TAMASHA LA MATUMAINI 2014... ROMA, MADEE, NATURE KUONYESHANA UBABE TAIFA!
![](http://api.ning.com:80/files/Q9JKAyO9-k7SduGqFYK0FRZlpEjkLZWzEB8YsOmGIViwVWgfI3eT1k1XZ0DownxlUFej1GWv*7okyQtBZR4Ev4bsIysEtQIB/matumain.jpg)
Na Nassor Gallu LISTI ya mastaa inazidi kuongezeka kuelekea Tamasha la Usiku wa Matumaini, linalotarajiwa kufanyika Agosti 8, mwaka huu kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar ambapo burudani kabambe kutoka kwa wakali wa muziki wa Bongo, Juma Nature, Madee, Roma Mkatoliki, Ali Kiba, Meninah na wengine kibao watadatisha mashabiki na kuacha historia katika burudani. Mkali wa Muziki wa Hip Hop Bongo Roma Mkatoriki. Roma atakuwa wa...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/R*tm0ukPJZcQC0Z7ojHaPdVlpPGbFfl5xXvfKrMumU7dt0z1RYinBiBX4AYozwOCp5*JgVt8nYP8klBzc4hgVIBU741yeIZD/TAMASHALAMATUMAINIA3copy.jpg?width=750)
11 years ago
GPLROMA MKATOLIKI AFUNIKA TAMASHA LA USIKU WA MATUMAINI 2014
11 years ago
GPLMADEE AMTAFUTA ALIYEMWAGA POMBE YAKE NDANI YA TAMASHA LA MATUMAINI 2014
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/xEh6B1KdSWQG*md2kY-BgxXdooLvFQn4NTxYcZhOK1oYfYIgyzdmsH*Dng5ZrUG2aTZmYp3J5LaSfd1n0Z71fhsCUKOOXuLf/tamasha.jpg)
TAMASHA LA MATUMAINI 2014, INJILI KUTIKISA TAIFA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Iumatxx-0jzKWH6WLbey-pq6J8Hn22n8spJP7aqS67fUDBB1S70h9Tj7wnERtHOaI2oaDrC2lv0sGeXV65krlLVE8r3VWu9C/BongoBillboard280cmx380cm2.jpg?width=650)
11 years ago
Dewji Blog01 Aug
Tamasha la matumaini 2014, mastaa waeleza watakavyokamua Taifa
Stori: Centre Spread
ITAKUWA balaa! Siku chache kuelekea kwenye Tamasha la Matumaini, Agosti 8, mwaka huu, mastaa kibao watakaolipamba jukwaa litakalofungwa ndani ya Uwanja wa Taifa jijini Dar, wameeleza jinsi gani.
Diva wa muziki kutoka pande za Nigeria, Yemi Alade.
Yemi Alade
Diva wa muziki kutoka pande za Nigeria ambaye huwa habahatishi, amesema: “Nitawapagawisha mashabiki kwa kupiga nyimbo zangu zote kali ikiwemo iliyojizolea umaarufu kila kona ya Afrika, Johhny. Mashabiki wategemee...
11 years ago
GPL09 Aug
SHANGWE ZA TAMASHA LA USIKU WA MATUMAINI 2014 UWANJA WA TAIFA, DAR
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/xLJQfJNYZ-w8tJiDYDSmn1i5TvVOXXK99aINV2ddqH2TthsWxKbqFL4RaYwSHV5gDG2JGlTdAjUEOhxJ4*pHJsC94gbR*9PW/MATUMA.jpg)
TAMASHA LA MATUMAINI 2014 KILA KITU NI LEO UWANJA WA TAIFA
11 years ago
GPL08 Aug