Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ZEST: PRODUCER MKALI ALIYETENGENEZA NGOMA ZA WASANII KIBAO

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Producer Dupy adai wasanii wakubwa ni mabingwa wa kurekodi ngoma bure!

Wasanii wakubwa wa muziki nchini ni mabingwa wa kurekodi ngoma bure, kwa mujibu wa producer wa Upraise Records, Dupy. Dupy amedai kuwa hali hiyo imemfanya hadi sasa kuwa na nyimbo alizowatengeneza Izzo B na Juma Nature pekee. “Wasanii wengi wakubwa wana zile za kujuana,” Dupy ameiambia Bomba Base Show ya Bomba FM Radio, Mbeya. “Mtu […]

 

11 years ago

CloudsFM

NGOMA YA PROTOKO YA VICTORIA KIMANI YAMFUNGULIA NJIA PRODUCER TUDDY THOMAS KUFANYA KAZI NA WASANII WAKUBWA

Producer wa zamani wa studio ya Ngoma Records, Tuddy Thomas ambaye siku hizi anapatikana ndani ya studio ya nyumba ya vipaji Tanzania (THT) amefunguka kuwa wimbo aliomtengenezea msanii kutoka record label ya Chocolate City nazungumzia Prokoto ya Victoria Kimani , kupitia ngoma hiyo Tuddy amesema kitabu chake cha bookings kimejaa majina ya wasanii wakubwa kutoka nje ya Tanzania wanaotaka kufanya kazi na yeye.

 

10 years ago

CloudsFM

CYRIL AMPANDISHA NDEGE PRODUCER WAKE BAADA YA KUGONGEWA NGOMA KALI

Hivi karibuni msanii wa Hip Hop Bongo,Cyril Kamikaze aliwashangaza watu kwa kumpa ofa producer wake Geoff Master wa studio ya Tongwe Records baada kupigiwa biti ya ngoma flani ambayo haijatoka, cyril alimpeleka mjini Zanzibar Geoff Master kwa siku kama nne kwa ajili ya mapumziko kama shukrani ya kumfanyia ngoma.‘’Nimeamua kumpeleka producer wangu mjini Zanzibar kwa mapumziko kama shukrani ya kunifanyia ngoma kali ingawa sijajua kama itafanya vizuri au haitafanya vizuri lakini ni ngoma...

 

9 years ago

Bongo5

Hakuna ngoma kali za Bongo fleva — Asema producer mkongwe Enrico

Ukiwataja watayarishaji wakongwe wa muziki wa Bongo ambao mpaka sasa bado wapo na wanaendelea na kazi hiyo, huwezi kumuacha Enrico Figueiro wa studio ya Sound Crafters. Enrico ambaye kwasasa hasikiki kutokana na kutofanya sana Bongo Fleva ambayo ndio inapewa nafasi zaidi ya kutangazwa, amesema kuwa nyimbo zote zinazotoka siku hizi hazina ubora ndio maana hazidumu […]

 

9 years ago

Bongo5

Video: Producer Swizz Beatz wa Marekani azipa shavu ngoma mbili za Diamond

Producer mkongwe aliyewaingiza kwenye ramani ya muziki rappers maarufu wakiwemo EVE na DMX, Kasseem Dean maarufu kama Swizz Beatz wa nchini Marekani, ni shabiki wa nyimbo za Diamond Platnumz. Producer huyo ambaye pia ni rapper na mume wa Alicia Keys, jana aliendelea kuonesha mapenzi yake kwa muziki wa Afrika kwa kupost video za mwanae pekee […]

 

9 years ago

Bongo5

Producer wa ‘Speak With Ur Body’ ya AY, Riley na wa ‘Touch Me’ Zaire, wametengeneza ngoma hii ya mixtape mpya ya Chris Brown

12317815_1527711034213834_727218960_n

Producer wa hit single ya AY ‘Speak With Your Body’ aliyowashirikisha wamarekani, Romeo na Lamyia Good, Riley pamoja na yule aliyetayarisha ngoma yake ‘Touch Me’ aliyomshirikisha Sean Kingston, Zaire Koalo wamechangia wimbo mmoja kwenye mixtape mpya ya Chris Brown.

Mixtape hiyo yenye nyimbo 34, Before The Party ilitoka kwa kushtukiza siku kadhaa zilizopita. Riley na Zaire wametayarisha wimbo uitwao Second Hand Love’ uliomo kwenye mixtape hiyo.

“Check out @chrisbrownofficial new project...

 

11 years ago

CloudsFM

ILE RECORD LABEL INAYOTENGEZA KAZI ZA WASANII ILIYO CHINI PRODUCER MSWAKI IMEKUFA

Ile record label iliyotengeneza kazi za wasanii kama Linex, Wayre, Maunda Zoro, Q Chillah, TID Mnyama hapa naizungumzia black curtains iliyokua chini ya wakurugenzi wawili Producer Mswaki na mwenzake imevunjika na badala yake Mswaki amejiunga na watu wengine na kuunda record label nyingine.Mswaki akatoa deal kwa wasanii watakao kuwa tayari kufanya kazi na label hiyo iliyopo Mikocheni karibu na hospitali ya Kairuki.

 

11 years ago

GPL

BONANZA LA GLOBAL BREAKING NEWS 15778 WASANII KIBAO KULIPAMBA

Na Lucy Mgina
WAPENZI wa michezo na Muziki wa Bongo Fleva, wameandaliwa bonanza maalumu na kubwa la Global Breaking News 15778 ambalo kilele chake kitafanyika katika Ukumbi wa Dar Live, Mbagala-Zakhem jijini Dar. Bonanza hilo ambalo hufanyika kila mwisho wa mwezi kwenye viwanja vya Dar Live, safari hii litafanyika Februari 9, mwaka huu ambapo mwezi huu litakuwa la kipekee na tofauti kwani litaitambulisha huduma ya Global...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani