Video: Mtazame Iyanya akiufurahia na kuuimba wimbo wa Vanessa Mdee ‘Hawajui’
Iyanya ni shabiki mkubwa wa Vanessa Mdee na ndio maana ameamua kupost video hii akiufurahia wimbo wake, Hawajui. Kwenye video hii aliyoiweka Instagram, Iyanya anajaribu kufuatisha maneno ya Kiswahili kwenye wimbo huo japo yanampiga chenga. Tazama video hiyo hapo juu. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo508 Dec
New Video: Vanessa Mdee — Hawajui
10 years ago
Bongo524 Oct
Video: Mtazame Vanessa Mdee akihost show ya #MadeOfBlack ya MTV Base
9 years ago
Bongo508 Oct
Video ya wimbo mpya wa Vanessa Mdee ‘Never Ever’ kutambulishwa Trace Urban (Oct. 9 )
10 years ago
Mtanzania25 Mar
Vanessa Mdee: Wasanii hawajui namna ya kupata fedha mtandaoni
Na Festo Polea
WAKATI wimbo wa ‘Hawajui’ wa msanii, Vanessa Hau Mdee ‘Vee Money’, ukiongoza katika chati za ubora za vituo mbalimbali vya redio na runinga za nchini Nigeria, msanii huyo amesema wasanii wengi hawajui namna ya kutumia mitandao ya kijamii kuuza kazi zao.
Vanessa alieleza hayo jana alipotembelea ofisi za Kampuni ya New Habari (2006) Ltd inayochapisha magazeti ya Mtanzania, Bingwa, Dimba, Rai na The African, akiwa katika harakati za kutangaza wimbo wake mpya wa ‘No body but Me’...
11 years ago
Bongo505 Jul
Vanessa Mdee adai aliachia ‘Hawajui’ baada ya baadhi ya watu kuponda ushindi wake wa KTMA
10 years ago
Bongo518 Mar
Vanessa Mdee kutumbuiza jukwaa moja na Awilo, Iyanya, Burna Boy, Nigeria mwezi ujao
10 years ago
Bongo521 Nov
Vanessa Mdee: Wimbo wangu ujao ni wa rap
9 years ago
Bongo517 Nov
Vanessa Mdee arekodi wimbo mpya Nigeria na Runtown
Mshindi wa tuzo ya AFRIMA 2015 ‘Best African Pop’ , Vanessa Mdee a.k.a Vee Money bado yuko nchini Nigeria akifanya Interviews pamoja na kurekodi nyimbo mpya.
Vanessa ambaye hivi sasa anafanya vizuri na wimbo wake mpya ‘Never Ever’, jana amerekodi wimbo mpya kwa producer E Kelly Beatz wa Naija. “Cooking with my bro @ekellybeatz #Lagos” Vanessa aliandika kwenye picha aliyopost Instagram.
Kwenye wimbo huo Vee amesema amemshirikisha Runtown ambaye wiki chache zilizopita alikuja Tanzania...
9 years ago
Bongo505 Oct
Wimbo mpya wa Vanessa Mdee ‘Never Ever’ kutoka Jumatatu ijayo