Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vanessa Mdee adai aliachia ‘Hawajui’ baada ya baadhi ya watu kuponda ushindi wake wa KTMA

Vanessa Mdee amesema aliachia wimbo wake ‘Hawajui’ ulioandikwa na Barnaba baada ya baadhi ya watu kudai hakustahili kushinda tuzo ya wimbo bora wa rnb (Closer) kwenye tuzo za Kili mwaka huu. Vee Money amesema hayo kwenye mahojiano na gazeti la Daily Nation la Kenya. “Hawajui unawahusu ‘wasema hovyo’. Hivi karibuni nilishinda tuzo za Kilimanjaro kwa […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

New Video: Vanessa Mdee — Hawajui

Vanessa Mdee ameachia video ya ‘Hawajui’ iliyofanyika nchini Afrika Kusini. Itazame hapa.

 

10 years ago

GPL

VANESSA MDEE AFUNIKA TUZO KTMA

Msanii wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee . Vanessa akiwapagawisha mashabiki wake (hawapo pichani). (PICHA; MUSA…

 

10 years ago

Mtanzania

Vanessa Mdee: Wasanii hawajui namna ya kupata fedha mtandaoni

Na Festo Polea
WAKATI wimbo wa ‘Hawajui’ wa msanii, Vanessa Hau Mdee ‘Vee Money’, ukiongoza katika chati za ubora za vituo mbalimbali vya redio na runinga za nchini Nigeria, msanii huyo amesema wasanii wengi hawajui namna ya kutumia mitandao ya kijamii kuuza kazi zao.
Vanessa alieleza hayo jana alipotembelea ofisi za Kampuni ya New Habari (2006) Ltd inayochapisha magazeti ya Mtanzania, Bingwa, Dimba, Rai na The African, akiwa katika harakati za kutangaza wimbo wake mpya wa ‘No body but Me’...

 

9 years ago

Bongo5

Video: Mtazame Iyanya akiufurahia na kuuimba wimbo wa Vanessa Mdee ‘Hawajui’

Iyanya ni shabiki mkubwa wa Vanessa Mdee na ndio maana ameamua kupost video hii akiufurahia wimbo wake, Hawajui. Kwenye video hii aliyoiweka Instagram, Iyanya anajaribu kufuatisha maneno ya Kiswahili kwenye wimbo huo japo yanampiga chenga. Tazama video hiyo hapo juu. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari […]

 

10 years ago

Bongo Movies

Baada ya Watu Kuponda, Huu Ndio Msimamo wa Wolper Kuhusu Kipini Chake Puani

“Wapenzi mnaotukana kisa nimevaa kipini kwa pua msipoteze muda hiko akitoki ndo kimeshafika zaidi nitakua tuu na badilisha leo cha njano kesho chekundu, why mnakua wagumu kuelewa  kinipendeze kisinipendeze ni mimi so please msinijazie comment za zamatusi nakukosoa  kwenye picha zangu kama nyie ndo wavaaji sitaki ushauri sitaki jamani pipo chilaaax me nakipini dam dam...  in love with my kipini najikuta jacq khan mwenzenu kila nikijitizama....Am so soleee. Nawapenda sana napenda ushauri...

 

9 years ago

Bongo5

Abdul Kiba adai wimbo ‘Ayaya’ alikuwa amshirikishe Vanessa Mdee ila ikashindikana

Abdul Kiba amesema kabla ya kufikiria kufanya wimbo wake wa ‘Ayaya’ na Ruby alipanga kumshirikisha Vanessa Mdee. Muimbaji huyo amekiambia kipindi cha Siz Kitaa cha Clouds TV kuwa, Vanessa alimuacha njia panda kwa muda mrefu bila kumjibu ndio maan akaamua kufanya na Ruby. “Kwanza nili-plan kufanya wimbo na Vanessa, nilimtumia ule wimbo wakati umetimia wote […]

 

10 years ago

Bongo5

Vanessa Mdee awa msanii wa pili Tanzania kuwa na akaunti ya VEVO, baada ya Gosby

Vanessa Mdee a.k.a Vee Money amekuwa mwanamuziki wa pili Tanzania kupata akaunti ya VEVO kwaajili ya kuweka video zake. VEVO ni mtandao mkubwa namba moja duniani unaohusika kuhifadhi na kurusha kazi za wanamuziki maarufu duniani kama kina Nicki Minaj, Beyonce, Jay Z na wengine. Gosby ndiye alikuwa msanii wa kwanza wa kizazi kipya kupata akaunti […]

 

10 years ago

Bongo5

Jux azungumzia tetesi za kuhusu wimbo wake mpya ‘Sisikii’ kama amemuimbia Vanessa Mdee

Mwimbaji wa R&B Jux ameendelea kukana tetesi za kuwa na uhusiano na Vanessa Mdee aka Vee money , ambao wameonekana kuwa karibu sana kwa siku za karibuni. Tetesi hizo zimepelekea watu kuhisi kuwa wimbo wake mpya ‘Sisikii’ alioutoa wiki hii amemuimbia Vanessa. Hii si mara ya kwanza kwa Jux kusemekana kutoa wimbo ambao amemwimbia msichana, […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani