Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Music: Diamond Platnumz f/ Yemi Alade — Ukimwona (Live)

Pamoja na kwamba ‘Ukimwona’ haikutoka kama ngoma rasmi ya Diamond, bado kwa wengi ni ngoma kali zaidi kuwahi kuimba na staa huyo. Pengine ndio maana, waandaji wa Coke Studio Africa walichagua Ukimwona utumbuize live akishirikiana na muimbaji wa Nigeria Yemi Alade. Na kwakuwa kipindi hicho kina bendi hatari, wimbo huo umekuwa mzuri zaidi hata ule […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

9 years ago

Bongo5

Music: Yemi Alade Ft. DJ Arafat – Do As I Do

yemi

Mwanamuziki kutoka Nigeria, Yemi Alade amerudi na single mpya kutoka kwenye album yake,”Mama Africa” mpya inayotegemea kuwa mtaani hivi karibuni. Wimbo unaitwa “Do As I Do” wimbo huu amemshirikisha staa kutoka Ivory Coast , DJ Arafat. Mtayarishaji wa wimbo huu ni Selebobo (on the beat).

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka...

 

9 years ago

Bongo5

New Music: Yemi Alade – Na Gode (Swahili Version)

image1-46

To celebrate the Christmas season, Yemi Alade has released a Swahili version of her inspirational hit single “Na Gode.”

The track retains the original production credited to Selebobo; but Yemi Alade switches the vocal arrangement and lyrics, as the vocal powerhouse delivers the fan favourite in Swahili. Yemi Alade fell in love with the language during her numerous visits to East Africa, Kenya and Tanzania to be precise.

Compliments of the season from Yemi Alade!Listen, share and...

 

10 years ago

Bongo5

Picha: Diamond kurekodi na Yemi Alade kwenye Coke Studio Africa

Diamond Platnumz amerejea tena kwenye msimu wa pili wa kipindi cha Coke Studio Africa na awamu hii atatangeneza pair na hitmaker wa Johny, Yemi Alade kutoka nchini Nigeria. Diamond na Yemi Alade Diamond ni msanii wa nne mwaka huu kutoka Tanzania aliyeshiriki kwenye kipindi hicho kinachorekodiwa jijini Nairobi, Kenya. Wengine ni Vanessa Mdee aliyerekodi na […]

 

10 years ago

Bongo5

Diamond na Yemi Alade wasaini na MCSK (chama cha haki miliki Kenya)

Diamond Platnumz na muimbaji wa Nigeria, Yemi Alade wamesaini mkataba na chama cha haki miliki cha Kenya, MCSK. Wawili hao walikuwa nchini Kenya mwezi uliopita kurekodi kipindi Coke Studio Africa msimu wa pili. “Tulimkabidhi Diamond cheque ya fedha nyingi za mirahaba na baada ya kumuonesha michakato yetu, alikuwa tayari kusaini nasi,” alisema CEO wa MCSK, […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani