Video: Navio azungumzia album yake mpya ‘Power’ anayotarajia kuitoa mwezi huu
Daniel Lubwama Kigozi, maarufu kama Navio ni rapper kutoka Uganda ambaye amekuwa akifanya muziki kwa kipindi kirefu sasa toka alipoanzisha kundi lake la Hip Hop, Klear Kut na baadae kuanza kufanya muziki kama solo baada ya kundi hilo kujipa mapumziko ili rappers hao wamalizie masomo yao. Rapper huyo hivi karibuni alikuwa nchini Nigeria akiendelea kujitangaza […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
11 years ago
Bongo522 Sep
Video: Wizkid ashare kipande cha video yake mpya ‘In My Bed’ anayotarajia kuitoa leo (Sept 22)
9 years ago
Bongo526 Nov
Vanessa Mdee ataja sababu za kuchelewa kuitoa album yake ‘Money Mondays’

Album ya Vanessa Mdee, ‘Money Mondays’ ni kama imekamilika tayari lakini muimbaji huyo amesema ameichelewesha kuitoa kwasababu anaitengenezea mkakati mzuri wa kuichia.
Vanessa ameiambia Bongo5 kuwa anaangalia njia sahihi ya kuitoa.
“Naichelewesha kuitoa sababu natafuta proper distribution plan,” amesema.
“Sitaki tu itoke halafu watu wakasikiliza halafu ikabakia hamna faida yoyote tuliyotengeneza. Nataka kutumia fursa kutengeneza album ambayo italeta utofauti kwenye utoaji wa album....
9 years ago
MillardAyo03 Jan
Rapper mtanzania aliyewahi kushirikishwa na Kanye West kuitoa hii yake album sokoni…
Ni headlines za rapper aishiye Marekani ‘Minnesota’ mwenye asili ya Tanzania ambaye aliwahi kushirikishwa na Kanye West kwenye ngoma iitwayo ‘All Day’. Good news ninayotaka kushea na wewe ni kwamba mtanzania huyo hivi karibuni anatarajia kuachia album yake mpya iitwayo ‘NORTHERN LIGHTS’ tarehe 6 mwezi January tukae mkao wa kuipokea. My new project NORTHERN […]
The post Rapper mtanzania aliyewahi kushirikishwa na Kanye West kuitoa hii yake album sokoni… appeared first on...
10 years ago
Dewji Blog10 Sep
Mkali wa RnB Ash Hamman kuachia video yake ya Wahala tarehe 11 mwezi huu
Mkali wa RnB, Ash Hamman anatarajia kuachia video ya wimbo wake Wahala ijumaa hii ya tarehe 11 mwezi huu.
Video ya Wahala inafuatia kufanya vizuri kwa wimbo huo katika nchi tofauti za Mashariki ya Kati na Afrika.
Ash Hamman, ambaye makazi yake ni Dubai, anajulikana kwa nyimbo zake kali kama ‘Body n Soul’, ‘Im Sorry’ , ‘Over’ na huu wa sasa ‘Wahala’.
Video ya Wahala ambayo inatajwa kama moja ya video ghali zaidi kutengenezwa inatarajiwa kuwavutia mashabiki wengi wa muziki...
10 years ago
Bongo523 Oct
Video: Adele aachia single mpya ‘Hello’ na tracklist ya album yake ijayo ‘25’
10 years ago
Bongo513 Nov
Tyga atangaza tarehe ya kuachia album yake mpya ‘The Gold Album’
10 years ago
Bongo517 Oct
Vanessa Mdee azungumzia kufananishwa kwa video yake mpya na ile ya Ciara
9 years ago
Bongo506 Jan
Chris Brown ali-direct video 8 za album yake mpya ‘Royalty’, zitazame zote

Chris Brown ni muimbaji wa R&B ambaye ameshatuonesha kipaji kingine cha kuongoza utengenezaji wa video za muziki. Hua anapenda ku-direct baadhi ya video zake.
Kwenye album yake iliyopita ‘X’ ali-direct video 6 ambazo baadhi ni ‘Fine China’, ‘Love More’, ‘Loyal’, ‘New Flame’.
Kwa mujibu wa Billboard, Breezy pia ame direct video nane (8) za album yake mpya ‘Royalty’ aliyoitoa mwishoni mwa mwaka jana. Video hizo ni, ‘Liquor’, ‘Zero’, ‘Fine By Me’, ‘Back To Sleep’, ‘Wrist’, ‘Anyway’, ‘Picture...