Wycleif Jean kufanya collabo na Shaa na wasanii wa Coke Studio Africa
Muimbaji wa muziki na kiongozi wa kundi la zamani la Fugees, Wycleif Jean ametua jijini Nairobi, Kenya kwa mradi wa Coke Studio Africa. Msanii huyo kutoka Haiti atarekodi wimbo na wasanii mbalimbali wa Afrika akiwemo Shaa kama sehemu ya kipindi hicho. Shaa ameshare picha akiwa na Wycleif na kusema ndoto yake imetimia. “Wyclef…Dreams do come […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo506 Nov
Wyclef Jean kutumbuiza jukwaa moja na Shaa, Chidinma kwenye finali za Coke Studio, Kenya Jumamosi hii
11 years ago
Bongo528 Jul
Baada ya Vee Money na Joh Makini, sasa ni zamu ya Shaa kwenye Coke Studio Africa
10 years ago
Bongo505 Oct
Video: Shaa na Jackie wapoteza mbaya kwenye Coke Studio na ‘Subira’
10 years ago
Bongo530 Aug
Shaa adai Coke Studio imempa connection kubwa, afanya colabo na Redsan na Chidinma
11 years ago
Bongo503 Jul
Shakira, Wycleif Jean na Carlos Santana kutumbuiza kwenye fainali ya kombe la dunia
10 years ago
Bongo506 Feb
AY atoa funzo kwa wasanii wenye malengo ya kufanya collabo na wasanii wa nje
10 years ago
TheCitizen15 May
Coke Studio Africa season three is on
10 years ago
Vijimambo30 Oct
10 years ago
Dewji Blog12 Sep
Uzindizi wa Coke Studio Africa wafana
Kutoka kushoto ni Joh Makini, Shaa, Bukuku (Mc wa shughuli hiyo), Brand Manager wa Coca Cola, Maurice Njowoka na Vanessa Mdee.
‘Coke Studio Africa’ msimu wa pili
Vanessa Mdee, Shaa, Joh Makini Diamond ‘live’ TBC1,TBC2
Na Andrew Chale
Kampuni ya vinywaji baridi ya Coca-Cola, ilizindua msimu wa pili wa onyesho la luninga lijulikanalo kama ‘Coke Studio Africa’ ambalo linatarajiwa konyeshwa kila Jumatatu na kituo cha Shirika la Utangazaji cha TBC.
Akizungumza na wandishi wa habari wakati wa...