Naj kuachia video ya wimbo wake ‘No Going Home’ Ijumaa hii
Akinadada wameamua. Wakati Shaa akiwa na silaha yake kutoka kwa Justin Campos, Naj anatarajia kuachia video ya wimbo wake ‘No Going Home’ Ijumaa hii.
Video hiyo itaoneshwa kwa mara ya kwanza kwenye kipindi cha Friday Night Live cha EATV.
Hajasema ni muongozaji gani aliyeongoza video hiyo bado.
Hivi karibuni muimbaji huyo aliyewahi kufanya vizuri na wimbo wake ‘Don’t Let Me Go’ alionekana akiwa studio na Barnaba japo haijulikani kama alikuwa akirekodi wimbo huu mpya.
Jiunge na Bongo5.com...
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo521 Sep
Maurice Kirya kuachia wimbo maalum aliomuimbia marehemu mama yake Ijumaa hii
9 years ago
Bongo503 Dec
Baghdad kuachia wimbo mpya wenye sauti za watu maarufu/mashuhuri 70 Ijumaa hii!
![baghdad](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/baghdad-300x194.jpg)
Rapper Baghdad anaachia wimbo mpya Ijumaa hii, wimbo ambao mwenywe anasema utavunja rekodi kutokana na kutumia sauti za watu maarufu/mashuhuri 70.
Katika wimbo huo unaoitwa ‘Unaakili wewe?” kamshirikisha Roma.
Kupitia Instagram Baghdad ambaye ameoa hivi karibuni na kupata mtoto wa kwanza, ameandika:
“Wimbo mpya wa baghdad na Roma unatoka tarehe….4th december Ijumaa!! Wimbo huo umevunja rekodi, kwakuwa wimbo uliohusisha watu maarufu/mashuhuri zaidi ya 50! Ndani ya wimbo huo utawasikia watu...
9 years ago
Bongo510 Sep
Ash Hamman kuachia video ya Wahala Ijumaa hii
10 years ago
Bongo527 Nov
Picha: Ommy Dimpoz kuachia video ya ‘Tupogo Remix’ Ijumaa hii (Dec. 28)
9 years ago
Bongo528 Nov
Video: Naj arekodi wimbo na Jose Chameleone
![Naj](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Naj1-300x194.jpg)
Naj amemshirikisha Jose Chameleone kwenye wimbo wake ujao.
Muimbaji huyo aliyeachia kazi mpya ‘No Going Home’ hivi karibuni ameiambia Bongo5 kuwa kazi hiyo imefanyika kwenye studio za High Table Sound za Barnaba.
“Nimefanya na Chameleone who is actually amazing,” amesema Naj.
“He was actually one of the people I always wanted to work with. So nimefanikiwa na wimbo ndio bado tunaumalizia but he has done his part, bado mimi tu kubalizia baadhi ya vitu and then itakuwa tayari before the end...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-MMkzzKgSLKc/VTcjo-7PitI/AAAAAAAHSTk/ie1GNKSXgBQ/s72-c/IMG-20150421-WA0000.jpg)
9 years ago
Bongo526 Nov
Jay Moe kuachia ‘Hili Game’ Ijumaa hii
![Jaymoe](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/08/Jaymoe-300x194.jpg)
Jay Moe ataachia wimbo mpya uitwao ‘Hili Game.’ Huo utakuwa wimbo wa kwanza kuutoa tangu aachie wimbo miaka minne iliyopita.
Akizungumza na 255 ya XXL, Clouds FM, Jay Moe alisema wimbo huo umetayarishwa na P-Funk Majani.
“Mungu akipenda Ijumaa itakuwa birthday tunaweza tukaachia wimbo wangu wa kwanza Jay Mo baada ya miaka 4,” alisema.
“Wimbo unaitwa ‘Hili Game’ na utakuwa muda mzuri kwa sababu nimeelezea muziki ulipotokea mpaka ulipo sasa. Zamani ilivyokuwa na ugumu wake. Kwahiyo vitu kama...
9 years ago
Bongo504 Dec
Producer Mr T Touch kuachia wimbo wake
![11355775_382648741933156_266982867_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/11355775_382648741933156_266982867_n-300x194.jpg)
Mtayarishaji wa muziki kutoka studio za ‘Free Nation’, Mr T Touch ameweka wazi mpango wake wa kuanza kuimba huku akijipanga kuachia wimbo wake uitwao ‘Tunakutana Nao.’
Touch ameiambia Bongo5 kuwa licha ya kutengenza hits nyingi Bongo, yeye pia ana uwezo wa kuimba vizuri na kutoboa.
“Maproducer wengi wanaimba, sema tunakuwaga hatutoagi nyimbo,” amesema. “Sisi ndio tunatengeneza muziki kwahiyo tunaujua. Wimbo wangu unaitwa Tunakutana Nao na itakuwa ni ngoma yangu ya kwanza. Sijawahi kuimba...