vanessa mdee afiwa na dada yake mkubwa
Muimbaji mahiri Vanessa Mdee amefiwa na dada yake mkubwa Anna Mdee, ambaye amefariki katika hospitali ya Aga Khan Dar es Salaam, jana Jumatano alfajiri. Anna ambaye alikuwa mfanya kazi wa kampuni ya sigara ya TCC na alikuwa katika kituo cha Dodoma kwa muda mrefu alikuwa India akipatiwa matibabu.
Anna na Vanessa ni watoto wa marehemu Sammy Mdee, aliyekuwa mwandishi mkongwe aliyewahi kuongoza gazeti la Daily News, Katibu wa Mwalimu Nyerere na pia mkurugenzi wa kituo cha AICC. Mazishi ya Anna...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLOBASANJO AFIWA NA DADA YAKE MDOGO
10 years ago
VijimamboRAIS WA ZANZIBAR, DK.SHEIN AFIWA NA DADA YAKE
11 years ago
Bongo504 Aug
Picha: Wajua kuwa Vanessa Mdee ana dada aliyekuwa mtangazaji maarufu wa TV na redio Kenya?
9 years ago
Dewji Blog15 Nov
Huyu ndio mchezaji mkubwa aliyempoteza binamu yake katika shambulio la Paris na mwingine kunusurika kumpoteza dada yake
Kiungo wa timu ya Taifa ya Ufaransa na klabu ya Marseille, Lassana Diarra.
Na Rabi Hume, wa Modewjiblog
Shambulio limelotokea usiku wa Ijumaa kuamkia Jumamosi katika jiji la Paris, Ufaransa wakati mchezo wa kirafiki kati ya timu ya Taifa ya Ufaransa na Ujerumani umeacha simanzi kwa kiungo wa timu ya Taifa ya Ufaransa na klabu ya Marseille, Lassana Diarra.
Katika shambulio hilo ambalo linakadiliwa kuua watu zaidi 150 limepelekea Diarra kumpoteza binamu yake, Asta Diakote ambae alikuwa moja...
10 years ago
Michuzi24 May
TANZIA: MAMA BISHANGA AFIWA NA KAKA YAKE MKUBWA CASIMU JAFFER MANJI "JALEJALE"
10 years ago
Dewji Blog27 May
Mama wa Mitindo Asia Idarous Khamsin afiwa na Mama yake mkubwa Zanzibar
Na Mwandishi Wetu
MBUNIFU mkongwe wa mavazi, Mama wa mitindo nchini, Asia Idarous Khamsin amepata pigo kufuatia kufiwa na Mama yake mkubwa, Aliyefahamika kwa jina la Fatma Juma, Msiba uliotokea Kisiwa Ndui, Unguja.
Kwa mujibu wa taarifa za msiba huo ambao hata hivyo tayari mazishi yake yamefanyika siku ya Jumatatu ya Mei 25, Kisiwa Ndui, na leo Jumatano ya Mei 27 wanatarajia kufanya kisomo maalum.
Ratiba ya Kisomo:
Leo Jumatano ya Mei 27, saa 10, Alasiri wanatarajia kufanya kisomo...
10 years ago
Michuzi27 May
Mama wa Mitindo Asia Idarous Khamisin afiwa na Mama yake mkubwa Zanzibar
MBUNIFU mkongwe wa mavazi, Mama wa mitindo nchini, Asia Idarous Khamsin amepata pigo kufuatia kufiwa na Mama yake mkubwa, Aliyefahamika kwa jina la Fatma Juma, Msiba uliotokea Kisiwa Ndui, Unguja.
Kwa mujibu wa taarifa za msiba huo ambao hata hivyo tayari mazishi yake yamefanyika siku ya Jumatatu ya Mei 25, Kisiwa Ndui, na leo Jumatano ya Mei 27 wanatarajia kufanya kisomo maalum.
Ratiba ya Kisomo:Leo Jumatano ya Mei 27, saa 10, Alasiri wanatarajia kufanya kisomo maalum kwa wanawake wote...
9 years ago
Bongo517 Oct
Vanessa Mdee azungumzia kufananishwa kwa video yake mpya na ile ya Ciara
9 years ago
Bongo526 Nov
Vanessa Mdee ataja sababu za kuchelewa kuitoa album yake ‘Money Mondays’
Album ya Vanessa Mdee, ‘Money Mondays’ ni kama imekamilika tayari lakini muimbaji huyo amesema ameichelewesha kuitoa kwasababu anaitengenezea mkakati mzuri wa kuichia.
Vanessa ameiambia Bongo5 kuwa anaangalia njia sahihi ya kuitoa.
“Naichelewesha kuitoa sababu natafuta proper distribution plan,” amesema.
“Sitaki tu itoke halafu watu wakasikiliza halafu ikabakia hamna faida yoyote tuliyotengeneza. Nataka kutumia fursa kutengeneza album ambayo italeta utofauti kwenye utoaji wa album....