TANZIA: Jaji Mkuu afiwa na Mwanawe

Mheshimiwa Mohamed Chande Othman,Jaji Mkuu wa Tanzania anasikitika kutangaza kifo cha mtoto wake mkubwa, Said Mohamed Chande Othman (24), kilichotokea katika hospitali ya Aga Khan jijini DAr es salaam tarehe 24 Agosti,2015.
Marehemu Said Othman alikuwa ni mfanyakazi katika Benki ya Taifa ya Biashara (NBC).
Mazishi yatafanyika siku ya Jumanne tarehe 25 Agosti,2015 saa kumi jioni huko Chumbageni, Tanga.
Inna lillahi wainna ilayhi raajiun.
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLTANZIA: MBUNGE WA KINONDONI AFIWA NA KAKA YAKE
9 years ago
Bongo526 Nov
Tanzia: Bou Nako afiwa na baba yake mzazi

Rapa wa kundi la Nako 2 Nako, Bou Nako amefiwa na baba yake mzazi aliyekuwa akisumbuliwa na homa ya mapafu.
Akizungumza katika kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio, Bou Nako alisema mazishi yatafanyika kesho nyumbani kwao Bukoba.
“Nipo katika wakati mgumu lakini namuomba Mungu anipe wepesi. Kusema ukweli baba aliumwa sana kama miezi mitatu hivi na nadhani ni mapafu yalikuwa yanamsumbua,” amesema.
“Sasa hivi hapa Dar es Salaam tupo katika maandalizi ya kwenda Bukoba kwaajili ya...
10 years ago
Michuzi08 Apr
TANZIA: Mpiganaji Masoud Sanani afiwa na mama yake mzazi huko Pemba
Kwa niaba ya TASWA tunampa pole na tupo naye pamoja katika kipindi hiki kigumu kwake. Kwa wanaotaka kumfariji binafsi Masoud Sanani kwa namna mbalimbali namba zake za simu ni 0712 020020 na 0772003377. Katibu Mkuu TASWA
10 years ago
Michuzi24 May
TANZIA: MAMA BISHANGA AFIWA NA KAKA YAKE MKUBWA CASIMU JAFFER MANJI "JALEJALE"
11 years ago
Dewji Blog11 Oct
Jaji wa Tanzania Movie Talents (TMT) Single Mtambalike afiwa na baba yake mzazi
Single Mtambalike ‘Richie’.
MSANII wa maigizo na filamu nchini na aliyekuwa Jaji wa Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) Single Mtambalike maarufu kwa jina la Richie, amefiwa na baba yake mzazi Mzee Mtambalike usiku wa kuamkia jana, Msiba upo Tabata, Dar.
Timu Nzima ya Tanzania Movie Talents (TMT) na Kampuni nzima ya Proin Promotions Limited inapenda kutoa pole kwa Rich na familia yake kwa kuondokewa na Mzazi wake. TMT na Proin Promotions inaunga nae katika Kipindi hiki...
5 years ago
Michuzi
10 years ago
MichuziWAZIRI MKUU, MIZENGO PINDA AFIWA NA MKWEWE
11 years ago
Michuzi
TANZIA: MKUU WA WILAYA YA KALAMBO AFARIKI DUNIA

10 years ago
Michuzi
TANZIA- MKUU WA MAGEREZA MKOA WA SHINYANGA AFARIKI DUNIA

Marehemu SACP Aneth Laurent enzi za uhai wake
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza nchini, John Casmir Minja anasikitika kutangaza kifo cha aliyekuwa Mkuu wa Magereza Mkoa wa Shinyanga, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Magereza - SACP Aneth Laurent kilichotokea jana Julai 30, 2015 katika Hospitali ya Rufaa Bugando Jijini Mwanza.Kamishna Jenerali wa Magereza anatoa pole kwa Watumishi wote wa Jeshi la Magereza nchini, familia na wale wote...