TAMASHA LA MATUMAINI 2014 NKONE, MWAIPAJA, MWASONGWE KUACHA.. HISTORIA TAIFA
![](http://api.ning.com:80/files/Whapl-f-NAYfv6Yi4Aq4sE69dtL2zVytzJLn5244ic0E3KV46D8JnQdac*wWovSNVw6Is9yAOfzFNJTKGhjquqvUHhwRsOY6/1.jpg)
Mkali wa muziki wa Injili, Upendo Nkone, Na Nassor Gallu GUMZO kubwa kwa sasa mjini ni tamasha la Usiku wa Matumaini linalotarajiwa kufanyika Agosti 8, mwaka huu kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar ambapo burudani kabambe kutoka kwa wakali wa muziki wa Injili, Upendo Nkone, Martha Mwaipaja, Ambwene Mwasongwe, Angel, Paul Clement na wengine kibao watawalisha mashabiki Neno la Mungu. Usiku wa Matumaini ni tamasha kubwa ambalo...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL08 Aug
11 years ago
Dewji Blog08 Aug
Night Of Hope 2014: Upendo Nkone akitoa matumaini ndani ya uwanja wa Taifa Dar
Mwimbaji wa Injili, Upendo Nkone akiwapa matumaini wananchi waliohudhuria Usiku wa Matumaini muda huu ndani ya Uwanja wa Taifa jijini Dar.
Upendo Nkone akiwapa burudani wapenzi wa Gospel ndani ya Tamasha la Matumaini 2014.
Umati wa watu ndani ya Tamasha la Matumaini 2014.
Nkone akizidi kufanya yake pamoja na vijana wake.
Baadhi ya wanahabari na wadau wakifuatilia tamasha hilo.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/xEh6B1KdSWQG*md2kY-BgxXdooLvFQn4NTxYcZhOK1oYfYIgyzdmsH*Dng5ZrUG2aTZmYp3J5LaSfd1n0Z71fhsCUKOOXuLf/tamasha.jpg)
TAMASHA LA MATUMAINI 2014, INJILI KUTIKISA TAIFA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Iumatxx-0jzKWH6WLbey-pq6J8Hn22n8spJP7aqS67fUDBB1S70h9Tj7wnERtHOaI2oaDrC2lv0sGeXV65krlLVE8r3VWu9C/BongoBillboard280cmx380cm2.jpg?width=650)
11 years ago
Dewji Blog01 Aug
Tamasha la matumaini 2014, mastaa waeleza watakavyokamua Taifa
Stori: Centre Spread
ITAKUWA balaa! Siku chache kuelekea kwenye Tamasha la Matumaini, Agosti 8, mwaka huu, mastaa kibao watakaolipamba jukwaa litakalofungwa ndani ya Uwanja wa Taifa jijini Dar, wameeleza jinsi gani.
Diva wa muziki kutoka pande za Nigeria, Yemi Alade.
Yemi Alade
Diva wa muziki kutoka pande za Nigeria ambaye huwa habahatishi, amesema: “Nitawapagawisha mashabiki kwa kupiga nyimbo zangu zote kali ikiwemo iliyojizolea umaarufu kila kona ya Afrika, Johhny. Mashabiki wategemee...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/xLJQfJNYZ-w8tJiDYDSmn1i5TvVOXXK99aINV2ddqH2TthsWxKbqFL4RaYwSHV5gDG2JGlTdAjUEOhxJ4*pHJsC94gbR*9PW/MATUMA.jpg)
TAMASHA LA MATUMAINI 2014 KILA KITU NI LEO UWANJA WA TAIFA
11 years ago
GPL09 Aug
SHANGWE ZA TAMASHA LA USIKU WA MATUMAINI 2014 UWANJA WA TAIFA, DAR
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Q9JKAyO9-k7SduGqFYK0FRZlpEjkLZWzEB8YsOmGIViwVWgfI3eT1k1XZ0DownxlUFej1GWv*7okyQtBZR4Ev4bsIysEtQIB/matumain.jpg)
TAMASHA LA MATUMAINI 2014... ROMA, MADEE, NATURE KUONYESHANA UBABE TAIFA!
11 years ago
Michuzi30 Jul
TAMASHA LA USIKU WA MATUMAINI 2014 WABUNGE SIMBA NA YANGA KUPAMBANA UWANJA WA TAIFA
![](http://api.ning.com/files/J9FGucqSAtHIvfwhnF6BX9UQREkR50iUJnDEsNhuK9LbPHLaf50XRG2VoNPswCGPVjlIn*12m*KJUQIYGUAOpQhImOm5-33c/koko.jpg)