Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mambo ya Coke Studio Africa

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

TheCitizen

Coke Studio Africa season three is on

>Following the success of Coke Studio Africa Season 2, The Coca-Cola Company, in partnership with Kenya Airways, is happy to announce the return of its flagship African music show for the 3rd  season.

 

10 years ago

Dewji Blog

Uzindizi wa Coke Studio Africa wafana

IMG_6702

Kutoka kushoto ni Joh Makini, Shaa, Bukuku (Mc wa shughuli hiyo), Brand Manager wa Coca Cola, Maurice Njowoka na Vanessa Mdee.

‘Coke Studio Africa’ msimu wa pili

Vanessa Mdee, Shaa, Joh Makini Diamond ‘live’ TBC1,TBC2

Na Andrew Chale

Kampuni ya vinywaji baridi ya Coca-Cola,  ilizindua msimu wa pili wa onyesho la luninga lijulikanalo kama  ‘Coke Studio Africa’ ambalo linatarajiwa konyeshwa kila Jumatatu na kituo cha Shirika la Utangazaji cha TBC.

Akizungumza na wandishi wa habari wakati wa...

 

9 years ago

TheCitizen

Coke studio Africa has taken me to new heights: Ali Kiba

Tanzania’s Bongo Flava music mogul Ali Kiba says is proud of taking part in the Coke studio Africa season 3 attributing the move as one of his success in music carrier.

 

10 years ago

GPL

UZINDUZI WA COKE STUDIO AFRICA WAFAANA DAR‏

Mwanamitindo Rio Paul (kulia) akiwa na rafiki zake muda mfupi baada ya uzinduzi wa msimu wa pili wa  Coke studio Africa, Hyatt Hotel, jijini dar es Salaam. Wanamuziki  Vanessa Mdee, Jo Makini na Shaa wakiwa katika picha ya pamoja kwenye 'red Carpet  wakati wa uzinduzi huo. Kutoka…

 

10 years ago

Vijimambo

Ne-Yo kutumbuiza Coke Studio Africa nchini Kenya na nyota wa Afrika

Kufuatia tetesi mbalimbali kuhusu ujio wa mkali wa miondoko ya R&B na Pop NE-YO katika onyesho la Coke Studio Afrika msimu wa tatu, sasa imethibitishwa kuwa msanii huyo atakuja rasmi.

NE-YO ambaye atakuwa ndiye mgeni pekee kutoka nje ya Afrika, ataambatana na nyota wengine wa Afrika ambao ni Wangechi (Kenya), Alikiba  (Tanzania), Maurice Kirya (Uganda), Dama Do Bling (Mozambique) na Ice Prince (Nigeria) ambapo wataungana kufanya nyimbo moja.

Kuelekea ujio wake nchini Kenya, NE-YO  ametoa...

 

10 years ago

Bongo5

Wycleif Jean kufanya collabo na Shaa na wasanii wa Coke Studio Africa

Muimbaji wa muziki na kiongozi wa kundi la zamani la Fugees, Wycleif Jean ametua jijini Nairobi, Kenya kwa mradi wa Coke Studio Africa. Msanii huyo kutoka Haiti atarekodi wimbo na wasanii mbalimbali wa Afrika akiwemo Shaa kama sehemu ya kipindi hicho. Shaa ameshare picha akiwa na Wycleif na kusema ndoto yake imetimia. “Wyclef…Dreams do come […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani