Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TAMASHA LA MATUMAINI 2014, INJILI KUTIKISA TAIFA

UPAKO! Zikiwa zimesalia siku chache kuelekea katika Tamasha la Matumaini litakalofanyika katika Uwanja wa Taifa, Agosti 8, mwaka huu, pamoja na burudani mbalimbali, waimbaji wa muziki wa Injili watakuwepo kulipamba tamasha hilo. Mwimbaji wa nyimbo za injili Bongo, Martha Mwaipaja. Akizungumza na Mikito Nusunusu, mratibu wa tamasha hilo, Luqman Maloto alisema kila kitu kimekwenda kwenye mstari na kinachosubiriwa ni muda ufike,...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

TAMASHA LA MATUMAINI 2014 WASANI NYIMBO ZA INJILI KUSHUSHA UPAKO

Watumishi wa Mungu wanaofanya kazi ya kusambaza Injili kupitia karama ya uimbaji, Upendo Nkone, Ambwene Mwasongwe, Angela, Paul Clement, Martha Mwaipaja na wengine wengi wanatarajiwa kushusha upako wa nguvu ndani ya Uwanja wa Taifa, Agosti 8, 2014 katika Tamasha la Matumaini. Mwimbaji wa nyimbo za Injili, Upendo Nkone. Kwa mujibu wa mratibu wa tamasha hilo la kila mwaka, Luqman Maloto wasanii hao watafanya shoo ya kumtukuza...

 

11 years ago

Dewji Blog

Tamasha la matumaini 2014, mastaa waeleza watakavyokamua Taifa

matumainiiiiii

Stori: Centre Spread

ITAKUWA balaa! Siku chache kuelekea kwenye Tamasha la Matumaini, Agosti 8, mwaka huu, mastaa kibao watakaolipamba jukwaa litakalofungwa ndani ya Uwanja wa Taifa jijini Dar, wameeleza jinsi gani.

yeminew

Diva wa muziki kutoka pande za Nigeria, Yemi Alade.

Yemi Alade

Diva wa muziki kutoka pande za Nigeria ambaye huwa habahatishi, amesema: “Nitawapagawisha mashabiki kwa kupiga nyimbo zangu zote kali ikiwemo iliyojizolea umaarufu kila kona ya Afrika, Johhny. Mashabiki wategemee...

 

11 years ago

GPL

SHANGWE ZA TAMASHA LA USIKU WA MATUMAINI 2014 UWANJA WA TAIFA, DAR

Haya ni baadhi ya matukio katika Tamasha la Usiku wa Matumaini 2014 kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam Agosti 8, 2014.

 

11 years ago

GPL

TAMASHA LA MATUMAINI 2014 KILA KITU NI LEO UWANJA WA TAIFA

Na Nassor Gallu
Baada ya kuhesabu, miezi, siku na saa, sasa kila kitu kipo hadharani, hatimaye lile tamasha kubwa ambalo lilikuwa likisubiriwa na mamilioni ya Watanzania, linatarajiwa kufanyika leo Ijumaa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Kikosi cha wabunge wa timu ya Simba . Tamasha hilo la kizalendo ambalo limekuwa na mafanikio kila mwaka, linatarajiwa kuanza saa tano asubuhi mpaka saa sita usiku uwanjani… ...

 

11 years ago

GPL

TAMASHA LA MATUMAINI 2014... ROMA, MADEE, NATURE KUONYESHANA UBABE TAIFA!

Na Nassor Gallu
LISTI ya mastaa inazidi kuongezeka kuelekea Tamasha la Usiku wa Matumaini, linalotarajiwa kufanyika Agosti 8, mwaka huu kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar ambapo burudani kabambe kutoka kwa wakali wa muziki wa Bongo, Juma Nature, Madee, Roma Mkatoliki, Ali Kiba, Meninah na wengine kibao watadatisha mashabiki na kuacha historia katika burudani. Mkali wa Muziki wa Hip Hop Bongo Roma Mkatoriki. Roma atakuwa wa...

 

11 years ago

GPL

TAMASHA LA MATUMAINI 2014 NKONE, MWAIPAJA, MWASONGWE KUACHA.. HISTORIA TAIFA

Mkali wa muziki wa Injili, Upendo Nkone, Na Nassor Gallu
GUMZO kubwa kwa sasa mjini ni tamasha la Usiku wa Matumaini linalotarajiwa kufanyika Agosti 8, mwaka huu kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar ambapo burudani kabambe kutoka kwa wakali wa muziki wa Injili, Upendo Nkone, Martha Mwaipaja, Ambwene Mwasongwe, Angel, Paul Clement na wengine kibao watawalisha mashabiki Neno la Mungu. Usiku wa Matumaini ni tamasha kubwa ambalo...

 

11 years ago

Michuzi

TAMASHA LA USIKU WA MATUMAINI 2014 WABUNGE SIMBA NA YANGA KUPAMBANA UWANJA WA TAIFA


Makala na Nassor GalluSIKU ya Agosti 8, mwaka huu kutakuwa na bonge la mechi litakalopigwa katika Uwanja wa Taifa jijini Dar ambapo wabunge wanaoshabikia Yanga, watakuwa dimbani kupepetana na wenzao wa Simba.
Wabunge wa timu ya Simba wakiwa kwenye picha ya pamoja.Wabunge wa timu ya Yanga wakiwa kwenye picha ya pamoja.Kwa taarifa kamili BOFYA HAPA

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani