TAMASHA LA MATUMAINI 2014 LIVE: YEMI ALADE, SHILOLE KUONYESHANA KAZI AGOSTI 8, 2014
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLTAMASHA LA MATUMAINI 2014... SHILOLE KUMFUNIKA YEMI ALADE
WAKATI Watanzania wakilisubiri kwa hamu Tamasha la Matumaini litakalofanyika Agosti 8, mwaka huu ndani ya Uwanja wa Taifa jijini Dar, habari njema ni kwamba, staa wa Chuna Buzi, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ ameahidi kumkalisha mkali wa Johhny, Yemi Alade atakayekuja kulipamba tamasha hilo. Mkali wa kudansi kutoka Nigeria, Yemi Alade akipozi. Akizungumzia tamasha hilo lenye lengo la kuchangisha fedha kwa ajili ya...
11 years ago
GPLYEMI ALADE AFUNIKA TAMASHA LA USIKU WA MATUMAINI 2014
Staa kutoka nchini Nigeria, Yemi Alade akipiga shoo usiku huu katika Tamasha la Usiku wa Matumaini 2014 ndani ya Uwanja wa Taifa jijini Dar.…
11 years ago
GPLTAMASHA LA MATUMAINI 2014... ROMA, MADEE, NATURE KUONYESHANA UBABE TAIFA!
Na Nassor Gallu
LISTI ya mastaa inazidi kuongezeka kuelekea Tamasha la Usiku wa Matumaini, linalotarajiwa kufanyika Agosti 8, mwaka huu kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar ambapo burudani kabambe kutoka kwa wakali wa muziki wa Bongo, Juma Nature, Madee, Roma Mkatoliki, Ali Kiba, Meninah na wengine kibao watadatisha mashabiki na kuacha historia katika burudani. Mkali wa Muziki wa Hip Hop Bongo Roma Mkatoriki. Roma atakuwa wa...
11 years ago
GPLTAMASHA LA MATUMAINI 2014 MASHALI, MAUGO KUMALIZA UBISHI AGOSTI
Mabondia Mada Maugo na Thomas Mashali ‘Simba Asiyefugika’, wakitunishiana misuli. Na Nassor Gallu SIKU zinazidi kukatika huku maandalizi yakipamba moto kuelekea katika tamasha babkubwa linalojulikana kama Usiku wa Matumaini 2014 (Night of Hope) linalotarajiwa kufanyika katika Uwanja wa Taifa jijini Dar, Agosti 8, mwaka huu. Katika tamasha… ...
11 years ago
GPLMAKAMUZI YA SHILOLE NDANI YA TAMASHA LA USIKU WA MATUMAINI 2014
Mwanadada mwigizaji na mwanamuziki Zuwena Mohamed 'Shilole' akicheza kwa kujiachia katika Tamasha la Usiku wa Matumaini 2014 usiku wa kuamkia leo. Zuwena Mohamed 'Shilole' akiongea na mashabiki wake.…
11 years ago
GPLTAMASHA LA MATUMAINI... YEMI ALADE KUMSAKA JOHNNY UWANJA WA TAIFA
Na Nassor Gallu
MOSHI wa Burudani utafuka Agosti 8, mwaka huu pale tamasha kubwa linalojulikana kama Usiku wa Matumaini 2014 (Night of Hope) litakapomshusha mkali wa ngoma ya Johnny inayobamba katika redio na televisheni, Yemi Alade kutoka Nigeria. Katika tamasha hilo ambalo limekuwa likiwaunganisha Watanzania na kuchangia masuala ya elimu kupitia mapato ya mlangoni, mkali huyo kutoka Nigeria amepania kukata kiu ya burudani kwa...
11 years ago
GPLTAMASHA LA MATUMAINI 2014: WABUNGE KUTWANGANA ‘LIVE’
AGOSTI 8, mwaka huu Uwanja wa Taifa patakuwa hapatoshi kwani Watanzania watashuhudia matukio makubwa ya burudani kupitia Tamasha la Usiku wa Matumaini. Mbunge wa Iramba Magharibi, Mwigulu Nchemba. Miongoni mwa matukio hayo ni ndondi za waheshimiwa wabunge ambapo mbunge wa Nzega, Dk. Hamisi Kigwangala atakazichapa ‘kavukavu’ na Mbunge wa Iramba Magharibi, Mwigulu Nchemba. Akizungumza na Mikito Nusunusu, Mratibu wa...
11 years ago
GPLTAMASHA LA MATUMAINI 2014 WABUNGE SIMBA NA YANGA KUONESHANA KAZI
Talk of the town kwa sasa ni tamasha kubwa na la kipekee, Usiku wa Matumaini linalotarajiwa kutimua vumbi Agosti 8, 2014 kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam ambalo ukiachilia mbali burudani kibao zitakazokuwepo, mechi kati ya wabunge wanaoishabikia Yanga dhidi ya wale wa Simba inatarajiwa kuwa kivutio cha aina yake. Wabunge wa timu ya Yanga wakiwa kwenye picha ya pamoja. Kama ilivyokuwa kwenye tamasha hilo mwaka jana...
9 years ago
Bongo505 Oct
Shilole apanga kumshirikisha Yemi Alade
Shilole anapanga kumshirikisha Yemi Alade wa Nigeria. Shilole ameiambia Bongo5 kuwa kwa sasa wanajadiliana namna ya kufanya ya kazi. “Unajua Yemi ni msanii mkubwa na ana vitu vingi anafanya ila kila kitu kinaenda sawa,” amesema. “Watu wangu ambao wanazungumza na Yemi wanaendelea na kila kitu kinaenda sawa soon watu watasikia nini kinaendelea.” Shilole amedai ataachia […]
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania