TANZIA: MBUNGE WA KINONDONI AFIWA NA KAKA YAKE
Mbunge wa Kinondoni (CCM), Idd Mohamed Azzan . Mbunge wa Kinondoni, Mheshimiwa Idd Mohamed Azzan anasikitika kutangaza kifo cha kaka yake, Azzan Mohamed kilichotokea usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Kinondoni (Kwa Dr. Mvungi). Msiba upo Magomeni Makuti, Mtaa wa Somanga na mazishi yatafanyika leo saa saba mchana katika makaburi ya Kisutu. Inna Lillahi wa inna illah… ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLMBUNGE WA KINONDONI AFIWA NA KAKA’KE, AZIKWA!
10 years ago
Michuzi24 May
TANZIA: MAMA BISHANGA AFIWA NA KAKA YAKE MKUBWA CASIMU JAFFER MANJI "JALEJALE"
9 years ago
Bongo526 Nov
Tanzia: Bou Nako afiwa na baba yake mzazi
![11939309_893375544110757_1924339186_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/11939309_893375544110757_1924339186_n-300x194.jpg)
Rapa wa kundi la Nako 2 Nako, Bou Nako amefiwa na baba yake mzazi aliyekuwa akisumbuliwa na homa ya mapafu.
Akizungumza katika kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio, Bou Nako alisema mazishi yatafanyika kesho nyumbani kwao Bukoba.
“Nipo katika wakati mgumu lakini namuomba Mungu anipe wepesi. Kusema ukweli baba aliumwa sana kama miezi mitatu hivi na nadhani ni mapafu yalikuwa yanamsumbua,” amesema.
“Sasa hivi hapa Dar es Salaam tupo katika maandalizi ya kwenda Bukoba kwaajili ya...
9 years ago
Bongo511 Nov
MB Dog afiwa na kaka yake aliyekuwa akiishi Zambia
![mbdog](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/09/mbdog-300x194.jpg)
MB Dog amefiwa na kaka yake aliyekuwa akiishi nchini Zambia.
Muimbaji huyo ambaye tayari yupo msibani mkoani Tanga, ameiambia Bongo5 kuwa kwa sasa wanapanga shughuli za mazishi.
“Huku sio kwema, tuna msiba brother yangu amefariki, alikuwa Zambia, msiba upo Tanga na sasa hivi tupo kwenye taratibu za mazishi,” ameiambia Bongo5.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video...
10 years ago
Michuzi08 Apr
TANZIA: Mpiganaji Masoud Sanani afiwa na mama yake mzazi huko Pemba
Kwa niaba ya TASWA tunampa pole na tupo naye pamoja katika kipindi hiki kigumu kwake. Kwa wanaotaka kumfariji binafsi Masoud Sanani kwa namna mbalimbali namba zake za simu ni 0712 020020 na 0772003377. Katibu Mkuu TASWA
11 years ago
GPLMANYOTA WA GLOBAL AFIWA NA KAKA YAKE FIDELIS MANYOTA
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-T3F7UwkNS9E/VdvqwQRsRMI/AAAAAAAHzwo/EGRBlzEr1a8/s72-c/unnamed.jpg)
TANZIA: Jaji Mkuu afiwa na Mwanawe
![](http://3.bp.blogspot.com/-T3F7UwkNS9E/VdvqwQRsRMI/AAAAAAAHzwo/EGRBlzEr1a8/s320/unnamed.jpg)
Mheshimiwa Mohamed Chande Othman,Jaji Mkuu wa Tanzania anasikitika kutangaza kifo cha mtoto wake mkubwa, Said Mohamed Chande Othman (24), kilichotokea katika hospitali ya Aga Khan jijini DAr es salaam tarehe 24 Agosti,2015.
Marehemu Said Othman alikuwa ni mfanyakazi katika Benki ya Taifa ya Biashara (NBC).
Mazishi yatafanyika siku ya Jumanne tarehe 25 Agosti,2015 saa kumi jioni huko Chumbageni, Tanga.
Inna lillahi wainna ilayhi raajiun.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/mL7vEimd6q3gTfdm7mQwBBgRoGloRO1jT46j-tL7pnUtBS0vC-nz9pYo2NUFCLv-oqS1CVWPVfvy2cfAx6MDDPzgL*jW55Kp/mtotu4.jpg?width=650)
MTITU AFIWA NA BABA YAKE
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Oi8IGTb-jSLN7HBTedkPraNFRLTBEv44WFA-GkC4QBV1sqkUasS4IXNGle4eqHGy8yKT9bX25rOwjzeCBGcztIy5BET4R6Fl/olusegun_obasanjo3.jpg?width=650)
OBASANJO AFIWA NA DADA YAKE MDOGO