Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Baucha kuanzisha ‘mobile studio’ kurekodi na wasanii wa mikoani

Producer na msanii Baucha amesema amedhamiria kuanzisha mobile studio ili kuweka unafuu na urahisi wa ufanyaji kazi kwa wasanii wa mikoani na wilayani ambao walikuwa na ndoto ya kufanya wimbo/nyimbo kwenye studio kubwa Tanzania. Katika mahojiano aliyoyafanya na mtangazaji Ergon Elly wa Kitulo FM – Njombe, Baucha alisema wasanii wengi kutoka mikoani wanatamani kuja Dar […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Mc Galaxy wa Nigeria aingia studio kurekodi na producer Swizz Beatz (Video)

MC-Galaxy and Swizz Beatz

Siku za hivi karibuni producer maarufu wa Marekani Swizz Beatz na mkewe Alicia Keyz wamekuwa wakipost video clips kwenye mitandao ya kijamii wakifurahia nyimbo za wasanii wa Afrika zikiwemo kazi za Diamond, MC Galaxy, Wizkid na wengine.

MC-Galaxy and Swizz Beatz

Mc Galaxy ameingia studio jijini New York, marekani kurekodi nyimbo mpya na producer huyo wa kimataifa Swizz Beatz ikiwemo remix ya wimbo wake ‘Sekem’.

MC Galaxy alipost picha akiwa studio na Swizz kwenye akaunti yake ya Instagram.

Katika video ya Swizz...

 

10 years ago

Bongo5

Picha: Diamond kurekodi na Yemi Alade kwenye Coke Studio Africa

Diamond Platnumz amerejea tena kwenye msimu wa pili wa kipindi cha Coke Studio Africa na awamu hii atatangeneza pair na hitmaker wa Johny, Yemi Alade kutoka nchini Nigeria. Diamond na Yemi Alade Diamond ni msanii wa nne mwaka huu kutoka Tanzania aliyeshiriki kwenye kipindi hicho kinachorekodiwa jijini Nairobi, Kenya. Wengine ni Vanessa Mdee aliyerekodi na […]

 

11 years ago

GPL

STUDIO MPYA YA KUREKODI MUZIKI YAZINDULIWA UBUNGO-MAZIWA DAR ES SALAAM

MC wa sherehe hiyo, Nteze, akitambulisha rasmi lengo kuu la kuwepo kwa sherehe hiyo. Mkurugenzi wa studio hiyo, Bw. David Kassiane, akiwa ndani ya chumba cha studio hiyo.…

 

9 years ago

Bongo5

Ommy Dimpoz ashinda tuzo Marekani, aingia studio kurekodi na Eddy Kenzo

12071024_1489877797975917_850313823_nOmmy Dimpoz ameshinda tuzo ya African Entertainment Awards zilizofanyika Jumamosi hii huko New Jersey, Marekani. Ommy Dimpoz, Mubenga na DMK wakiwa red carpet Ommy aliyetumbuiza pia kwenye tuzo hizo alishinda kipengele cha People’s Choice Award. Kufuatia ushindi huo, muimbaji huyo aliandika kwenye Instagram, “ Thank you my people for your Votes U made this Possible […]

 

10 years ago

Bongo5

Producer Dupy adai wasanii wakubwa ni mabingwa wa kurekodi ngoma bure!

Wasanii wakubwa wa muziki nchini ni mabingwa wa kurekodi ngoma bure, kwa mujibu wa producer wa Upraise Records, Dupy. Dupy amedai kuwa hali hiyo imemfanya hadi sasa kuwa na nyimbo alizowatengeneza Izzo B na Juma Nature pekee. “Wasanii wengi wakubwa wana zile za kujuana,” Dupy ameiambia Bomba Base Show ya Bomba FM Radio, Mbeya. “Mtu […]

 

10 years ago

CloudsFM

DIAMOND AUNGANA NA WASANII BARANI AFRIKA KUREKODI WIMBO WA KUPINGA UGONJWA WA EBOLA

Diamond Platnumz ni miongoni mwa wasanii wa Afrika watakaosikika kwenye wimbo wa pamoja wa kampeni ya kupinga ugonjwa wa Ebola ‘Africa Against Ebola’ wasanii walioshiriki katika kampeni hiyo akiwemo, Iyanya, Donald,Banky W,Kcee,Mafikizolo,Sean Tizzle na wengineo.

 

9 years ago

Bongo5

Alikiba aungana na wasanii wengine wa Afrika kurekodi wimbo maalum wa siku ya Amani Duniani —Sept. 21

Tarehe 21 September kila mwaka huwa ni siku ya Amani Duniani, na mwaka huu baadhi ya wasanii wa Afrika akiwemo staa wa Tanzania wameandaa kitu maalum cha kuhamasisha Amani. Coke Studio Africa imewakutanisha baadhi ya wasanii wa Afrika akiwemo Alikiba wa Tanzania, Ice Prince (Nigeria), Maurice Kirya (Uganda), Wangechi (Kenya) na wengine, kurekodi wimbo wa […]

 

10 years ago

Bongo5

Picha: Wasanii wa kike nchini waungana na kurekodi video ya wimbo ‘Simama Nami’ kupinga mauaji ya albino

Wasanii mbalimbali wa kike nchini wameungana na kurekodi video ya wimbo uitwao ‘Simama Nami’, maalum kwaajili ya kupinga vitendo vya ukatili dhidi ya walemavu wa ngozi vinavyoendelea nchini. Video imeongozwa na Hanscana. Wasanii walioshiriki ni pamoja na Keisha, Mwasiti, Linah, Khadija Nito, Grace Matata, Shilole, Kajala, Wolper,Shamsa Ford, Irene Uwoya na Zamaradi Mketema. Wimbo umeandikwa […]

 

10 years ago

Bongo5

Wycleif Jean kufanya collabo na Shaa na wasanii wa Coke Studio Africa

Muimbaji wa muziki na kiongozi wa kundi la zamani la Fugees, Wycleif Jean ametua jijini Nairobi, Kenya kwa mradi wa Coke Studio Africa. Msanii huyo kutoka Haiti atarekodi wimbo na wasanii mbalimbali wa Afrika akiwemo Shaa kama sehemu ya kipindi hicho. Shaa ameshare picha akiwa na Wycleif na kusema ndoto yake imetimia. “Wyclef…Dreams do come […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani