Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jux azungumzia tetesi za kuhusu wimbo wake mpya ‘Sisikii’ kama amemuimbia Vanessa Mdee

Mwimbaji wa R&B Jux ameendelea kukana tetesi za kuwa na uhusiano na Vanessa Mdee aka Vee money , ambao wameonekana kuwa karibu sana kwa siku za karibuni. Tetesi hizo zimepelekea watu kuhisi kuwa wimbo wake mpya ‘Sisikii’ alioutoa wiki hii amemuimbia Vanessa. Hii si mara ya kwanza kwa Jux kusemekana kutoa wimbo ambao amemwimbia msichana, […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Jux ataja kiwango alichotozwa na Mabeste kumwandikia wimbo wake mpya ‘Sisikii’, ni zaidi ya 1M na ameilipa

Wasanii wengi wa bongo siku hizi hawawaandikii bure nyimbo wasanii wenzao sababu imegeuka kuwa biashara inayolipa, kitu ambacho kimemkuta Jux pia ambaye single yake mpya ‘Sisikii’ iliyotoka jana ameandikiwa na rapper Mabeste. Akizungumza wakati anautambulisha wimbo huo jana kupitia XXL ya Clouds Fm, Jux amesema alipomfata Mabeste na kumwomba amwandikie wimbo alimwambia atafanya hivyo lakini […]

 

10 years ago

GPL

9 years ago

Bongo5

Vanessa Mdee azungumzia kufananishwa kwa video yake mpya na ile ya Ciara

Mshindi wa tuzo za Afrimma 2015, Vanessa Mdee amesema ni fahari kufananishwa kwa video ya wimbo wake ‘Never Ever’ na video ya ‘Dance Like We’re Making Love’ ya Ciara. Vanessa ameiambia Friday Night Live ya EATV kuwa msanii binafsi kama yeye kufananishwa na kazi ya Ciara aliye chini record labels kubwa duniani ni kitu kikubwa. […]

 

9 years ago

Bongo5

Vanessa Mdee arekodi wimbo mpya Nigeria na Runtown

Vee na Run

Mshindi wa tuzo ya AFRIMA 2015 ‘Best African Pop’ , Vanessa Mdee a.k.a Vee Money bado yuko nchini Nigeria akifanya Interviews pamoja na kurekodi nyimbo mpya.

Vee na Run

Vanessa ambaye hivi sasa anafanya vizuri na wimbo wake mpya ‘Never Ever’, jana amerekodi wimbo mpya kwa producer E Kelly Beatz wa Naija. “Cooking with my bro @ekellybeatz #Lagos” Vanessa aliandika kwenye picha aliyopost Instagram.

Kwenye wimbo huo Vee amesema amemshirikisha Runtown ambaye wiki chache zilizopita alikuja Tanzania...

 

9 years ago

Bongo5

Wimbo mpya wa Vanessa Mdee ‘Never Ever’ kutoka Jumatatu ijayo

Vanessa Mdee ataachia wimbo wake mpya ‘Never Ever’ Jumatatu ijayo. Kava la single mpya ya Vanessa Mdee ‘Never Ever.’ Picha ilipigwa na Osse Greca Sinare Wimbo huo umetayarishwa na prodecer wake, Nahreel wa The Industry. Wimbo uliopita, Nobody But Me aliomshirikisha rapper wa Afrika Kusini, K.O nao ulitayarishwa na mtayarishaji huyo ambaye pia msanii wa […]

 

10 years ago

Bongo5

Picha: GK aingia studio na Vanessa Mdee kuandaa wimbo mpya

Msanii wa East Coast Team, King Crazy GK aka ‘Music Messayah’ ameingia ndani ya studio za Mackochalo na kuandaa wimbo mpya aliwa amemshirikisha mwadada Vanessa Mdee. AY, Vanessa, Macko pamoja na GK wakiwa studio Kazi hiyo mpya inayoandaliwa na mtayarisha jimkongwe John Maundi akishirikana Mackochali inasimamiwa na AY, huku kazi hiyo ikiwaida itatoka mapema zaidi […]

 

9 years ago

Bongo5

Video ya wimbo mpya wa Vanessa Mdee ‘Never Ever’ kutambulishwa Trace Urban (Oct. 9 )

Wakati tunasubiri single yake mpya (audio) kuachiwa rasmi Jumatatu Ijayo, surprise nyingine kutoka kwa Vanessa Mdee ni kuwa video ya wimbo huo ‘Never Ever’ itatambulishwa exclusive na kituo cha runinga cha Ufaransa – Trace Urban kesho Oct.9. Vanessa ambaye tayari yuko Dallas, Marekani alikoenda kuhudhuria tuzo za Afrimma ameshare taarifa hiyo kupitia mitandao ya kijamii. […]

 

9 years ago

Bongo5

Lulu autamani uhusiano wa Vanessa Mdee na Jux

wpid-10903372_860878923952023_314361227_n

Kwa mujibu wa Lulu, Vanessa Mdee na Jux ni couple bora zaidi – of course baada ya kwake mwenyewe isiyojulikana hadi sasa.

wpid-10903372_860878923952023_314361227_n

“You can’t stop loving short girls,” ameandika Lulu kwenye Instagram.

“Ukiona nakudanganya kamuulize anko Will Smith, 20 years kakwama kwa aunty jada. Fave couple….ikitoka yangu tu hii ndo inafata. Kuna mijitu itapanic basi, sasa unataka nikupende wewe na mtu wako wakati hamueleweki!

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani