Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Video mpya ya Belle 9 ‘Burger Movie Selfie’ iliyoshutiwa Moro na director wa Moro kutambulishwa Trace Urban wiki Ijayo

Belle99

Kabla mwaka 2015 haujaisha, Belle 9 amefanikisha kupiga hatua nyingine ya mafanikio ya muziki wake, ambapo wiki ijayo video ya wimbo wake mpya uitwao “Burger Movie Selfie” itaanza kuoneshwa kwa mara ya kwanza na Trace Urban wiki ijayo.

Belle99

What's up Trace Family! Watch "Burger Movie Selfie" by @bellenine starting next week on @TRACE_Urban channel #325 on @DStv_Kenya

— TRACE East Africa (@TRACEEastAfrica) December 2, 2015

Hii itakuwa ni video ya pili ya Belle 9 kwa mwaka huu na toka ameanza...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Video ya wimbo mpya wa Vanessa Mdee ‘Never Ever’ kutambulishwa Trace Urban (Oct. 9 )

Wakati tunasubiri single yake mpya (audio) kuachiwa rasmi Jumatatu Ijayo, surprise nyingine kutoka kwa Vanessa Mdee ni kuwa video ya wimbo huo ‘Never Ever’ itatambulishwa exclusive na kituo cha runinga cha Ufaransa – Trace Urban kesho Oct.9. Vanessa ambaye tayari yuko Dallas, Marekani alikoenda kuhudhuria tuzo za Afrimma ameshare taarifa hiyo kupitia mitandao ya kijamii. […]

 

9 years ago

Bongo5

New Video: Belle 9 – Burger Movie Selfie

burger belle

Msanii wa RnB kutoka mji kasoro bahari, Morogoro, Abednego “Belle 9” Damian ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Burger Movie Selfie’ alioutambulisha Jumatatu Dec 7. Video hii imeongozwa na director GQ kutoka Morogoro, imeshutiwa Morogoro na producer wa wimbo Tiddy Hotter pia ni kutoka Morogoro. Itazame

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka...

 

9 years ago

Africanjam.Com

NEW VIDEO: BELLE 9 - BURGER MOVIE SELFIE (Official Video)




Published on Nov 30, 2015Belle 9 Performing His New Trap Song BURGER MOVIE SELFIE. Audio Produced by Tiddy Hotter And Video Directed by GQ
Africanjam is website that was launched  in December 2013 (with another domain) and on April 2014 the new domain Africanjam(dot)com came into use. It was found by John Kapela who is currently in Dar es Salaam Tanzania. This site provides news from Africa and all over the world in Politics, Sports and Entertainment. We also provide Technology tips, some...

 

9 years ago

Bongo5

Video ya Belle 9 ‘Shauri Zao’ yatambulishwa kwa mara ya kwanza Trace Urban

Ndoto za wasanii wengi wa Tanzania zinaendelea kutimia bila kujali ni kwa muda gani wamekuwa wakiota bila kufahamu ni lini ndoto hizo zitakuja kuwa kweli. Belle 9 ana kila sababu ya kufurahia mafanikio mapya, kwasababu kwa mara ya kwanza video yake ya ‘Shauri Zao’ iliyotoka kwenye vituo vya nyumbani wiki kadhaa zilizopita, imetambulishwa na kituo […]

 

9 years ago

Bongo5

New Music: Belle 9 – Burger Movie Selfie

Belle burger

Belle 9 aka Belle tisa ameachia rasmi wimbo wake mpya uitwao ‘Burger Movie Selfie’ leo Jumatatu ya Dec7.

Belle burger

Wimbo huu umetayarishwa na producer Tiddy Hotter na video yake ambayo Trace walisema itaanza kuoneshwa wiki hii kupitia kituo hicho imeshutiwa nyumbani kwao Morogoro.

“Story fupi ya mapenzi: Warembo wanapenda BURGER Wanapenda MOVIES wanapenda kupiga SELFIE #BURGERMOVIESELFIE” aliandika Belle Instagram kuhusu wimbo huo.

Usikilize hapa
BURGER MOVIE SELFIE

Jiunge na Bongo5.com...

 

9 years ago

Africanjam.Com

NEW MUSIC: BELLE 9 - BURGER MOVIE SELFIE (Download with Lyrics)




LYRICS
VERSE 1toka nimuone sura haipoteiiihnashindwa kubadili profile picha watsap/najaribu kusubiri moyo haungojei/for the first time I dedicate this track(huuuuuuh)njoo nikuoneshe nini unatakiwa upate mtoto mzuri mzuri kaama weeeh/(huuuuuuh)the best couple in this world we na belledaily baby hold me tight/
PRE CHORUS
burger movie selfie popcorn (anataka yeeh)burger movie selfie kiss and hug (anataka yeeeh)
CHORUS(yeeeeeh) ameniweza(yeeeeeeeh)tunapendeza(yeeeeeeeeh)hoooh...

 

9 years ago

Bongo5

Video yangu ‘Shauri Zao’ kuchezwa Trace Tv imenipa changamoto mpya — Belle 9

Staa wa RnB, Belle 9 ameelezea furaha aliyoipata baada ya kuanza kuona ndoto zake zimeanza kutimia. “Kiukweli nimejiskia amani, nimejiskia furaha sana yaani nina vibe ambayo aisee yaani niko very surprised mpaka sasa hivi ninavyoongea hapa bado sijatulia kabisa,” hayo ni maneno ya Belle 9 alipozungumza na Bongo5 baada ya video yake kutambulishwa na Tv […]

 

9 years ago

Bongo5

Video ya wasanii wa Ghana iliyoshutiwa Zanzibar na director Justin Campos akisaidiwa na Hanscana na Khalfani

Muongozaji wa video Justin Campos wa kampuni ya Gorilla Films ya Afrika Kusini alikuja Zanzibar mwezi June mwaka huu kufanya video ya kundi la muziki kutoka Ghana liitwalo Konfi. Justin Campos, Hanscana na Khalfani Campos alikuwa na wenyeji wake ambao ni ma-director wa Tanzania, mshindi wa Tuzo Za Watu 2015 Hanscana na Khalfani ambao ndio […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani