Shaa asema amefanya Collabo na Redsan baada ya kugundua ndiye msanii anayeheshimika zaidi Kenya, AY ndiye aliyewaunganisha
Baada ya kuachia video mpya ‘Njoo’ iliyoongozwa na director Enos Olik, Shaa amezungumzia mambo kadhaa kuhusu collabo hiyo mpya na star mkubwa wa Kenya, Redsan ikiwemo sababu za kumchagua kumshirikisha pamoja na mtu aliyemsaidia kumpata Redsan kiurahisi na kufanya nae kazi. Shaa amesema baada ya kufanya utafiti aligundua Redsan ndiye msanii anayeheshimika zaidi Kenya ambaye […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL13 Jul
9 years ago
GPL14 Oct
10 years ago
Bongo505 Jul
AY ndiye aliyefanikisha collabo yangu na Davido na kuniunganisha na Godfather — Diamond
10 years ago
CloudsFM01 Apr
Ruby: Vanessa Mdee ndiye msanii ninayemkubali
MSANII zao la Serengeti Fiesta Supa Nyota Diva 2014, Hellen George ‘Ruby’ ameonyesha tamaa ya mafanikio aliyonayo msanii mwenzake, Vanessa Mdee ‘Vee money'.
Ruby ambaye anatamba na wimbo wa ‘Nayule’ alisema, kutokana na mafanikio ya Vanessa ameamua kufuata nyayo zake ili afikie mafanikio yake. “Anajiheshimu, ana kipaji na anajua nini anafanya na kipi mashabiki wake wanataka kwa wakati huo na mimi nataka kuwa kama yeye na ninaimani nitafika alipo,” alieleza Ruby....
9 years ago
Mtanzania23 Oct
Magufuli asema yeye ndiye mshindi
NA BAKARI KIMWANGA, CHALINZE
MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, amesema anajua yeye ndiye rais wa awamu ya tano na Watanzania wameshamhakikishia watamchagua keshokutwa wakati wa kupiga kura.
Kwa mujibu wa Dk. Magufuli, anajua Watanzania wamechoshwa na ahadi za uongo, na kwamba sasa wanahitaji ahadi za vitendo.
Dk. Magufuli aliyasema hayo jana katika mkutano wa kampeni uliofanyika Chalinze, Mkoa wa Pwani.
“Watu wamechoshwa na ahadi za uongo na wanahitaji...
10 years ago
Bongo523 Sep
T.I ndiye msanii wa kimataifa atakayetumbuiza kwenye Fiesta ya Dar
10 years ago
Habarileo12 Jul
Lipumba asema yeye ndiye anayefaa kutawala
WAKATI kitendawili cha sitofahamu cha uwezekano wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kusimamisha mgombea mmoja wa Urais katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu, Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) Taifa , Profesa Ibrahim Lipumba, ameibuka na kusema taifa linahitaji kuwa na kiongozi mwenye uwezo wa kuinua na kuboresha uchumi kupitia sekta ya viwanda na kilimo.
Alisema uchumi unaosimamiwa na viwanda na sekta ya kilimo ndiyo njia pekee itakayowezesha kuongeza ajira...