Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nay wa Mitego apanga kumshirikisha Wizkid

Nay wa Mitego amedai kuwa kwenye harakati za kufanya collabo na masupastaa wa Nigeria, Wizkid au D’Banj. Akizungumza kwenye kipindi cha Siz Kitaa cha Clouds TV, Nay alisema tayari ameshafanya mazungumzo na uongozi wake pamoja na yeye mwenyewe Wizkid. “Tupo kwenye process ambazo zinaelekea mwishoni,” alisema. “Unajua yule ni mtu ambaye ana menejimenti lakini this […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Shilole apanga kumshirikisha Yemi Alade

Shilole anapanga kumshirikisha Yemi Alade wa Nigeria. Shilole ameiambia Bongo5 kuwa kwa sasa wanajadiliana namna ya kufanya ya kazi. “Unajua Yemi ni msanii mkubwa na ana vitu vingi anafanya ila kila kitu kinaenda sawa,” amesema. “Watu wangu ambao wanazungumza na Yemi wanaendelea na kila kitu kinaenda sawa soon watu watasikia nini kinaendelea.” Shilole amedai ataachia […]

 

9 years ago

Bongo5

Jua Cali apanga kumshirikisha Joh Makini

Rapper kutoka nchini Kenya, Jua Cali amesema anatamani kumshirikisha Joh Makini kwenye album yake mpya iitwayo Mali ya Umma inayotarajiwa kutoka October waka huu. Akizungumza na 255 ya XXL kupitia Clouds FM, Jua Cali alisema akimpata Joh Makini na akashirikiana naye atafurahi. “Album itatoka October, September,” alisema. “Jina la album inaitwa Mali ya Umma (Public […]

 

10 years ago

Bongo5

Usichokifahamu kuhusu ‘concept’ ya video mpya ya Nay wa Mitego ‘Mr Nay’

Kwa mtu ambaye tayari ameiona video mpya ya Nay Wa Mitego, ‘Mr Nay’ huenda swali la kwanza ambalo atajiuliza mara baada ya kuitazama au akipata nafasi ya kukutana na Nay atamuuliza ni ‘hiyo concept ya video, zile damu damu na ‘mask’ za kutisha, minyororo na hizo sign zote zina maana gani?’ Mara nyingi au mara […]

 

10 years ago

Bongo5

Behind The Scenes: Utengenezaji wa video ya Nay Wa Mitego ‘Mr Nay’ nchini Kenya

Nay Wa Mitego ni miongoni mwa wasanii wa Tanzania walioamua kwenda kufanya video nje mwaka huu, na hii ikiwa ni mara yake ya pili kufanyia video nchini Kenya. Hii ni video ya behind the scenes ya wakati wa utengenezaji wa video ya ‘Mr Nay’ iliyofanyika Nairobi, Kenya wiki chache zilizopita na kuongozwa na director Kevin […]

 

9 years ago

Bongo5

Chagga Barbie ndiye ameziba nafasi ya Shamsa Ford kwa Nay Wa Mitego? Nay azungumza

Chagga na Nay

Jimbo la mapenzi la Nay Wa Mitego liko wazi toka aachane na aliyekuwa cousin mpenzi wake Shamsa Ford, lakini swali ni kwamba ni mrembo gani aliyerithi nafasi hiyo iliyoachwa wazi na Shamsa ambayo huenda kuna warembo wengi wanaitamani?

Chagga na Nay

Kama unamfatilia Nay Wa Mitego kwenye akunti yake ya Instagram sina shaka utakuwa umeanza kuona dalili za kuwa kuna mpenzi mpya ‘mteule’ anayesubiri ‘kuapishwa’ na kuwa rasmi.

Chagga Barbie sio jina geni, ndio yule aliyezitawala headlines nyingi alipokuwa...

 

10 years ago

GPL

9 years ago

Bongo5

Baada ya kuonesha kumkubali Wizkid, Alicia Keys kumshirikisha kwenye wimbo wake

Alicia n WizkidAyodeji Ibrahim Balogun, maarufu kama Wizkid ni msanii ambaye kwasasa wanamuziki wengi wakubwa wa Marekani, sio tu wanapenda muziki wake bali wanatamani kumshirikisha katika kazi zao. Akiwa Tanzania wiki iliyopita, Wizkid (25) aliwataja baadhi ya wasanii wakubwa duniani ambao wametaka kufanya naye kazi, kumshirikisha katika kazi zao. Miongoni mwao alimtaja mfalme wa RnB, Robert Kelly […]

 

10 years ago

Bongo5

New video: Nay Wa Mitego — Mr Nay

Msanii Wa Hip Hop nchini, Nay Wa Mitego ameachia video yake mpya ‘Mr Nay’ iliyoongozwa na Kevin Bosco Jnr wa Decent Media nchini Kenya. Itazame

 

10 years ago

Bongo5

Video: Tazama teaser ya video mpya ya Nay wa Mitego ‘ Mr Nay’ iliyofanyika Kenya

Hivi karibuni Nay Wa Mitego aka True Boy alikwenda Kenya kushoot video ya single yake mpya ‘Mr Nay’, na habari njema ni kuwa video tayari imekamilika. Lakini habari mbaya ni kwamba Nay amekupa sekunde 15 tu za kuona teaser kwa sasa kabla hajaachia rasmi video kamili. Video ya ‘Mr Nay’ imeongozwa na director Kevin Bosco […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani