Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vanessa Mdee azungumzia kufananishwa kwa video yake mpya na ile ya Ciara

Mshindi wa tuzo za Afrimma 2015, Vanessa Mdee amesema ni fahari kufananishwa kwa video ya wimbo wake ‘Never Ever’ na video ya ‘Dance Like We’re Making Love’ ya Ciara. Vanessa ameiambia Friday Night Live ya EATV kuwa msanii binafsi kama yeye kufananishwa na kazi ya Ciara aliye chini record labels kubwa duniani ni kitu kikubwa. […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Jux azungumzia tetesi za kuhusu wimbo wake mpya ‘Sisikii’ kama amemuimbia Vanessa Mdee

Mwimbaji wa R&B Jux ameendelea kukana tetesi za kuwa na uhusiano na Vanessa Mdee aka Vee money , ambao wameonekana kuwa karibu sana kwa siku za karibuni. Tetesi hizo zimepelekea watu kuhisi kuwa wimbo wake mpya ‘Sisikii’ alioutoa wiki hii amemuimbia Vanessa. Hii si mara ya kwanza kwa Jux kusemekana kutoa wimbo ambao amemwimbia msichana, […]

 

9 years ago

Bongo5

Video ya wimbo mpya wa Vanessa Mdee ‘Never Ever’ kutambulishwa Trace Urban (Oct. 9 )

Wakati tunasubiri single yake mpya (audio) kuachiwa rasmi Jumatatu Ijayo, surprise nyingine kutoka kwa Vanessa Mdee ni kuwa video ya wimbo huo ‘Never Ever’ itatambulishwa exclusive na kituo cha runinga cha Ufaransa – Trace Urban kesho Oct.9. Vanessa ambaye tayari yuko Dallas, Marekani alikoenda kuhudhuria tuzo za Afrimma ameshare taarifa hiyo kupitia mitandao ya kijamii. […]

 

11 years ago

Bongo5

Vanessa Mdee azungumzia uwezekano wa kushiriki Big Brother, ampendekeza Raheem Da Prince wa Times FM

Kesho (July 11 ) ndio siku ambayo usaili wa kuwatafuta washiriki watakaoiwakilisha Tanzania katika reality show ya Big Brother nchini Afrika Kusini utaanza kufanyika. Mara nyingi zinapokaribia siku za usaili mashabiki mbalimbali huweka ubashiri wao wa mastaa ambao wanadhani wanafaa kwenda kutuwakilisha. Vanessa Mdee ni miongoni mwa mastaa mabao walitajwa na baadhi ya watu kuwa […]

 

9 years ago

Bongo5

Video: Navio azungumzia album yake mpya ‘Power’ anayotarajia kuitoa mwezi huu

NavioDaniel Lubwama Kigozi, maarufu kama Navio ni rapper kutoka Uganda ambaye amekuwa akifanya muziki kwa kipindi kirefu sasa toka alipoanzisha kundi lake la Hip Hop, Klear Kut na baadae kuanza kufanya muziki kama solo baada ya kundi hilo kujipa mapumziko ili rappers hao wamalizie masomo yao. Rapper huyo hivi karibuni alikuwa nchini Nigeria akiendelea kujitangaza […]

 

10 years ago

Michuzi

vanessa mdee afiwa na dada yake mkubwa

Muimbaji mahiri Vanessa Mdee amefiwa na dada yake mkubwa Anna Mdee, ambaye amefariki katika hospitali ya Aga Khan Dar es Salaam,  jana Jumatano alfajiri. Anna ambaye alikuwa mfanya kazi wa kampuni ya sigara ya TCC na alikuwa katika kituo cha Dodoma kwa muda mrefu alikuwa India akipatiwa matibabu.
Anna na Vanessa ni watoto wa marehemu Sammy Mdee, aliyekuwa mwandishi mkongwe aliyewahi kuongoza gazeti la Daily News, Katibu wa Mwalimu Nyerere na pia mkurugenzi wa kituo cha AICC. Mazishi ya Anna...

 

9 years ago

Bongo5

Video: Vanessa Mdee — Never Ever

Video mpya Vanessa Mdee ya wimbo wake ‘Never Ever’ iliyoongozwa na Justin Campos. Ilifanyika nchini Afrika Kusini. Wimbo umetayarishwa na Nahreel. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

11 years ago

CloudsFM

New Video: Vanessa Mdee - Come Over

Baada ya kuisubilia kwa hamu kubwa sana video ya wimbo wa Come over toka kwa Vanessa, imeachiwa siku ya jana kupitia account ya Youtube ya Vanessa mdee chukua muda wako kuiangalia....

 

9 years ago

Africanjam.Com

NEW VIDEO: VANESSA MDEE "Vee Money" - NEVER EVER (Official Video)



Published on Oct 11, 2015Tanzania's Vanessa Mdee performing her new single Never Ever!

Download 'Never Ever'
iTunes: http://smarturl.it/VanessaMdeeNE_itunes
Amazon: http://smarturl.it/VanessaMdeeNE_amazon

Follow Vanessa Mdee!
Twitter - @VanessaMdee
Instagram - @vanessamdee
Facebook - Vanessa Mdee

Digital distribution: http://www.africori.com/
Africanjam is website that came into service December 2013(with another domain) and on April 2014 the new domain Africanjam(dot)com came into use. It was found...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani