Picha: Diamond kurekodi na Yemi Alade kwenye Coke Studio Africa
Diamond Platnumz amerejea tena kwenye msimu wa pili wa kipindi cha Coke Studio Africa na awamu hii atatangeneza pair na hitmaker wa Johny, Yemi Alade kutoka nchini Nigeria. Diamond na Yemi Alade Diamond ni msanii wa nne mwaka huu kutoka Tanzania aliyeshiriki kwenye kipindi hicho kinachorekodiwa jijini Nairobi, Kenya. Wengine ni Vanessa Mdee aliyerekodi na […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL11 Sep
10 years ago
Vijimambo30 Oct
10 years ago
Michuzi06 Oct
11 years ago
Bongo507 Jul
Picha: Joh Makini ala shavu la Coke Studio Africa, ataperform na Chidinma wa Nigeria
9 years ago
Bongo521 Dec
Shilole aingia studio na producer wa Yemi Alade, Selebobo
![Shilole na Selebobo](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/Shilole-na-Selebobo-300x194.jpg)
Staa wa muziki nchini, Shilole ameingia studio na producer wa hit single ya Yemi Alade (Johnny) Selebobo wa Nigeria kurekodi wimbo mpya.
Shilole ambaye yupo nchini Nigeria, ameiambia Bongo5 kuwa kila kitu kimeenda sawa na usiku wa Jumamosi waliingia studio.
“Tunaingia leo (Jumamosi) usiku studio. Nimezungumza naye nimemwonesha ngoma zangu na ametokea kupenda kazi zangu, kwahiyo kwa kifupi mashabiki wangu wategemee mambo mazuri hasa hasa kolabo,” alisema.
Shilole amesema safari yake ya...
11 years ago
Bongo528 Jul
Baada ya Vee Money na Joh Makini, sasa ni zamu ya Shaa kwenye Coke Studio Africa
10 years ago
Bongo528 Oct
Music: Diamond Platnumz f/ Yemi Alade — Ukimwona (Live)
10 years ago
TheCitizen15 May
Coke Studio Africa season three is on