Jux: Vanessa Mdee ana kila sifa ya kuwa mke
Jux amekanusha kuwa na uhusiano wa kimapenzi na msanii mwenzake Vanessa Mdee na kudai kuwa Vanessa ni mshikaji wake tu lakini amekiri kuwa muimbaji huyo wa ‘Come Over’ ana kila sifa ya kuwa mke. Jux ambaye hivi karibuni alionekana kuwa karibu na Vanessa amesema Vanessa ni mtu wake wa karibu anayefanya kazi naye. “No ni […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
11 years ago
Bongo504 Aug
Picha: Wajua kuwa Vanessa Mdee ana dada aliyekuwa mtangazaji maarufu wa TV na redio Kenya?
9 years ago
Bongo518 Dec
Lulu autamani uhusiano wa Vanessa Mdee na Jux
Kwa mujibu wa Lulu, Vanessa Mdee na Jux ni couple bora zaidi – of course baada ya kwake mwenyewe isiyojulikana hadi sasa.
“You can’t stop loving short girls,” ameandika Lulu kwenye Instagram.
“Ukiona nakudanganya kamuulize anko Will Smith, 20 years kakwama kwa aunty jada. Fave couple….ikitoka yangu tu hii ndo inafata. Kuna mijitu itapanic basi, sasa unataka nikupende wewe na mtu wako wakati hamueleweki!
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na...
9 years ago
Bongo Movies17 Dec
Lulu Afunguka Juu ya Mahusiano ya Jux na Vanessa Mdee
Staa mrembo wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ameamua kusema yake ya moyoni kuhusiana na mahusiano ya mastaa wawili wa bongo fleva, Jux na Vanessa kwa kuandika maneno haya kwenye ukurasa wake kwenye mtandao wa instagram mara baada ya kuweka picha ya wawili hao.
Jux na Vaness Wakiwa Kwenye Pozi
“You can’t Stop Loving Short Girls Ukiona nakudanganya Kamuulize Anko Will Smith20 years kakwama Kwa Aunty Jada
FAVE COUPLE….ikitoka Yangu Tu hii Ndo inafata
Kuna mijitu itapanic basiSasa...
10 years ago
Bongo501 Jan
Vanessa Mdee athibitisha uhusiano na Jux kwa picha hii?
9 years ago
Bongo511 Dec
Jux na Vanessa Mdee wana ngoma nne walizorekodi pamoja
Jux na Vanessa Mdee wamesharekodi nyimbo nne pamoja.
Jux ambaye wiki hii ameachia video ya wimbo wake ‘One More Night’ amesema nyimbo hizo zitaanza kutoka mwakani.
“Tumerekodi nyimbo kama nne zipo studio. Muda ukifika hata mwakani zitatoka. Management ya Vanessa ikiwa tayari kutoa na management yangu ikisema tayari tutoe tutashoot video na baadaye utatoka,” Jux amekiambia kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,...
10 years ago
CloudsFM02 Feb
VANESSA MDEE AMMWAGIA SIFA MADAM RITA
\Msanii wa bongo fleva, Vanessa Mdee, amempa sifa mkurugenzi wa Bench Mark Production, Rita Poulsen ‘Madam Rita’, kuwa ni mwanamke anayestahili kuigwa na wanawake wengi nchini.Akizungumza na mtanzania jana, Vanessa alisema sifa hizo amezitoa ikiwa ni siku ya kuzaliwa kwa rita, ambaye kwa kiasi kikubwa ameweza kuibua vipaji vingi vya wasanii wachanga.
Vanessa alisema Rita ni mwanamke aliyeweza kubadilisha maisha ya vijana wengi ambao wamekuwa na ndoto za kufika mbali kimuziki.
“mara nyingi...
10 years ago
Bongo530 Sep
Vanessa Mdee: Watanzania mkituunga mkono tutawaletea sifa
10 years ago
Bongo511 Sep
Jux azungumzia tetesi za kuhusu wimbo wake mpya ‘Sisikii’ kama amemuimbia Vanessa Mdee