TAMASHA LA MATUMAINI... YEMI ALADE KUMSAKA JOHNNY UWANJA WA TAIFA
![](http://api.ning.com:80/files/*whl3J3XpWRqVElTVLC8kRErgJDD5F6rqzBnfIB8ZGxbwhI1tRkbPAbBLImat1I28BDolTpOEi1jZDVINI9RL5V6TL3Yjv1Y/tamasha.jpg)
Na Nassor Gallu MOSHI wa Burudani utafuka Agosti 8, mwaka huu pale tamasha kubwa linalojulikana kama Usiku wa Matumaini 2014 (Night of Hope) litakapomshusha mkali wa ngoma ya Johnny inayobamba katika redio na televisheni, Yemi Alade kutoka Nigeria. Katika tamasha hilo ambalo limekuwa likiwaunganisha Watanzania na kuchangia masuala ya elimu kupitia mapato ya mlangoni, mkali huyo kutoka Nigeria amepania kukata kiu ya burudani kwa...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLYEMI ALADE AFUNIKA TAMASHA LA USIKU WA MATUMAINI 2014
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Whapl-f-NAYJBlxpAvD07Jagz0iIVjsOJGYxGyhZ5HYHdWhT50Nnym37i9ndm7xbXqKAQhcq9BwoFHDlJIFJhzv5bny719yN/tamasha.jpg)
TAMASHA LA MATUMAINI 2014... SHILOLE KUMFUNIKA YEMI ALADE
11 years ago
GPL28 Jul
SHILOLE: TUKUTANE UWANJA WA TAIFA MUONE NINAVYOCHUANA NA YEMI ALADE
11 years ago
GPL06 Aug
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/R*tm0ukPJZcQC0Z7ojHaPdVlpPGbFfl5xXvfKrMumU7dt0z1RYinBiBX4AYozwOCp5*JgVt8nYP8klBzc4hgVIBU741yeIZD/TAMASHALAMATUMAINIA3copy.jpg?width=750)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/xLJQfJNYZ-w8tJiDYDSmn1i5TvVOXXK99aINV2ddqH2TthsWxKbqFL4RaYwSHV5gDG2JGlTdAjUEOhxJ4*pHJsC94gbR*9PW/MATUMA.jpg)
TAMASHA LA MATUMAINI 2014 KILA KITU NI LEO UWANJA WA TAIFA
11 years ago
GPL09 Aug
SHANGWE ZA TAMASHA LA USIKU WA MATUMAINI 2014 UWANJA WA TAIFA, DAR
11 years ago
GPL22 Jul
11 years ago
Bongo510 Jul
New Video: Yemi Alade wa Naija ampata ‘Johnny’! Mtazame katika video yake mpya ‘Tangerine’