Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ruby: Vanessa Mdee ndiye msanii ninayemkubali

MSANII zao la Serengeti Fiesta Supa Nyota Diva 2014, Hellen George ‘Ruby’ ameonyesha tamaa ya mafanikio aliyonayo msanii mwenzake, Vanessa Mdee ‘Vee money'.Ruby ambaye anatamba na wimbo wa ‘Nayule’ alisema, kutokana na mafanikio ya Vanessa ameamua kufuata nyayo zake ili afikie mafanikio yake. “Anajiheshimu, ana kipaji na anajua nini anafanya na kipi mashabiki wake wanataka kwa wakati huo na mimi nataka kuwa kama yeye na ninaimani nitafika alipo,” alieleza Ruby....

CloudsFM

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Ruby: Namtamani Vanessa Mdee

Rubby - Hellen-GeorgeNA MWALI IBRAHIM
MSANII chipukizi wa muziki wa Bongo Fleva, Hellen George ‘Ruby’ ameonyesha tamaa ya mafanikio aliyonayo msanii mwenzake, Vanessa Mdee ‘Vee money’.
Ruby ambaye anatamba na wimbo wa ‘Nayule’ alisema, kutokana na mafanikio ya Vanessa ameamua kufuata nyayo zake ili afikie mafanikio yake.
“Anajiheshimu, ana kipaji na anajua nini anafanya na kipi mashabiki wake wanataka kwa wakati huo na mimi nataka kuwa kama yeye na ninaimani nitafika alipo,” alieleza...

 

10 years ago

Bongo5

Vanessa Mdee na Davido washirikishwa kwenye ngoma moja ya msanii wa Ghana, D-Black

Juhudi za msanii wa kike wa Tanzania, Vanessa Mdee katika kujitangaza kimataifa zinazidi kuonekana, baada ya kuchukua tuzo ya AFRIMMA nchini Nigeria mwaka jana, sasa amepata nafasi ya kushiriki kwenye wimbo mmoja na staa wa Nigeria, Davido. Vannessa na Davido wameshirikishwa kwenye Remix ya wimbo wa msanii wa Ghana aitwaye D-Black. Wasanii wa nchi nyingine […]

 

10 years ago

Bongo5

Vanessa Mdee awa msanii wa pili Tanzania kuwa na akaunti ya VEVO, baada ya Gosby

Vanessa Mdee a.k.a Vee Money amekuwa mwanamuziki wa pili Tanzania kupata akaunti ya VEVO kwaajili ya kuweka video zake. VEVO ni mtandao mkubwa namba moja duniani unaohusika kuhifadhi na kurusha kazi za wanamuziki maarufu duniani kama kina Nicki Minaj, Beyonce, Jay Z na wengine. Gosby ndiye alikuwa msanii wa kwanza wa kizazi kipya kupata akaunti […]

 

9 years ago

Bongo5

Msanii kuwa na tuzo chache haimaanishi kuwa hafanyi vizuri — Vanessa Mdee

Tuzo kwa msanii ni kitu muhimu sana ambacho huongeza uzito wa CV, thamani na heshima kwa msanii husika hasa kwa zile tuzo kubwa. Vanessa Mdee ambaye hivi karibuni ameshinda tuzo ya ‘Msanii Bora wa Kike Afrika Mashariki’-Afrimma, amesema anaamini msanii anapopata tuzo nyingi haimaanishi ndio anafanya vizuri sana, na msanii kuwa na tuzo chache haimaanishi […]

 

10 years ago

Bongo5

Shaa asema amefanya Collabo na Redsan baada ya kugundua ndiye msanii anayeheshimika zaidi Kenya, AY ndiye aliyewaunganisha

Baada ya kuachia video mpya ‘Njoo’ iliyoongozwa na director Enos Olik, Shaa amezungumzia mambo kadhaa kuhusu collabo hiyo mpya na star mkubwa wa Kenya, Redsan ikiwemo sababu za kumchagua kumshirikisha pamoja na mtu aliyemsaidia kumpata Redsan kiurahisi na kufanya nae kazi. Shaa amesema baada ya kufanya utafiti aligundua Redsan ndiye msanii anayeheshimika zaidi Kenya ambaye […]

 

11 years ago

CloudsFM

New Video: Vanessa Mdee - Come Over

Baada ya kuisubilia kwa hamu kubwa sana video ya wimbo wa Come over toka kwa Vanessa, imeachiwa siku ya jana kupitia account ya Youtube ya Vanessa mdee chukua muda wako kuiangalia....

 

9 years ago

Bongo5

Video: Vanessa Mdee — Never Ever

Video mpya Vanessa Mdee ya wimbo wake ‘Never Ever’ iliyoongozwa na Justin Campos. Ilifanyika nchini Afrika Kusini. Wimbo umetayarishwa na Nahreel. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

10 years ago

IPPmedia

Firm honours Vanessa Mdee


IPPmedia
Firm honours Vanessa Mdee
IPPmedia
Musician Vanessa Mdee got a huge boost of his career when she was named an ambassador for the city-based paints firm, Tanzania Crown last Friday. The firm's CEO Rakesh Rao said Mdee deserves the title due to her popularity and performance in the ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani