Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mkali wa RnB Ash Hamman kuachia video yake ya Wahala tarehe 11 mwezi huu

wahala poster square

Mkali wa RnB, Ash Hamman anatarajia kuachia video ya wimbo wake Wahala ijumaa hii ya tarehe 11 mwezi huu.

Video ya Wahala inafuatia kufanya vizuri kwa wimbo huo katika nchi tofauti za Mashariki ya Kati na Afrika.

Ash Hamman, ambaye makazi yake ni Dubai, anajulikana kwa nyimbo zake kali kama ‘Body n Soul’, ‘Im Sorry’ , ‘Over’ na huu wa sasa ‘Wahala’.

Video ya Wahala ambayo inatajwa kama moja ya video ghali zaidi kutengenezwa inatarajiwa kuwavutia mashabiki wengi wa muziki...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Ash Hamman kuachia video ya Wahala Ijumaa hii

Mkali wa R&B, Ash Hamman wa Dubai, anatarajia kuachia video ya wimbo wake Wahala Ijumaa hii. Ash Hamman, ambaye ni ni mzaliwa wa Nigeria, anajulikana pia kwa nyimbo zake kali kama Body n Soul, I’m Sorry na Over. Video ya Wahala inatajwa kuja kuwa moja ya video ghali zaidi kutengenezwa. “Video hii ya Wahala itawapa […]

 

9 years ago

Bongo5

Video: Navio azungumzia album yake mpya ‘Power’ anayotarajia kuitoa mwezi huu

NavioDaniel Lubwama Kigozi, maarufu kama Navio ni rapper kutoka Uganda ambaye amekuwa akifanya muziki kwa kipindi kirefu sasa toka alipoanzisha kundi lake la Hip Hop, Klear Kut na baadae kuanza kufanya muziki kama solo baada ya kundi hilo kujipa mapumziko ili rappers hao wamalizie masomo yao. Rapper huyo hivi karibuni alikuwa nchini Nigeria akiendelea kujitangaza […]

 

10 years ago

Dewji Blog

T.I, Waje, Ash Hamman na Kimani kuwasili leo Dar kwa ajili Tamasha la Serengeti Fiesta 2014

ti-press-2013-650c

Baada ya kuzunguka maelfu ya maili, tamasha la Serengeti Fiesta 2014 litafunga ziara yake katika viwanja vya leaders jijini Dar es Salaam kesho kutwa jumamosi.

Rapa wa kimataifa toka Marekani T.I, pamoja na Waje toka Nigeria, Ash Hamman toka Dubai na nyota mwingine wa muziki wa kizazi kipya toka nchini Kenya, Victoria Kimani wanatarajiwa kutua leo nchini kwa ajili kuburudisha katika tamasha la Serengeti Fiesta.

T.I toka Marekani, Waje wa Nigeria, Ash Hamman toka Dubai na Victoria Kimani wa...

 

10 years ago

Bongo5

Stereo na Chid Benz kuachia wimbo ‘Ukonga na Ilala’ mwezi huu

Rapper Stereo anatarajia kuachia kazi yake mpya ‘Ukonga na Ilala’ aliyomshirikisha rapper kutoka Ilala Chid Benz. Akizungumza na Bongo5 leo, amesema kazi hiyo iliyotayarishwa kwenye studio ya Tongwe Records ni wimbo wa kuburudisha pamoja na kuwakilisha sehemu walizotoka. “Kuna wimbo unaitwa Ukonga na Ilala ambao umeandaliwa na Tongwe Records, Mungu akipenda mwezi huu machi wimbo […]

 

10 years ago

GPL

SHINDANO LA KUIGIZA LA TMT KUANZA TAREHE 25 MWEZI HUU

Wadhamini pamoja na wahusika wa shindano hilo wakisikiliza kwa makini maswali kutoka kwa waandishi (hawako pichani). Msemaji mkuu wa shindano hilo, Happiness Ntanga akiongea jambo kuhusiana na shindano hilo. Mwakilishi kutoka Kampuni ya Global Publishers, Andrew Carlos akiongelea shindano hilo.…

 

9 years ago

Bongo5

Lil Wayne atangaza tarehe ya kuachia mixtape yake ‘No Ceilings 2’

Lil Wayne no-ceilings-2-mixtape

Rapper Lil Wayne ametangaza tarehe atakayoachia mixtape yake ya ‘No Ceilings 2’ ambayo ni mwendelezo wa mixtape yake ya mwaka 2009 ‘No Ceilings’.

Lil Wayne no-ceilings-2-mixtape

Kupitia Twitter rapper huyo alishare covert ya mixtape hiyo ambayo amesema itatoka Nov. 26.

Tayari kuna nyimbo mpya ambazo Lil Wayne amekuwa akiziperform kwenye shows.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali...

 

9 years ago

Bongo5

Chris Brown atangaza tarehe ya kuachia album yake mpya ‘Royalty’

Chris Brown tayari ameweka wazi tarehe ya kuachia album yake mpya aliyoipa jina la mwanaye ‘Royalty’ ambayo imepangwa kutoka rasmi November 27, 2015. Taarifa za album hiyo zimetolewa kupitia kipindi cha ‘Nessa and Camilo’. Nyimbo zilizoishasikika kutoka kwenye album hiyo ni ‘Liquor’ pamoja na ‘Zero’. Sina shaka ‘Royalty’ haitakumbwa na mikosi kama album yake iliyopita […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani