Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


New Video: Vanessa Mdee — Hawajui

Vanessa Mdee ameachia video ya ‘Hawajui’ iliyofanyika nchini Afrika Kusini. Itazame hapa.

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Video: Mtazame Iyanya akiufurahia na kuuimba wimbo wa Vanessa Mdee ‘Hawajui’

Iyanya ni shabiki mkubwa wa Vanessa Mdee na ndio maana ameamua kupost video hii akiufurahia wimbo wake, Hawajui. Kwenye video hii aliyoiweka Instagram, Iyanya anajaribu kufuatisha maneno ya Kiswahili kwenye wimbo huo japo yanampiga chenga. Tazama video hiyo hapo juu. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari […]

 

10 years ago

Mtanzania

Vanessa Mdee: Wasanii hawajui namna ya kupata fedha mtandaoni

Na Festo Polea
WAKATI wimbo wa ‘Hawajui’ wa msanii, Vanessa Hau Mdee ‘Vee Money’, ukiongoza katika chati za ubora za vituo mbalimbali vya redio na runinga za nchini Nigeria, msanii huyo amesema wasanii wengi hawajui namna ya kutumia mitandao ya kijamii kuuza kazi zao.
Vanessa alieleza hayo jana alipotembelea ofisi za Kampuni ya New Habari (2006) Ltd inayochapisha magazeti ya Mtanzania, Bingwa, Dimba, Rai na The African, akiwa katika harakati za kutangaza wimbo wake mpya wa ‘No body but Me’...

 

11 years ago

Bongo5

Vanessa Mdee adai aliachia ‘Hawajui’ baada ya baadhi ya watu kuponda ushindi wake wa KTMA

Vanessa Mdee amesema aliachia wimbo wake ‘Hawajui’ ulioandikwa na Barnaba baada ya baadhi ya watu kudai hakustahili kushinda tuzo ya wimbo bora wa rnb (Closer) kwenye tuzo za Kili mwaka huu. Vee Money amesema hayo kwenye mahojiano na gazeti la Daily Nation la Kenya. “Hawajui unawahusu ‘wasema hovyo’. Hivi karibuni nilishinda tuzo za Kilimanjaro kwa […]

 

11 years ago

CloudsFM

New Video: Vanessa Mdee - Come Over

Baada ya kuisubilia kwa hamu kubwa sana video ya wimbo wa Come over toka kwa Vanessa, imeachiwa siku ya jana kupitia account ya Youtube ya Vanessa mdee chukua muda wako kuiangalia....

 

10 years ago

Bongo5

Video: Vanessa Mdee — Never Ever

Video mpya Vanessa Mdee ya wimbo wake ‘Never Ever’ iliyoongozwa na Justin Campos. Ilifanyika nchini Afrika Kusini. Wimbo umetayarishwa na Nahreel. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

10 years ago

Africanjam.Com

NEW VIDEO: VANESSA MDEE "Vee Money" - NEVER EVER (Official Video)



Published on Oct 11, 2015Tanzania's Vanessa Mdee performing her new single Never Ever!

Download 'Never Ever'
iTunes: http://smarturl.it/VanessaMdeeNE_itunes
Amazon: http://smarturl.it/VanessaMdeeNE_amazon

Follow Vanessa Mdee!
Twitter - @VanessaMdee
Instagram - @vanessamdee
Facebook - Vanessa Mdee

Digital distribution: http://www.africori.com/
Africanjam is website that came into service December 2013(with another domain) and on April 2014 the new domain Africanjam(dot)com came into use. It was found...

 

11 years ago

GPL

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani