Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TAMASHA LA MATUMAINI 2014 KILA KITU NI LEO UWANJA WA TAIFA

Na Nassor Gallu
Baada ya kuhesabu, miezi, siku na saa, sasa kila kitu kipo hadharani, hatimaye lile tamasha kubwa ambalo lilikuwa likisubiriwa na mamilioni ya Watanzania, linatarajiwa kufanyika leo Ijumaa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Kikosi cha wabunge wa timu ya Simba . Tamasha hilo la kizalendo ambalo limekuwa na mafanikio kila mwaka, linatarajiwa kuanza saa tano asubuhi mpaka saa sita usiku uwanjani… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

SHANGWE ZA TAMASHA LA USIKU WA MATUMAINI 2014 UWANJA WA TAIFA, DAR

Haya ni baadhi ya matukio katika Tamasha la Usiku wa Matumaini 2014 kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam Agosti 8, 2014.

 

11 years ago

Michuzi

TAMASHA LA USIKU WA MATUMAINI 2014 WABUNGE SIMBA NA YANGA KUPAMBANA UWANJA WA TAIFA


Makala na Nassor GalluSIKU ya Agosti 8, mwaka huu kutakuwa na bonge la mechi litakalopigwa katika Uwanja wa Taifa jijini Dar ambapo wabunge wanaoshabikia Yanga, watakuwa dimbani kupepetana na wenzao wa Simba.
Wabunge wa timu ya Simba wakiwa kwenye picha ya pamoja.Wabunge wa timu ya Yanga wakiwa kwenye picha ya pamoja.Kwa taarifa kamili BOFYA HAPA

 

11 years ago

GPL

TAMASHA LA USIKU WA MATUMAINI 2014 WABUNGE SIMBA NA YANGA FULL KUKANYAGANA UWANJA WA TAIFA

makala Na Nassor Gallu
SIKU ya Agosti 8, mwaka huu kutakuwa na bonge la mechi litakalopigwa katika Uwanja wa Taifa jijini Dar ambapo wabunge wanaoshabikia Yanga, watakuwa dimbani kupepetana na wenzao wa Simba. Wabunge wa timu ya Simba wakiwa kwenye picha ya pamoja. Hebu jaribu kuvuta picha katika ubongo wako, waheshimiwa wabunge watakapoweka kando masuala ya ‘Ukawa’ na ‘Tanzania Kwanza’, kisha...

 

11 years ago

GPL

TAMASHA LA MATUMAINI 2014 LEO NDIYO LEO TAIFA

Ile siku iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu kubwa, hatimaye imewadia ambapo leo (Agosti 8, 2014) tamasha kubwa la Usiku wa Matumaini litatingisha kinomanoma ndani ya Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, burudani ya nguvu ikitarajiwa kuongozwa na mkali wa songi la Johnny, Yemi Alade kutoka nchini Nigeria. Ali Kiba. ALLY KIBA
“Kwa mara ya kwanza, nitapanda jukwaa la Uwanja wa Taifa kuweka historia mpya. Nitagonga kali kama...

 

11 years ago

GPL

TAMASHA LA MATUMAINI... YEMI ALADE KUMSAKA JOHNNY UWANJA WA TAIFA

Na Nassor Gallu
MOSHI wa Burudani utafuka Agosti 8, mwaka huu pale tamasha kubwa linalojulikana kama Usiku wa Matumaini 2014 (Night of Hope) litakapomshusha mkali wa ngoma ya Johnny inayobamba katika redio na televisheni, Yemi Alade kutoka Nigeria. Katika tamasha hilo ambalo limekuwa likiwaunganisha Watanzania na kuchangia masuala ya elimu kupitia mapato ya mlangoni, mkali huyo kutoka Nigeria amepania kukata kiu ya burudani kwa...

 

11 years ago

GPL

USIKU WA MATUMAINI 2014 KUFANYIKA NANENANE UWANJA WA TAIFA DAR

Baadhi ya matukio katika Tamasha la Usiku wa Matumaini mwaka 2013 ambapo mgeni rasmi alikuwa Rais Jakaya Kikwete. (PICHA ZOTE NA MAKTABA)

 

11 years ago

GPL

TAMASHA LA MATUMAINI 2014, INJILI KUTIKISA TAIFA

UPAKO! Zikiwa zimesalia siku chache kuelekea katika Tamasha la Matumaini litakalofanyika katika Uwanja wa Taifa, Agosti 8, mwaka huu, pamoja na burudani mbalimbali, waimbaji wa muziki wa Injili watakuwepo kulipamba tamasha hilo. Mwimbaji wa nyimbo za injili Bongo, Martha Mwaipaja. Akizungumza na Mikito Nusunusu, mratibu wa tamasha hilo, Luqman Maloto alisema kila kitu kimekwenda kwenye mstari na kinachosubiriwa ni muda ufike,...

 

11 years ago

Dewji Blog

Tamasha la matumaini 2014, mastaa waeleza watakavyokamua Taifa

matumainiiiiii

Stori: Centre Spread

ITAKUWA balaa! Siku chache kuelekea kwenye Tamasha la Matumaini, Agosti 8, mwaka huu, mastaa kibao watakaolipamba jukwaa litakalofungwa ndani ya Uwanja wa Taifa jijini Dar, wameeleza jinsi gani.

yeminew

Diva wa muziki kutoka pande za Nigeria, Yemi Alade.

Yemi Alade

Diva wa muziki kutoka pande za Nigeria ambaye huwa habahatishi, amesema: “Nitawapagawisha mashabiki kwa kupiga nyimbo zangu zote kali ikiwemo iliyojizolea umaarufu kila kona ya Afrika, Johhny. Mashabiki wategemee...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani