Jua Cali apanga kumshirikisha Joh Makini
Rapper kutoka nchini Kenya, Jua Cali amesema anatamani kumshirikisha Joh Makini kwenye album yake mpya iitwayo Mali ya Umma inayotarajiwa kutoka October waka huu. Akizungumza na 255 ya XXL kupitia Clouds FM, Jua Cali alisema akimpata Joh Makini na akashirikiana naye atafurahi. “Album itatoka October, September,” alisema. “Jina la album inaitwa Mali ya Umma (Public […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania30 Nov
Jua Cali huyoo kwa Snoop Dogg, Dr Dre
NAIROBI, KENYA
MKALI wa wimbo wa ‘Kwaheri’, Paul Nunda ‘Jua Cali’, anatarajia kusonga mbele kimataifa kutokana na mpango wake wa kufanya kazi na wasanii wakali duniani akiwemo, Snoop Dogg na Dr Dre.
Jua Cali hakutoa wimbo mpya tangu mwaka 2008 alipotoa wimbo wa ‘Kwa heri’ uliokuwa kwenye chati za juu Afrika Mashariki, lakini kwa sasa msanii huyo amewekeza muziki wake katika soko la kimataifa hasa kwa wasanii wa Marekani, Snoop na Dr. Dre.
“Ninaamini nina uwezo mkubwa kwa kuwa nilifanya...
9 years ago
Bongo505 Oct
Shilole apanga kumshirikisha Yemi Alade
10 years ago
Bongo513 Aug
Nay wa Mitego apanga kumshirikisha Wizkid
9 years ago
Bongo514 Nov
Unapenda kufahamu collabo ya Joh Makini na Davido imefikia wapi? Joh afunguka
![joh davido](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/joh-davido-300x194.jpg)
Kama unawasiwasi juu akiba ya collabo za kimataifa alizonazo John Simon Mseke a.k.a Joh Makini, ondoa hofu kwasababu ile collabo yake na nyota wa Nigeria, David Adedeji Adeleke a.k.a DaVIDO imeshaingizwa kwenye computer ya studio ya The Industry.
Davido anamkubali sana Joh Makini, na alithibitisha hilo September 18, 2015 alipovujisha taarifa ambayo muda wake ulikuwa bado, kuhusu yeye na rapper wa ‘Don’t Bother’, Joh Makini kufanya collabo.
Bongo5 ilipomtafuta Joh Makini wakati huo...
5 years ago
Bongo Movies02 Mar
VideoMPYA: Nikki wa II ft. Joh Makini & S2kizzy ‘hesabu’ Joh Mwalimu.. Wanafunzi ni Ebitoke, Ben Pol, Quick na wengine
Unakaribishwa kuitazama ngoma mpya ya Nikki wa Pili ambayo amewashirikisha Joh Makini na S2Kizzy inaitwa ‘hesabu’ ambapo humo ndani Joh Makini amecheza kama Mwalimu huku Wanafunzi darasani wakiwa ni Ebitoke, Ben Pol, Quick Rocka, Linah na wengine
11 years ago
GPL25 Jun
10 years ago
Bongo519 Dec
New Video: Joh Makini Ft. Gnako — XO
10 years ago
Jamtz.Com![](http://1.bp.blogspot.com/-H6WV--261DI/VIlwW7nsvsI/AAAAAAAABR8/dY7rMT5rLt8/s72-c/Joh%2BMakini%2BXO%2B(1).jpg)
10 years ago
Bongo511 Dec
New Music: Joh Makini Ft G Nako — Xo