Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Shilole aingia studio na producer wa Yemi Alade, Selebobo

Shilole na Selebobo

Staa wa muziki nchini, Shilole ameingia studio na producer wa hit single ya Yemi Alade (Johnny) Selebobo wa Nigeria kurekodi wimbo mpya.

Shilole na Selebobo

Shilole ambaye yupo nchini Nigeria, ameiambia Bongo5 kuwa kila kitu kimeenda sawa na usiku wa Jumamosi waliingia studio.

“Tunaingia leo (Jumamosi) usiku studio. Nimezungumza naye nimemwonesha ngoma zangu na ametokea kupenda kazi zangu, kwahiyo kwa kifupi mashabiki wangu wategemee mambo mazuri hasa hasa kolabo,” alisema.

Shilole amesema safari yake ya...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

9 years ago

Bongo5

Video: Yemi Alade Feat. Selebobo — Na Gode

Yemi-Alade-Na-Gode-B-T-S-15

Msanii wa Kike kutoka Nigeria Yeami Alade ameachia video mpya wimbo unaitwa “Na Gode” amemshirikisha Selebobo

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

Bongo5

Mc Galaxy wa Nigeria aingia studio kurekodi na producer Swizz Beatz (Video)

MC-Galaxy and Swizz Beatz

Siku za hivi karibuni producer maarufu wa Marekani Swizz Beatz na mkewe Alicia Keyz wamekuwa wakipost video clips kwenye mitandao ya kijamii wakifurahia nyimbo za wasanii wa Afrika zikiwemo kazi za Diamond, MC Galaxy, Wizkid na wengine.

MC-Galaxy and Swizz Beatz

Mc Galaxy ameingia studio jijini New York, marekani kurekodi nyimbo mpya na producer huyo wa kimataifa Swizz Beatz ikiwemo remix ya wimbo wake ‘Sekem’.

MC Galaxy alipost picha akiwa studio na Swizz kwenye akaunti yake ya Instagram.

Katika video ya Swizz...

 

9 years ago

Africanjam.Com

VIDEO: YEMI ALADE - NA GODE ft. SELEBOBO (Official Video)



Published on Nov 4, 2015Yemi Alade finally premieres the music video for her smash hit "Na Gode" featuring Selebobo.
The gratitude preaching "Na Gode" is produced by the track's guest vocalist, and serves as the first and lead single of Yemi Alade's sophomore album christened "Mama Africa".

Special thanks to the National Commission of Refugees, Migrants and Internally Displaced Persons (NCFRMI), Nikki Laoye (Founder, Angel 4 Life Foundation/Celebrity Voice for NCFRMI South/West Zone), Mrs....

 

9 years ago

Bongo5

Shilole apanga kumshirikisha Yemi Alade

Shilole anapanga kumshirikisha Yemi Alade wa Nigeria. Shilole ameiambia Bongo5 kuwa kwa sasa wanajadiliana namna ya kufanya ya kazi. “Unajua Yemi ni msanii mkubwa na ana vitu vingi anafanya ila kila kitu kinaenda sawa,” amesema. “Watu wangu ambao wanazungumza na Yemi wanaendelea na kila kitu kinaenda sawa soon watu watasikia nini kinaendelea.” Shilole amedai ataachia […]

 

10 years ago

Bongo5

Picha: Diamond kurekodi na Yemi Alade kwenye Coke Studio Africa

Diamond Platnumz amerejea tena kwenye msimu wa pili wa kipindi cha Coke Studio Africa na awamu hii atatangeneza pair na hitmaker wa Johny, Yemi Alade kutoka nchini Nigeria. Diamond na Yemi Alade Diamond ni msanii wa nne mwaka huu kutoka Tanzania aliyeshiriki kwenye kipindi hicho kinachorekodiwa jijini Nairobi, Kenya. Wengine ni Vanessa Mdee aliyerekodi na […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani