Shaa adai Coke Studio imempa connection kubwa, afanya colabo na Redsan na Chidinma
Msugua Gaga nambari moja nchini, Sarah Kaisi aka Shaa, amedai kuwa kushiriki kwenye msimu wa pili wa kipindi cha Coke Studio Africa kumempa connection kubwa. Shaa ameiambia Bongo5 kuwa hakutegemea kama angeitwa kwenye msimu huu wa pili wa kipindi hicho. “Namshukuru sana Mungu anajua Tanzania tupo wasanii wengi kwahiyo ilikuwa ni furaha sana kupata nafasi […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo506 Nov
Wyclef Jean kutumbuiza jukwaa moja na Shaa, Chidinma kwenye finali za Coke Studio, Kenya Jumamosi hii
Member wa kundi la miaka ya 90 Fugees, Wyclef Jean anatarajiwa kuwa nchini Kenya weekend hii, ambapo atatumbuiza kwenye jukwaa moja na wasanii wengine wa Africa akiwemo Shaa kutoka Tanzania, katika fainali za msimu wa pili wa Coke Studio Africa. Wasanii wengine wa Afrika watakaotumbuiza kwenye fainali hizo ni pamoja na Chidinma wa Nigeria, Navio […]
11 years ago
Bongo507 Jul
Picha: Joh Makini ala shavu la Coke Studio Africa, ataperform na Chidinma wa Nigeria
Nyota ya mweusi, Joh Makini inazidi kung’aa baada ya kuwa mmoja wa wasanii waliochukuliwa kwenye msimu wa pili wa kipindi cha Coke Studio Africa kinachofanyika jijini Nairobi, Kenya. Joh Makini atapanda kurekodi session yake na muimbaji mrembo wa Nigeria, Chidinma. Joh Makini na Chidinma Joh Makini akishoot vipande vya show hiyo
10 years ago
Bongo514 Sep
Wycleif Jean kufanya collabo na Shaa na wasanii wa Coke Studio Africa
Muimbaji wa muziki na kiongozi wa kundi la zamani la Fugees, Wycleif Jean ametua jijini Nairobi, Kenya kwa mradi wa Coke Studio Africa. Msanii huyo kutoka Haiti atarekodi wimbo na wasanii mbalimbali wa Afrika akiwemo Shaa kama sehemu ya kipindi hicho. Shaa ameshare picha akiwa na Wycleif na kusema ndoto yake imetimia. “Wyclef…Dreams do come […]
10 years ago
Bongo505 Oct
Video: Shaa na Jackie wapoteza mbaya kwenye Coke Studio na ‘Subira’
Shaa na Jackie Chandiru wamepokea pongezi nyingi kutokana show ya wimbo ‘Subira’ kwenye kipindi cha Coke Studio Africa. Jionee mwenyewe kwanini show yake imeshangiliwa zaidi.
11 years ago
Bongo528 Jul
Baada ya Vee Money na Joh Makini, sasa ni zamu ya Shaa kwenye Coke Studio Africa
Mwaka huu Coke Studio Africa imeamua kuchukua wasanii wengi zaidi nchini kushiriki kwenye kipindi hicho. Shaa akiwa na Jackie Baada ya Vanessa Mdee kuungana na msanii wa Nigeria, Burna Boy na Joh Makini kurekodi na Chidinma wa Nigeria, sasa ni zamu ya Shaa ambaye yupo Nairobi, Kenya kurekodi kwenye kipindi hicho na msanii wa Uganda, […]
9 years ago
Bongo507 Oct
Hanscana adai studio ya video anayojenga itakuwa kubwa zaidi Afrika Mashariki
Muongozaji wa video na mshindi wa Tuzo za Watu, Hanscana amesema studio ya video anayoijenga itakuwa kubwa zaidi Afrika Mashariki. Hanscana ameiambia Bongo5 kuwa ujenzi wa studio hiyo umeanza tayari na unatarajia kukamilika muda wowote. “Studio ninayojenga ni studio kubwa ambayo haijawahi kutokea Afrika Mashariki,” amesema. “Hata ukitaka nije nikuonyeshe studio yangu inavyojenga mwenyewe utakubali. […]
11 years ago
Bongo511 Jul
Video:Diamond asema BET imempa connection nyingi, ‘ukiacha kuuza muziki kollabo ni kitu ambacho kinasaidia’
Msanii wa muziki Nasib Abdul aka Diamond Platinum amesema kuwa kwenye kinyang’anyiro cha kuwania tuzo za BET nchini Marekani kimempa connection nyinyi za kimuziki pamoja na kollabo ambazo zinaweza zikasaidia zaidi. Akizungumza na waandishi jijini Dar es salaam jana baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Mwalimu J.K Nyerere akitokea Marekani, Diamond alisema amepata […]
10 years ago
Bongo501 Nov
Shaa asema amefanya Collabo na Redsan baada ya kugundua ndiye msanii anayeheshimika zaidi Kenya, AY ndiye aliyewaunganisha
Baada ya kuachia video mpya ‘Njoo’ iliyoongozwa na director Enos Olik, Shaa amezungumzia mambo kadhaa kuhusu collabo hiyo mpya na star mkubwa wa Kenya, Redsan ikiwemo sababu za kumchagua kumshirikisha pamoja na mtu aliyemsaidia kumpata Redsan kiurahisi na kufanya nae kazi. Shaa amesema baada ya kufanya utafiti aligundua Redsan ndiye msanii anayeheshimika zaidi Kenya ambaye […]
9 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-fSwLO0jlpak/Vg28TFxOGvI/AAAAAAAD_Nc/RoSAHApw5po/s72-c/ALI%2BKIBA%2B-%2BVICTORIA%2BCoke%2BStudio%2B2015-Emailer%2B9%2BDays-01.jpg)
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania