KESI YA CHID BENZ YAPIGWA KALENDA MPAKA JANUARI 21 MWAKA HUU
![](http://api.ning.com:80/files/N9SP9Z4W-DfSV1AcWkWaU2uGjAmmF5oVLG5*ejR0a0gQ1HE8yPrzXlUJ8jHtfds3JsQYu0WNyOPF895opfiJL5b7KZjGy7s2/breakingnews.gif)
Mwanamuziki wa Hip hop nchini, Rashid Makwiro ’Chid Benz’ akiwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar. (Picha na Maktaba Yetu) KESI inayomkabili mwanamuziki wa Hip hop nchini, Rashid Makwiro ’Chid Benz’, imeahirishwa tena leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam mpaka Januari 21, mwaka huu. Mwanamuziki huyo anakabiliwa na kesi ya kukamatwa na madawa ya kulevya katika...
GPL
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-RB88an08McQ/Xn0DS2saixI/AAAAAAALlOQ/AyS8bC6YCSgrbww5p1y3Cwkj96Ksk432gCLcBGAsYHQ/s72-c/f2952089-f8dd-4c77-9c2a-c24c64bf6f22.jpg)
KESI YA ANAETUHUMIWA KUMUUA MSAIDIZ WAKE WA KAZI ZA NDANI YAPIGWA KALENDA HADI APRIL 8, MWAKA HUU
Kesi namba 5,ya mwaka 2020 ya mauaji inayomkabili Mkami Shirima mwenye umri wa miaka 30,kwa kumuua Salome Zakaria mwenye umri wa miaka 18 ambaye ni msaidizi wa kazi za ndani mnamo Machi 6 mwaka huu imeahirishwa Hadi tarehe 8 April mwaka huu.
Kwa upande wake wakili wa serikali Penina Joakimu amesema kuwa kutokana na upelelezi kutokamilika ameiomba mahakama kupangiwa siku nyingine.
Akizungumza hakimu mkazi mfawizi wa mahakama ya wilaya Arumeru,Amalia Mushi alisema kesi ...
10 years ago
Bongo511 Nov
Kesi ya Chid Benz yasogezwa mbele mpaka December 1
10 years ago
Mwananchi23 Dec
Kesi ya IPTL yapigwa kalenda hadi mwisho wa mwaka
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Ga2iaGVWnSFFy3KCCuMLpG4UAaynv2h20cCKJwIRUDlt*a*3AOGkzB1P*FtjyK0DZ7UViav8SfK2tiOuR8O6Gxm2SjNpkwWD/rayc.jpg)
RAY C AMFUTIA KESI CHID BENZ KESI!
5 years ago
Bongo514 Feb
Kesi ya Scorpion yapigwa kalenda
Kesi ya inayomkabili Salum Njwete, maarufu ‘Scorpion’ ya unyang’anyi kwa kutumia silaha imeahirishwa hadi Mei 2 mwaka huu, kufuatia shahidi namba nane kwenye kesi hiyo kushindwa kufika mahakamani hapo.
Kesi hiyo iliahirishwa Jumanne hii na Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Wilaya ya Ilala, Flora Haule, kwa kuongozwa na Wakili wa Serikali, Cheses Gavyiole, baada ya Deus Magosa (45), ambaye ni shahidi wa nane upande wa Jamhuri katika kesi hiyo ya kumjeruhi kwa kumtoboa macho Saidi Mrisho, kushindwa...
11 years ago
Habarileo06 Mar
Kesi ya EPA yapigwa kalenda
KESI ya wizi wa Sh milioni 207 kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT), katika Akaunti ya Madeni ya Nje (EPA) imeahirishwa kutokana na Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rajab Maranda anayekabiliwa na kesi hiyo, amelazwa hospitali.
10 years ago
Habarileo21 Mar
Kesi ya Ponda yapigwa kalenda
KESI inayomkabili Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu nchini, Shehe Ponda Issa Ponda, ambayo kwa sasa ipo kwenye hatua ya utetezi haikuendelea kusikilizwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi mkoani hapa, baada ya hakimu anayesikiliza kesi hiyo kutofika mahakamani hapo jana.
11 years ago
Mwananchi20 May
Kesi ya Pinda yapigwa kalenda
11 years ago
Tanzania Daima14 Feb
Kesi ya Zitto yapigwa kalenda
KESI iliyofunguliwa na Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (CHADEMA) ya kupinga kujadili uanachama wake kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) imeahirishwa hadi Aprili mosi. Kesi hiyo iliahirishwa jana...