Producer Dupy adai wasanii wakubwa ni mabingwa wa kurekodi ngoma bure!
Wasanii wakubwa wa muziki nchini ni mabingwa wa kurekodi ngoma bure, kwa mujibu wa producer wa Upraise Records, Dupy. Dupy amedai kuwa hali hiyo imemfanya hadi sasa kuwa na nyimbo alizowatengeneza Izzo B na Juma Nature pekee. “Wasanii wengi wakubwa wana zile za kujuana,” Dupy ameiambia Bomba Base Show ya Bomba FM Radio, Mbeya. “Mtu […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
11 years ago
CloudsFM10 Jun
NGOMA YA PROTOKO YA VICTORIA KIMANI YAMFUNGULIA NJIA PRODUCER TUDDY THOMAS KUFANYA KAZI NA WASANII WAKUBWA
Producer wa zamani wa studio ya Ngoma Records, Tuddy Thomas ambaye siku hizi anapatikana ndani ya studio ya nyumba ya vipaji Tanzania (THT) amefunguka kuwa wimbo aliomtengenezea msanii kutoka record label ya Chocolate City nazungumzia Prokoto ya Victoria Kimani , kupitia ngoma hiyo Tuddy amesema kitabu chake cha bookings kimejaa majina ya wasanii wakubwa kutoka nje ya Tanzania wanaotaka kufanya kazi na yeye.
10 years ago
GPL06 Jan
9 years ago
Bongo510 Nov
Mc Galaxy wa Nigeria aingia studio kurekodi na producer Swizz Beatz (Video)
![MC-Galaxy and Swizz Beatz](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/MC-Galaxy-and-Swizz-Beatz-300x194.jpg)
Siku za hivi karibuni producer maarufu wa Marekani Swizz Beatz na mkewe Alicia Keyz wamekuwa wakipost video clips kwenye mitandao ya kijamii wakifurahia nyimbo za wasanii wa Afrika zikiwemo kazi za Diamond, MC Galaxy, Wizkid na wengine.
Mc Galaxy ameingia studio jijini New York, marekani kurekodi nyimbo mpya na producer huyo wa kimataifa Swizz Beatz ikiwemo remix ya wimbo wake ‘Sekem’.
MC Galaxy alipost picha akiwa studio na Swizz kwenye akaunti yake ya Instagram.
Katika video ya Swizz...
10 years ago
Mwananchi25 Mar
Mbunge adai trafiki hupangiwa ‘hesabu’ na wakubwa wao
10 years ago
Bongo Movies18 Feb
Luckey: Wasanii Wakubwa Wanabebwa na Mavazi
MWIGIZAJI na muongozaji wa filamu Bongo Luckey Luckamo amewashukia wasanii wakubwa kuwa uwezo wao wa kuigiza ni mdogo sana lakini baadhi ya watayarishaji wanawapenda kwa sababu ya mavazi yao katika filamu kitu kinachosaidia kupunguza gharama kwao lakini kiwango chao ni kidogo sana.
“Katika tasnia ya filamu kuna changamoto nyingi, lakini ngumu kuliko yote ukikutana na filamu inayoshirikisha wasanii Nyota, tatizo kwani wengi wao uwezo wao upo chini sana, lakini wanabebwa na mavazi tu kwa...
9 years ago
Bongo503 Oct
Hakuna ngoma kali za Bongo fleva — Asema producer mkongwe Enrico
10 years ago
CloudsFM22 Dec
CYRIL AMPANDISHA NDEGE PRODUCER WAKE BAADA YA KUGONGEWA NGOMA KALI
Hivi karibuni msanii wa Hip Hop Bongo,Cyril Kamikaze aliwashangaza watu kwa kumpa ofa producer wake Geoff Master wa studio ya Tongwe Records baada kupigiwa biti ya ngoma flani ambayo haijatoka, cyril alimpeleka mjini Zanzibar Geoff Master kwa siku kama nne kwa ajili ya mapumziko kama shukrani ya kumfanyia ngoma.
‘’Nimeamua kumpeleka producer wangu mjini Zanzibar kwa mapumziko kama shukrani ya kunifanyia ngoma kali ingawa sijajua kama itafanya vizuri au haitafanya vizuri lakini ni ngoma...
9 years ago
Bongo506 Oct
Baucha kuanzisha ‘mobile studio’ kurekodi na wasanii wa mikoani
9 years ago
Bongo528 Sep
Video: Producer Swizz Beatz wa Marekani azipa shavu ngoma mbili za Diamond