Ash Hamman kuachia video ya Wahala Ijumaa hii
Mkali wa R&B, Ash Hamman wa Dubai, anatarajia kuachia video ya wimbo wake Wahala Ijumaa hii. Ash Hamman, ambaye ni ni mzaliwa wa Nigeria, anajulikana pia kwa nyimbo zake kali kama Body n Soul, I’m Sorry na Over. Video ya Wahala inatajwa kuja kuwa moja ya video ghali zaidi kutengenezwa. “Video hii ya Wahala itawapa […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog10 Sep
Mkali wa RnB Ash Hamman kuachia video yake ya Wahala tarehe 11 mwezi huu
Mkali wa RnB, Ash Hamman anatarajia kuachia video ya wimbo wake Wahala ijumaa hii ya tarehe 11 mwezi huu.
Video ya Wahala inafuatia kufanya vizuri kwa wimbo huo katika nchi tofauti za Mashariki ya Kati na Afrika.
Ash Hamman, ambaye makazi yake ni Dubai, anajulikana kwa nyimbo zake kali kama ‘Body n Soul’, ‘Im Sorry’ , ‘Over’ na huu wa sasa ‘Wahala’.
Video ya Wahala ambayo inatajwa kama moja ya video ghali zaidi kutengenezwa inatarajiwa kuwavutia mashabiki wengi wa muziki...
9 years ago
Bongo520 Nov
Naj kuachia video ya wimbo wake ‘No Going Home’ Ijumaa hii
![11906139_143102326048484_1476360288_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/11906139_143102326048484_1476360288_n-300x194.jpg)
Akinadada wameamua. Wakati Shaa akiwa na silaha yake kutoka kwa Justin Campos, Naj anatarajia kuachia video ya wimbo wake ‘No Going Home’ Ijumaa hii.
Video hiyo itaoneshwa kwa mara ya kwanza kwenye kipindi cha Friday Night Live cha EATV.
Hajasema ni muongozaji gani aliyeongoza video hiyo bado.
Hivi karibuni muimbaji huyo aliyewahi kufanya vizuri na wimbo wake ‘Don’t Let Me Go’ alionekana akiwa studio na Barnaba japo haijulikani kama alikuwa akirekodi wimbo huu mpya.
Jiunge na Bongo5.com...
10 years ago
Bongo527 Nov
Picha: Ommy Dimpoz kuachia video ya ‘Tupogo Remix’ Ijumaa hii (Dec. 28)
10 years ago
Dewji Blog17 Oct
T.I, Waje, Ash Hamman na Kimani kuwasili leo Dar kwa ajili Tamasha la Serengeti Fiesta 2014
Baada ya kuzunguka maelfu ya maili, tamasha la Serengeti Fiesta 2014 litafunga ziara yake katika viwanja vya leaders jijini Dar es Salaam kesho kutwa jumamosi.
Rapa wa kimataifa toka Marekani T.I, pamoja na Waje toka Nigeria, Ash Hamman toka Dubai na nyota mwingine wa muziki wa kizazi kipya toka nchini Kenya, Victoria Kimani wanatarajiwa kutua leo nchini kwa ajili kuburudisha katika tamasha la Serengeti Fiesta.
T.I toka Marekani, Waje wa Nigeria, Ash Hamman toka Dubai na Victoria Kimani wa...
9 years ago
Bongo526 Nov
Jay Moe kuachia ‘Hili Game’ Ijumaa hii
![Jaymoe](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/08/Jaymoe-300x194.jpg)
Jay Moe ataachia wimbo mpya uitwao ‘Hili Game.’ Huo utakuwa wimbo wa kwanza kuutoa tangu aachie wimbo miaka minne iliyopita.
Akizungumza na 255 ya XXL, Clouds FM, Jay Moe alisema wimbo huo umetayarishwa na P-Funk Majani.
“Mungu akipenda Ijumaa itakuwa birthday tunaweza tukaachia wimbo wangu wa kwanza Jay Mo baada ya miaka 4,” alisema.
“Wimbo unaitwa ‘Hili Game’ na utakuwa muda mzuri kwa sababu nimeelezea muziki ulipotokea mpaka ulipo sasa. Zamani ilivyokuwa na ugumu wake. Kwahiyo vitu kama...
9 years ago
Bongo521 Sep
Maurice Kirya kuachia wimbo maalum aliomuimbia marehemu mama yake Ijumaa hii
9 years ago
Bongo503 Dec
Baghdad kuachia wimbo mpya wenye sauti za watu maarufu/mashuhuri 70 Ijumaa hii!
![baghdad](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/baghdad-300x194.jpg)
Rapper Baghdad anaachia wimbo mpya Ijumaa hii, wimbo ambao mwenywe anasema utavunja rekodi kutokana na kutumia sauti za watu maarufu/mashuhuri 70.
Katika wimbo huo unaoitwa ‘Unaakili wewe?” kamshirikisha Roma.
Kupitia Instagram Baghdad ambaye ameoa hivi karibuni na kupata mtoto wa kwanza, ameandika:
“Wimbo mpya wa baghdad na Roma unatoka tarehe….4th december Ijumaa!! Wimbo huo umevunja rekodi, kwakuwa wimbo uliohusisha watu maarufu/mashuhuri zaidi ya 50! Ndani ya wimbo huo utawasikia watu...