TANZIA: Mpiganaji Masoud Sanani afiwa na mama yake mzazi huko Pemba
Habari wadau, Naomba kuwajulisha kuwa mwanafamilia mwenzetu mkongwe katika uandishi wa habari za michezo, Masoud Sanani, amefiwa na mama yake mzazi huko kisiwani Pemba. Msiba ulitokea hukohuko Pemba na maziko yamefanyika Jana asubuhi.
Kwa niaba ya TASWA tunampa pole na tupo naye pamoja katika kipindi hiki kigumu kwake. Kwa wanaotaka kumfariji binafsi Masoud Sanani kwa namna mbalimbali namba zake za simu ni 0712 020020 na 0772003377. Katibu Mkuu TASWA
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo526 Nov
Tanzia: Bou Nako afiwa na baba yake mzazi

Rapa wa kundi la Nako 2 Nako, Bou Nako amefiwa na baba yake mzazi aliyekuwa akisumbuliwa na homa ya mapafu.
Akizungumza katika kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio, Bou Nako alisema mazishi yatafanyika kesho nyumbani kwao Bukoba.
“Nipo katika wakati mgumu lakini namuomba Mungu anipe wepesi. Kusema ukweli baba aliumwa sana kama miezi mitatu hivi na nadhani ni mapafu yalikuwa yanamsumbua,” amesema.
“Sasa hivi hapa Dar es Salaam tupo katika maandalizi ya kwenda Bukoba kwaajili ya...
11 years ago
Michuzi24 Apr
mpiganaji cecy jeremiah afiwa na mama yake
Ahsante, Katibu Mkuu TASWA 24/04/2014
11 years ago
Mwananchi11 Dec
Tido afiwa na mama yake mzazi
10 years ago
Bongo505 Oct
Sheria Ngowi afiwa na mama yake mzazi
10 years ago
Michuzi24 May
TANZIA: MAMA BISHANGA AFIWA NA KAKA YAKE MKUBWA CASIMU JAFFER MANJI "JALEJALE"
10 years ago
GPLTANZIA: MBUNGE WA KINONDONI AFIWA NA KAKA YAKE
10 years ago
GPL
BAB TALE AFIWA NA BABA YAKE MZAZI
10 years ago
Mtanzania05 May
Babu Tale afiwa na baba yake mzazi
BABA mzazi wa Babu Tale ambaye ni meneja wa Abdul Nassib ‘Diamond’, amefariki dunia mchana wa jana Manzese jijini Dar es Salaam.
Kifo hicho kimetokea ikiwa ni miezi kadhaa tu tangu kaka wa Babu Tale, Abdu Bonge kufariki dunia.
Msanii wa kundi hilo, Madee alithibitisha kutokea kwa kifo hicho huku akieleza kwamba msiba utakuwa nyumbani kwao Manzese ambako palifanyika msiba wa Abdu Bonge.
“Ni kweli baba wa Abdu Bonge amefariki leo (jana) na msiba upo Manzese jijini Dar es Salaam ila chanzo cha...