Stereo na Chid Benz kuachia wimbo ‘Ukonga na Ilala’ mwezi huu
Rapper Stereo anatarajia kuachia kazi yake mpya ‘Ukonga na Ilala’ aliyomshirikisha rapper kutoka Ilala Chid Benz. Akizungumza na Bongo5 leo, amesema kazi hiyo iliyotayarishwa kwenye studio ya Tongwe Records ni wimbo wa kuburudisha pamoja na kuwakilisha sehemu walizotoka. “Kuna wimbo unaitwa Ukonga na Ilala ambao umeandaliwa na Tongwe Records, Mungu akipenda mwezi huu machi wimbo […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Africanjam.Com![](http://3.bp.blogspot.com/-Vlyn6gliCFI/VTkiHK4yePI/AAAAAAAABWc/T0q90gksjaA/s72-c/ukonga%2Bna%2Bilala%2Bartwork.png)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/N9SP9Z4W-DfSV1AcWkWaU2uGjAmmF5oVLG5*ejR0a0gQ1HE8yPrzXlUJ8jHtfds3JsQYu0WNyOPF895opfiJL5b7KZjGy7s2/breakingnews.gif)
KESI YA CHID BENZ YAPIGWA KALENDA MPAKA JANUARI 21 MWAKA HUU
10 years ago
Bongo507 Nov
Chid Benz na Fid Q kufanya album ya pamoja, Chid aizungumzia project hiyo
9 years ago
Bongo506 Nov
Jaffarai asita kuachia wimbo mwingine mwaka huu
![jaff](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/09/jaff-300x194.jpg)
Rapper Jaffarai amesema ameahirisha kutoa wimbo mpya mwaka huu kutokana na masikio ya wengi kutokuwa tayari.
Rapper huyo amesema ataanza kusikika tena February mwakani kwa kile anachoamini kuwa ni mwezi wenye bahati kwake.
“Nimeona bora niache kutoa ngoma kwa sasa kwa sababu kuna vitu vingi bado vinaendelea na nimeplan kutoa ngoma mpya mwakani mwezi wa pili kwa sababu huwaga na zali sana mwezi wa pili,” ameiambia Bongo5.
“Ngoma zangu nyingi ninazofanya mwezi wa pili zinakuwa hit, kila...
9 years ago
Dewji Blog10 Sep
Mkali wa RnB Ash Hamman kuachia video yake ya Wahala tarehe 11 mwezi huu
Mkali wa RnB, Ash Hamman anatarajia kuachia video ya wimbo wake Wahala ijumaa hii ya tarehe 11 mwezi huu.
Video ya Wahala inafuatia kufanya vizuri kwa wimbo huo katika nchi tofauti za Mashariki ya Kati na Afrika.
Ash Hamman, ambaye makazi yake ni Dubai, anajulikana kwa nyimbo zake kali kama ‘Body n Soul’, ‘Im Sorry’ , ‘Over’ na huu wa sasa ‘Wahala’.
Video ya Wahala ambayo inatajwa kama moja ya video ghali zaidi kutengenezwa inatarajiwa kuwavutia mashabiki wengi wa muziki...
9 years ago
Bongo527 Nov
Kala Jeremiah kuachia wimbo mpya mwezi ujao, pia aeleza sababu za kumtumia director Pablo kwenye video nyingi
![Kala](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Kala-300x194.jpg)
Baada ya kipindi cha kampeni kupita Kala Jeremiah pia yuko kwenye foleni ya wasanii wanaotaka kutoa kazi mpya za kufungua mwaka.
Kala ameiambia Bongo5 kuwa tayari video ya kazi mpya imekamilika na anatarajia kuitoa hivi karibuni.
“Video ya wimbo mpya na nimeshoot na PABLO ila nisingependa kwanza kutaja jina la wimbo, lakini mwezi wa 12 lazima itoke”.
Video nne zilizopita za Kala (Nchi ya Ahadi, Usikate Tamaa, Simu Ya Mwisho, Wale Wale) zote zimeongozwa na Pablo, kuhusu kwanini ameamua...
5 years ago
Bongo514 Feb
Darassa alikuwa aachie wimbo mpya mwezi huu lakini… – Hanscana
Mtayarishaji wa video za muziki nchini ambaye kwa sasa anafanya kazi pamoja na rapa Darassa, Hanscana, amefunguka kuzungumzia ujio mpya wa rapa huyo ambaye bado anafanya vizuri kupitia hit single yake ‘Muziki’.
Akiongea na Bongo5 Jumanne hii, Hanscana amedai Darassa alikuwa aachie wimbo mpya mwezi huu, lakini ameshindwa kutokana ratiba za show za kimataifa kumbana.
“Kusema kweli alikuwa aachie wimbo mpya mwezi huu lakini show za Rwanda na Burundi zimembana sana, amekuwa na tour ndefu sana...
10 years ago
Daily News29 Oct
Chid Benz remanded in custody
Daily News
FAMOUS local hip-hop musician Rashid Abdallah Makwiro, alias Chid Benz (29), was remanded in custody by the Kisutu Resident Magistrate's Court, after failing to meet bail conditions. The gruff-voiced rapper, who is behind hits like 'Dar es Salaam Stand ...
10 years ago
Daily News20 Feb
Chid Benz pleads guilty
Daily News
FAMOUS local hip-hop musician Rashid Abdallah Makwiro, alias Chid Benz (29), yesterday pleaded guilty to all the charges against him of unlawfully possession of narcotic drugs at Kisutu Resident Magistrate's Court. Before Principal Resident Magistrate ...