Video ya wimbo mpya wa Vanessa Mdee ‘Never Ever’ kutambulishwa Trace Urban (Oct. 9 )
Wakati tunasubiri single yake mpya (audio) kuachiwa rasmi Jumatatu Ijayo, surprise nyingine kutoka kwa Vanessa Mdee ni kuwa video ya wimbo huo ‘Never Ever’ itatambulishwa exclusive na kituo cha runinga cha Ufaransa – Trace Urban kesho Oct.9. Vanessa ambaye tayari yuko Dallas, Marekani alikoenda kuhudhuria tuzo za Afrimma ameshare taarifa hiyo kupitia mitandao ya kijamii. […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo504 Dec
Video mpya ya Belle 9 ‘Burger Movie Selfie’ iliyoshutiwa Moro na director wa Moro kutambulishwa Trace Urban wiki Ijayo
![Belle99](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/09/Belle99-300x194.jpg)
Kabla mwaka 2015 haujaisha, Belle 9 amefanikisha kupiga hatua nyingine ya mafanikio ya muziki wake, ambapo wiki ijayo video ya wimbo wake mpya uitwao “Burger Movie Selfie” itaanza kuoneshwa kwa mara ya kwanza na Trace Urban wiki ijayo.
What's up Trace Family! Watch "Burger Movie Selfie" by @bellenine starting next week on @TRACE_Urban channel #325 on @DStv_Kenya
— TRACE East Africa (@TRACEEastAfrica) December 2, 2015
Hii itakuwa ni video ya pili ya Belle 9 kwa mwaka huu na toka ameanza...
9 years ago
Bongo505 Oct
Wimbo mpya wa Vanessa Mdee ‘Never Ever’ kutoka Jumatatu ijayo
9 years ago
Bongo517 Nov
Vanessa Mdee arekodi wimbo mpya Nigeria na Runtown
![Vee na Run](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Vee-na-Run-300x194.jpg)
Mshindi wa tuzo ya AFRIMA 2015 ‘Best African Pop’ , Vanessa Mdee a.k.a Vee Money bado yuko nchini Nigeria akifanya Interviews pamoja na kurekodi nyimbo mpya.
Vanessa ambaye hivi sasa anafanya vizuri na wimbo wake mpya ‘Never Ever’, jana amerekodi wimbo mpya kwa producer E Kelly Beatz wa Naija. “Cooking with my bro @ekellybeatz #Lagos” Vanessa aliandika kwenye picha aliyopost Instagram.
Kwenye wimbo huo Vee amesema amemshirikisha Runtown ambaye wiki chache zilizopita alikuja Tanzania...
10 years ago
Bongo524 Feb
Picha: GK aingia studio na Vanessa Mdee kuandaa wimbo mpya
9 years ago
Bongo521 Oct
Video: Mtazame Iyanya akiufurahia na kuuimba wimbo wa Vanessa Mdee ‘Hawajui’
10 years ago
Bongo511 Sep
Jux azungumzia tetesi za kuhusu wimbo wake mpya ‘Sisikii’ kama amemuimbia Vanessa Mdee
9 years ago
Bongo510 Nov
Video ya wimbo mpya wa Joh Makini ft. AKA ‘Don’t Bother’kutambulishwa MTV Base (Nov.10)
![Joh na AKA MTV](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Joh-na-AKA-MTV-300x194.jpg)
Baada ya Nikki Wa Pili wa Weusi kutambulisha wimbo wake mpya ‘Baba Swalehe’ Ijumaa iliyopita, sasa ni zamu ya kaka yake Joh Makini kuwaonesha mashabiki wake wa Tanzania na Afrika kwa ujumla kile alichoenda kufanya Afrika Kusini miezi kadhaa iliyopita.
Video ya wimbo mpya wa Joh Makini aliomshirikisha rapper wa Afrika Kusini ‘AKA’ itatambulishwa kwa mara ya kwanza leo (Nov. 10) saa 12 jioni (saa za Afrika Mashariki) na kituo cha kimataifa cha MTV Base.
‘Don’t Bother’ imetayarishwa na...
9 years ago
Bongo517 Oct
Vanessa Mdee azungumzia kufananishwa kwa video yake mpya na ile ya Ciara