Vanessa Mdee awa msanii wa pili Tanzania kuwa na akaunti ya VEVO, baada ya Gosby
Vanessa Mdee a.k.a Vee Money amekuwa mwanamuziki wa pili Tanzania kupata akaunti ya VEVO kwaajili ya kuweka video zake. VEVO ni mtandao mkubwa namba moja duniani unaohusika kuhifadhi na kurusha kazi za wanamuziki maarufu duniani kama kina Nicki Minaj, Beyonce, Jay Z na wengine. Gosby ndiye alikuwa msanii wa kwanza wa kizazi kipya kupata akaunti […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo520 Oct
Msanii kuwa na tuzo chache haimaanishi kuwa hafanyi vizuri — Vanessa Mdee
10 years ago
CloudsFM01 Apr
Ruby: Vanessa Mdee ndiye msanii ninayemkubali
MSANII zao la Serengeti Fiesta Supa Nyota Diva 2014, Hellen George ‘Ruby’ ameonyesha tamaa ya mafanikio aliyonayo msanii mwenzake, Vanessa Mdee ‘Vee money'.
Ruby ambaye anatamba na wimbo wa ‘Nayule’ alisema, kutokana na mafanikio ya Vanessa ameamua kufuata nyayo zake ili afikie mafanikio yake. “Anajiheshimu, ana kipaji na anajua nini anafanya na kipi mashabiki wake wanataka kwa wakati huo na mimi nataka kuwa kama yeye na ninaimani nitafika alipo,” alieleza Ruby....
10 years ago
Vijimambo11 Oct
NICK WA PILI KUWA MSANII WA KWANZA WA BONGO FLAVOUR KUCHUKUA PhD TANZANIA.
![](http://api.ning.com/files/2VGrzzXedu1B0n9ugLrrUBRdcXoCClBl5uKXUhVqUiREmhVxPYHKn19GZPb8d-POCZH7ycYMgc01ZUKoFjK9Ewz*bIwZfvpo/a630dacaaaL.jpg)
10 years ago
Bongo505 Feb
Vanessa Mdee na Davido washirikishwa kwenye ngoma moja ya msanii wa Ghana, D-Black
9 years ago
Bongo513 Dec
Vanessa Mdee ashika nafasi ya pili kwenye orodha ya MTV Base ya wasanii wa kike walio juu Afrika
![12346294_444980479044924_1318155553_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/12346294_444980479044924_1318155553_n-300x194.jpg)
Vanessa Mdee amekuwa na mwaka wenye mafanikio makubwa kimataifa.
Ndio muimbaji wa kike aliye busy zaidi na show si ndani tu ya Tanzania, bali Afrika nzima.
MTV Base wametoa orodha ya wasanii watano walio juu Afrika kwa sasa na hitmaker huyo wa Never Ever akishika nafasi ya pili.
Orodha hiyo ni:
1. Yemi Alade (Nigeria)
2. Vanessa Mdee (Tanzania)
3. Seyo Shay (Nigeria)
4. Cynthia Morgan (Nigeria)
5. Bucie (Afrika Kusini)
10 years ago
Bongo530 Jan
Nikki wa pili afanya collabo ya wasanii sita, Vanessa Mdee , Joh Makini, Jux, Nahreel, Aika na G-Nako
10 years ago
Bongo524 Aug
Jux: Vanessa Mdee ana kila sifa ya kuwa mke
11 years ago
Bongo505 Jul
Vanessa Mdee adai aliachia ‘Hawajui’ baada ya baadhi ya watu kuponda ushindi wake wa KTMA