Zanzibar kwa mapumziko kama shukrani ya kunifanyia ngoma kali ingawa sijajua kama itafanya vizuri au haitafanya vizuri lakini ni ngoma...
CloudsFM
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo503 Oct
Hakuna ngoma kali za Bongo fleva — Asema producer mkongwe Enrico
10 years ago
Bongo507 Jan
Noorah: Nilikata tamaa ya kuachia nyimbo baada ya ngoma mbili kali za mwisho kuchukuliwa poa
9 years ago
Dewji Blog02 Dec
Shirika la ndege la ETIHAD laendelea kukuza wigo wake Afrika Mashariki baada ya kuzindua huduma za safari za ndege kati ya Dar Es Salaam na Abu Dhabi
Ndege iliyozinduliwa na Shirika la Ndege la Etihad ilipowasili katika uwanja wa ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam na kupokelewa na magari ya zimamoto kwa kumwaga maji kuashiria uzinduzi rasmi wa Safari za ndege za shirika la ndege la Etihad lenye makao makuu Abudhabi. Uzinduzi huo unatoa fursa sasa kwa watanzania kusafiri moja kwa moja kutoka Dar es salaam mpaka Abudhabi kila siku.
Makamu wa Rais- Mauzo ya Kimataifa wa shirika la ndege la Etihad Bw. Daniel Barranger akisalimiana...
10 years ago
GPL06 Jan
10 years ago
Bongo507 Jan
Producer Dupy adai wasanii wakubwa ni mabingwa wa kurekodi ngoma bure!
9 years ago
Bongo528 Sep
Video: Producer Swizz Beatz wa Marekani azipa shavu ngoma mbili za Diamond
11 years ago
CloudsFM10 Jun
NGOMA YA PROTOKO YA VICTORIA KIMANI YAMFUNGULIA NJIA PRODUCER TUDDY THOMAS KUFANYA KAZI NA WASANII WAKUBWA
Producer wa zamani wa studio ya Ngoma Records, Tuddy Thomas ambaye siku hizi anapatikana ndani ya studio ya nyumba ya vipaji Tanzania (THT) amefunguka kuwa wimbo aliomtengenezea msanii kutoka record label ya Chocolate City nazungumzia Prokoto ya Victoria Kimani , kupitia ngoma hiyo Tuddy amesema kitabu chake cha bookings kimejaa majina ya wasanii wakubwa kutoka nje ya Tanzania wanaotaka kufanya kazi na yeye.
9 years ago
Bongo504 Dec
Producer wa ‘Speak With Ur Body’ ya AY, Riley na wa ‘Touch Me’ Zaire, wametengeneza ngoma hii ya mixtape mpya ya Chris Brown
![12317815_1527711034213834_727218960_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/12317815_1527711034213834_727218960_n-300x194.jpg)
Producer wa hit single ya AY ‘Speak With Your Body’ aliyowashirikisha wamarekani, Romeo na Lamyia Good, Riley pamoja na yule aliyetayarisha ngoma yake ‘Touch Me’ aliyomshirikisha Sean Kingston, Zaire Koalo wamechangia wimbo mmoja kwenye mixtape mpya ya Chris Brown.
Mixtape hiyo yenye nyimbo 34, Before The Party ilitoka kwa kushtukiza siku kadhaa zilizopita. Riley na Zaire wametayarisha wimbo uitwao Second Hand Love’ uliomo kwenye mixtape hiyo.
“Check out @chrisbrownofficial new project...
9 years ago
Bongo504 Dec
Producer Mr T Touch kuachia wimbo wake
![11355775_382648741933156_266982867_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/11355775_382648741933156_266982867_n-300x194.jpg)
Mtayarishaji wa muziki kutoka studio za ‘Free Nation’, Mr T Touch ameweka wazi mpango wake wa kuanza kuimba huku akijipanga kuachia wimbo wake uitwao ‘Tunakutana Nao.’
Touch ameiambia Bongo5 kuwa licha ya kutengenza hits nyingi Bongo, yeye pia ana uwezo wa kuimba vizuri na kutoboa.
“Maproducer wengi wanaimba, sema tunakuwaga hatutoagi nyimbo,” amesema. “Sisi ndio tunatengeneza muziki kwahiyo tunaujua. Wimbo wangu unaitwa Tunakutana Nao na itakuwa ni ngoma yangu ya kwanza. Sijawahi kuimba...