Video: Naj arekodi wimbo na Jose Chameleone
Naj amemshirikisha Jose Chameleone kwenye wimbo wake ujao.
Muimbaji huyo aliyeachia kazi mpya ‘No Going Home’ hivi karibuni ameiambia Bongo5 kuwa kazi hiyo imefanyika kwenye studio za High Table Sound za Barnaba.
“Nimefanya na Chameleone who is actually amazing,” amesema Naj.
“He was actually one of the people I always wanted to work with. So nimefanikiwa na wimbo ndio bado tunaumalizia but he has done his part, bado mimi tu kubalizia baadhi ya vitu and then itakuwa tayari before the end...
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo521 Oct
Barnaba arekodi wimbo na Jose Chameleone
9 years ago
Bongo509 Nov
Barnaba: Video ya wimbo wangu na Jose Chameleone itachelewa kwasababu ninauogopa wimbo
![Barnaba c](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Barnaba-c-300x194.jpg)
Wimbo mpya wa Barnaba Classic aliomshirikisha staa wa Uganda, Jose Chameleone ndio collabo ya kwanza ya kimataifa kwa Barnaba.
Barnaba ambaye anauachia wimbo huo ‘Nakutunza’ leo November 9, amesema kuwa video ya wimbo huo itachelewa kutokana na kwamba yeye binafsi anauogopa wimbo huo, akimaanisha ni wimbo mkubwa hivyo anaogopa kukosea.
“Video yangu imechelewa kwasababu wimbo huu ndio collabo yangu ya kwanza inayonipeleka International na ndio collabo yangu kubwa” alisema Barnaba kupitia...
9 years ago
Bongo530 Oct
Music: Barnaba aonjesha wimbo wake na Jose Chameleone ‘Nakutunza’ utakaotoka Nov.5
10 years ago
Bongo527 Nov
New Music Video: Jose Chameleone — Milliano
10 years ago
GPL23 Jun
9 years ago
Bongo520 Nov
Naj kuachia video ya wimbo wake ‘No Going Home’ Ijumaa hii
![11906139_143102326048484_1476360288_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/11906139_143102326048484_1476360288_n-300x194.jpg)
Akinadada wameamua. Wakati Shaa akiwa na silaha yake kutoka kwa Justin Campos, Naj anatarajia kuachia video ya wimbo wake ‘No Going Home’ Ijumaa hii.
Video hiyo itaoneshwa kwa mara ya kwanza kwenye kipindi cha Friday Night Live cha EATV.
Hajasema ni muongozaji gani aliyeongoza video hiyo bado.
Hivi karibuni muimbaji huyo aliyewahi kufanya vizuri na wimbo wake ‘Don’t Let Me Go’ alionekana akiwa studio na Barnaba japo haijulikani kama alikuwa akirekodi wimbo huu mpya.
Jiunge na Bongo5.com...
10 years ago
Bongo505 Nov
Video: Abba Marcus (mtoto wa Jose Chameleone) akipagawisha mashabiki kwa kulishambulia jukwaa na baba yake
10 years ago
Bongo519 Nov
New Music: Jose Chameleone — Milliano