NGOMA YA PROTOKO YA VICTORIA KIMANI YAMFUNGULIA NJIA PRODUCER TUDDY THOMAS KUFANYA KAZI NA WASANII WAKUBWA
Producer wa zamani wa studio ya Ngoma Records, Tuddy Thomas ambaye siku hizi anapatikana ndani ya studio ya nyumba ya vipaji Tanzania (THT) amefunguka kuwa wimbo aliomtengenezea msanii kutoka record label ya Chocolate City nazungumzia Prokoto ya Victoria Kimani , kupitia ngoma hiyo Tuddy amesema kitabu chake cha bookings kimejaa majina ya wasanii wakubwa kutoka nje ya Tanzania wanaotaka kufanya kazi na yeye.
CloudsFM
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo507 Jan
Producer Dupy adai wasanii wakubwa ni mabingwa wa kurekodi ngoma bure!
10 years ago
Bongo522 Jul
Wakenya wamkalia shingoni Victoria Kimani baada ya kuwaambia hawasupport wasanii wao
10 years ago
GPL06 Jan
9 years ago
Bongo510 Sep
Afya ya Tuddy Thomas yaendelea kuimarika
9 years ago
Bongo510 Dec
Fid Q kufanya kazi na producer wa Kare ya P-Unit, Musyoka
![Fid](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/Fid-300x194.jpg)
Fid Q huenda akaungana na producer wa Kenya, Erik Musyoka kupika jiwe jipya.
Wawili hao walikutana kwenye Coke Studio Africa jijini Nairobi, Kenya. Kwa mujibu wa blog ya show hiyo, Musyoka alidai angependa kufanya kazi Fid Q baada ya kuvutiwa na uwezo wake. Wawili hao walizungumza kuhusu kufanya kazi pamoja.
Musyoka ni miongoni mwa watayarishaji wa muziki wanaoheshimika zaidi nchini Kenya. Miongoni mwa nyimbo alizozipika ni pamoja na Kare ya P-Unit. Mwaka jana pia Mwana FA na AY walifanya...
10 years ago
Bongo503 Sep
Mr Nice arudi kufanya kazi na producer wake aliyemtoa, Kameta
5 years ago
Bongo514 Feb
Benpol amnasa producer aliyewahi kufanya kazi na Jennifer Lopez na Trey Songz
Msanii wa muziki wa R&B Benpol ametumiwa beat na mmoja kati ya maproducer wakubwa wa muziki wa nchini Marekani ambaye ameshawahi kufanya kazi na wasanii wakubwa kama Busta Rhymes, Jennifer Lopez, Trey Songz na wengine.
Akiongea na Bongo5 Jumanne hii, Ben Pol amesema kwa sasa deal hiyo imefikia katika hatua nzuri,huku akidai tayari ameshatumiwa beat kwa ajili ya kuanza kazi.
“Kuna kazi nafanya na producer mkubwa wa Marekani ila siwezi kumtaja, kwani ni mapema sana lakini tayari ameshafanya...
11 years ago
CloudsFM09 Jun
ILE RECORD LABEL INAYOTENGEZA KAZI ZA WASANII ILIYO CHINI PRODUCER MSWAKI IMEKUFA
Ile record label iliyotengeneza kazi za wasanii kama Linex, Wayre, Maunda Zoro, Q Chillah, TID Mnyama hapa naizungumzia black curtains iliyokua chini ya wakurugenzi wawili Producer Mswaki na mwenzake imevunjika na badala yake Mswaki amejiunga na watu wengine na kuunda record label nyingine.
Mswaki akatoa deal kwa wasanii watakao kuwa tayari kufanya kazi na label hiyo iliyopo Mikocheni karibu na hospitali ya Kairuki.
5 years ago
BBCSwahili18 Mar
Coronavirus: Njia tano za kufanya kazi kutoka nyumbani