TANZIA: MAMA BISHANGA AFIWA NA KAKA YAKE MKUBWA CASIMU JAFFER MANJI "JALEJALE"
Tarehe 23/05/2015 asubuhi ya Tanzania nimefiwa na kaka yangu mkubwa Bw Casim Jaffer Manji (Jalejale) Kongowe kwa binti yetu Anna Kepha mtoto wa marehemu dada Mwl Cecilia Hatia, Napenda kutumia nafasi hii kumjulisha Abasi Manji na akina Manji wa DSM. Familia ya Jaffer Manji wa Bombey, wadogo zangu Dr Geofrey Hatia Nambira wa Namibia, Isaya Hatia wa Finland, na aunt Eva Mack Hatia wa Finland. Familia ya marehemu mzee Abdruhaman Bellim, familia ya mzee Abdala, mzee Jalabi, na shangazi Anna...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo24 May
MAMA BISHANGA AMLILIA KAKA YAKE CASIM JAFFER MANJI
10 years ago
GPLTANZIA: MBUNGE WA KINONDONI AFIWA NA KAKA YAKE
10 years ago
Michuzi27 May
Mama wa Mitindo Asia Idarous Khamisin afiwa na Mama yake mkubwa Zanzibar
![IMG_3895](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/05/IMG_3895.jpg)
MBUNIFU mkongwe wa mavazi, Mama wa mitindo nchini, Asia Idarous Khamsin amepata pigo kufuatia kufiwa na Mama yake mkubwa, Aliyefahamika kwa jina la Fatma Juma, Msiba uliotokea Kisiwa Ndui, Unguja.
Kwa mujibu wa taarifa za msiba huo ambao hata hivyo tayari mazishi yake yamefanyika siku ya Jumatatu ya Mei 25, Kisiwa Ndui, na leo Jumatano ya Mei 27 wanatarajia kufanya kisomo maalum.
Ratiba ya Kisomo:Leo Jumatano ya Mei 27, saa 10, Alasiri wanatarajia kufanya kisomo maalum kwa wanawake wote...
10 years ago
Dewji Blog27 May
Mama wa Mitindo Asia Idarous Khamsin afiwa na Mama yake mkubwa Zanzibar
Na Mwandishi Wetu
MBUNIFU mkongwe wa mavazi, Mama wa mitindo nchini, Asia Idarous Khamsin amepata pigo kufuatia kufiwa na Mama yake mkubwa, Aliyefahamika kwa jina la Fatma Juma, Msiba uliotokea Kisiwa Ndui, Unguja.
Kwa mujibu wa taarifa za msiba huo ambao hata hivyo tayari mazishi yake yamefanyika siku ya Jumatatu ya Mei 25, Kisiwa Ndui, na leo Jumatano ya Mei 27 wanatarajia kufanya kisomo maalum.
Ratiba ya Kisomo:
Leo Jumatano ya Mei 27, saa 10, Alasiri wanatarajia kufanya kisomo...
10 years ago
Michuzi08 Apr
TANZIA: Mpiganaji Masoud Sanani afiwa na mama yake mzazi huko Pemba
Kwa niaba ya TASWA tunampa pole na tupo naye pamoja katika kipindi hiki kigumu kwake. Kwa wanaotaka kumfariji binafsi Masoud Sanani kwa namna mbalimbali namba zake za simu ni 0712 020020 na 0772003377. Katibu Mkuu TASWA
9 years ago
Bongo526 Nov
Tanzia: Bou Nako afiwa na baba yake mzazi
![11939309_893375544110757_1924339186_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/11939309_893375544110757_1924339186_n-300x194.jpg)
Rapa wa kundi la Nako 2 Nako, Bou Nako amefiwa na baba yake mzazi aliyekuwa akisumbuliwa na homa ya mapafu.
Akizungumza katika kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio, Bou Nako alisema mazishi yatafanyika kesho nyumbani kwao Bukoba.
“Nipo katika wakati mgumu lakini namuomba Mungu anipe wepesi. Kusema ukweli baba aliumwa sana kama miezi mitatu hivi na nadhani ni mapafu yalikuwa yanamsumbua,” amesema.
“Sasa hivi hapa Dar es Salaam tupo katika maandalizi ya kwenda Bukoba kwaajili ya...
9 years ago
Bongo511 Nov
MB Dog afiwa na kaka yake aliyekuwa akiishi Zambia
![mbdog](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/09/mbdog-300x194.jpg)
MB Dog amefiwa na kaka yake aliyekuwa akiishi nchini Zambia.
Muimbaji huyo ambaye tayari yupo msibani mkoani Tanga, ameiambia Bongo5 kuwa kwa sasa wanapanga shughuli za mazishi.
“Huku sio kwema, tuna msiba brother yangu amefariki, alikuwa Zambia, msiba upo Tanga na sasa hivi tupo kwenye taratibu za mazishi,” ameiambia Bongo5.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-u3kXusK5pDE/VV3fntDFSgI/AAAAAAAAMBc/ousGxBaJueU/s72-c/IMG-20150521-WA0124.jpg)
vanessa mdee afiwa na dada yake mkubwa
![](http://1.bp.blogspot.com/-u3kXusK5pDE/VV3fntDFSgI/AAAAAAAAMBc/ousGxBaJueU/s400/IMG-20150521-WA0124.jpg)
Anna na Vanessa ni watoto wa marehemu Sammy Mdee, aliyekuwa mwandishi mkongwe aliyewahi kuongoza gazeti la Daily News, Katibu wa Mwalimu Nyerere na pia mkurugenzi wa kituo cha AICC. Mazishi ya Anna...
11 years ago
GPLMANYOTA WA GLOBAL AFIWA NA KAKA YAKE FIDELIS MANYOTA