Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Shilole apanga kumshirikisha Yemi Alade

Shilole anapanga kumshirikisha Yemi Alade wa Nigeria. Shilole ameiambia Bongo5 kuwa kwa sasa wanajadiliana namna ya kufanya ya kazi. “Unajua Yemi ni msanii mkubwa na ana vitu vingi anafanya ila kila kitu kinaenda sawa,” amesema. “Watu wangu ambao wanazungumza na Yemi wanaendelea na kila kitu kinaenda sawa soon watu watasikia nini kinaendelea.” Shilole amedai ataachia […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Shilole aingia studio na producer wa Yemi Alade, Selebobo

Shilole na Selebobo

Staa wa muziki nchini, Shilole ameingia studio na producer wa hit single ya Yemi Alade (Johnny) Selebobo wa Nigeria kurekodi wimbo mpya.

Shilole na Selebobo

Shilole ambaye yupo nchini Nigeria, ameiambia Bongo5 kuwa kila kitu kimeenda sawa na usiku wa Jumamosi waliingia studio.

“Tunaingia leo (Jumamosi) usiku studio. Nimezungumza naye nimemwonesha ngoma zangu na ametokea kupenda kazi zangu, kwahiyo kwa kifupi mashabiki wangu wategemee mambo mazuri hasa hasa kolabo,” alisema.

Shilole amesema safari yake ya...

 

11 years ago

GPL

TAMASHA LA MATUMAINI 2014... SHILOLE KUMFUNIKA YEMI ALADE

WAKATI Watanzania wakilisubiri kwa hamu Tamasha la Matumaini litakalofanyika Agosti 8, mwaka huu ndani ya Uwanja wa Taifa jijini Dar, habari njema ni kwamba, staa wa Chuna Buzi, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ ameahidi kumkalisha mkali wa Johhny, Yemi Alade atakayekuja kulipamba tamasha hilo. Mkali wa kudansi kutoka Nigeria, Yemi Alade akipozi. Akizungumzia tamasha hilo lenye lengo la kuchangisha fedha kwa ajili ya...

 

11 years ago

GPL

SHILOLE: TUKUTANE UWANJA WA TAIFA MUONE NINAVYOCHUANA NA YEMI ALADE

Staa wa filamu na muziki, Zuwena Mohammed 'Shilole' amewataka mashabiki wake kuhudhuria kwa wingi katika Tamasha la Usiku wa Matumaini Agosti 8, 2014 ili waone atakavyochuana na staa mwenzake kutoka Nigeria, Yemi Alade!

 

10 years ago

Bongo5

Nay wa Mitego apanga kumshirikisha Wizkid

Nay wa Mitego amedai kuwa kwenye harakati za kufanya collabo na masupastaa wa Nigeria, Wizkid au D’Banj. Akizungumza kwenye kipindi cha Siz Kitaa cha Clouds TV, Nay alisema tayari ameshafanya mazungumzo na uongozi wake pamoja na yeye mwenyewe Wizkid. “Tupo kwenye process ambazo zinaelekea mwishoni,” alisema. “Unajua yule ni mtu ambaye ana menejimenti lakini this […]

 

9 years ago

Bongo5

Jua Cali apanga kumshirikisha Joh Makini

Rapper kutoka nchini Kenya, Jua Cali amesema anatamani kumshirikisha Joh Makini kwenye album yake mpya iitwayo Mali ya Umma inayotarajiwa kutoka October waka huu. Akizungumza na 255 ya XXL kupitia Clouds FM, Jua Cali alisema akimpata Joh Makini na akashirikiana naye atafurahi. “Album itatoka October, September,” alisema. “Jina la album inaitwa Mali ya Umma (Public […]

 

9 years ago

Bongo5

Video: Yemi Alade — Sugar

Hit maker wa ‘Johnny’, Yemi Alade wa Nigeria ametoa video mpya ya wimbo wake uitwao ‘Sugar’. Video hiyo ilioongozwa na Paul Gambit imefanyika London, Uingereza pamoja na Lagos, Nigeria. Sugar ni single ya 9 kutoka kwenye album ya Yemi, “King of Queens”. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili […]

 

11 years ago

GPL

9 years ago

Bongo5

Music: Yemi Alade Ft. DJ Arafat – Do As I Do

yemi

Mwanamuziki kutoka Nigeria, Yemi Alade amerudi na single mpya kutoka kwenye album yake,”Mama Africa” mpya inayotegemea kuwa mtaani hivi karibuni. Wimbo unaitwa “Do As I Do” wimbo huu amemshirikisha staa kutoka Ivory Coast , DJ Arafat. Mtayarishaji wa wimbo huu ni Selebobo (on the beat).

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani